Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

njoo utuoneshe hapa sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2260633
Unatuonyesha render wakati apartments zilishaisha kitambo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

1655213893931.jpg
 
Bongolala, wacha kuwa mbishi January to December. Haikusaidii chochote. That's Milimani estate in Kisumu.

Hizo nyumba on the left side of the pic with red roofing ni Tom Mboya Labour College. The apartment in the middle of the pic with white paint is Alkesh Apartments. The tall building near the lake shore is Bluewater Hotel (still under construction). Hiyo barabara unayoona hapo (with two white cars on it) inaitwa Ring Road.

Sasa unabisha nini wakati wewe upo Tandale Dar hundreds of kilometers away na sisi ni wenyeji wa Kenya na Kisumu tunaenda from time to time? Utaacha ubishi za kijinga lini?
Sasa kama hapo ni kwenu unashindwa nn kwenda kupiga picha kwa mkono wako na kutuletea humu kama cc watz tunavyofanya?
 
Google map of the same place, ama google map pia inadanganya?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2260634
Kama yeye na akina The best 007, chongchung wamekataa Pipeleline ya sasa 2022, pia hii watapinga tu na iko wazi sana kama vile pipeline, such development na huo muonekano nje ya Dar hawajazoea, unawaumiza sana punguza speedy kwa kauli ya Coco Master πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Sasa kama hapo ni kwenu unashindwa nn kwenda kupiga picha kwa mkono wako na kutuletea humu kama cc watz tunavyofanya?
Look at this reasoning. Kwa hiyo niwache shuguli zangu niliko nipande gari niende Kisumu kupiga picha kisha nilete hapa kukufurahisha? What are you smoking bongolala?
 
Kama yeye na akina The best 007, chongchung wamekataa Pipeleline ya sasa 2022, pia hii watapinga tu na iko wazi sana kama vile pipeline, such development na huo muonekano nje ya Dar hawajazoea, unawaumiza sana punguza speedy kwa kauli ya Coco Master πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
nimeuliza ndio hiiiπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio hiii au sioView attachment 2260640
 
mm napinga sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nenda ukajinyonge, hauna chako, um emebanwa makendeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., mwaka huu kila mti minyani ya Tanzania inakwea unateleza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Look at this reasoning. Kwa hiyo niwache shuguli zangu niliko nipande gari niende Kisumu kupiga picha kisha nilete hapa kukufurahisha? What are you smoking bongolala?
Hiyo inaitwa idiocy on steroids, mibongolala ni maziwa lala tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nenda ukajinyonge, hauna chako, um emebanwa makendeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., mwaka huu kila mti minyani ya Tanzania inakwea unateleza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ wakenya aisee munamatatizo ya akili kweli
1BB93FA0-475E-407F-8F97-3A2851144C7C.png
5494BA4C-313F-4018-BDF7-6E83B72E5652.png
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana nani alikwambia hapo ni kisumu au umeokota picha na nikuoneshe sehemu ulipookota hio picha
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ sasa wewe leta evidence na utuambie hapo ni wapi? wacha kuruka ruka wewe mwehuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
thibitisha hapo ni kisumu 🀣🀣🀣🀣 na leo nitahakikisha huchomoki trust me
Hakikisha pia mimi nangoja hiyo hakikisho, harakisha, tuambie ni wapi hapo, nyambaffπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom