Mpaka unatuwekea picha ya uganda, jamaa wa propaganda
Siyo hivyo tu Royal tour imewaumbua baada ya kujua kumbe vivutio vingi vya utalii viko Tanzania na siyo Kunyaland ,Kwahiyo sasa hivi wanakuja moja kwa moja kwenye nchi ya neema iliyojaa maziwa na asali.Hamna mtalii anaenda Kunyaland, kuna vurugu za uchaguzi kule!
Zile kelele za KQ kuizuia KLM isitue moja kwa moja Zanzibar na Kilimanjaro ziliishia wapi?
Yeah, Km Silicon valley vleAisee ndiyo pamekuwa hivi![]()





Nachukiaga watu wanaojichubua, mwingine unamkuta hadi mishipa ya damu inaonekana utadhani ni nyama iliyocharangwa,wanatia kinyaa sana.True. Nandy hakuwa hivyo zamani. Kuna wakati watanzania humu walikuwa wanashabikia ubaguzi wa rangi Kwa kusema vibaya watu wenye skin tone nyeusi wa kutoka Kenya. Inashangaza sana Maana standards za aina hii Ndio zinawafanya wadada wadhani kuwa urembo ni kuwa na ngozi nyeupe. Otherwise you are just ugly. Absolutely disgusting!
Nimemuuliza mamake anavaaje? hajajibu! Tangu Samia awafurumushe Loliondo na Ngorongoro hawakosi kosa juu yake! Hawa watu ni Schwein sana!Avae pedo na min skirt nini![]()
Wanataka awaruhusu waishi Ngorongoro creater na Serengeti kwa kuwa anawapenda sana.Mama kawafanyia nini wakenya ?













Naamini hili litafanyika, mama yupo smart ana ubinadamu! Wale wanaodaiana na Hotel za Ngurdoto wanaweza kufanya off the court settlement ikiwemo madai kulipwa in parts!Hotel zimejaa Arusha kwa wingi wa Watalii na Chambulo anasema mwakani yatakuwa mafuriko makubwa ya watalii akashauri miundombinu ya hotel za nyota 5 ziongezeke maana za kwake 3 zote zimeshafanyiwa booking.
Ushauri wangu kwanini Ngurudoto na Impala zisifufuliwe na kumaliza kesi ambayo iko mahakamani ili zianze kufanya kazi.
Mambo ya kesi ni kujichelewesha..mazungumzo yafanyike, serikali au Banks ziingie ubia na hizi hotel zilipiwe madeni yake halafu watajua jinsi watamalizana biashara iendelee.
wacheni kuzusha kwahiyo nandy hakuwa light skin? Leta picha zake humu!Nachukiaga watu wanaojichubua, mwingine unamkuta hadi mishipa ya damu inaonekana utadhani ni nyama iliyocharangwa,wanatia kinyaa sana.
hayo sio mabasi ni malori ya mizigo yaliyoongezewa mzigo mwingine wa vifaa vya ujenzi na rangi

Nioneshe picha ya Uganda hapaMpaka unatuwekea picha ya uganda, jamaa wa propaganda


Duuhhh mambo ya zamani sn haya mkuu.hayo sio mabasi ni malori ya mizigo yaliyoongezewa mzigo mwingine wa vifaa vya ujenzi na rangi![]()
![]()
![]()
angalia hapo chini hilo bumber ni kilo ngapi, Bora wngine wangeweka fibre.
View attachment 2260237
View attachment 2260239
View attachment 2260240
View attachment 2260241
POST AGRARIAN AUTO ASSEMBLY LINE![]()
Nimeisave. What a beautiful photo.