Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,160
- 29,775
Hiyo design no no no big no siyo design ya kisasa hata kidogo




Hiyo design no no no big no siyo design ya kisasa hata kidogo




evidence gani nilete mm 🤣🤣👇😂 😂 😂 😂 😂 😂 sasa wewe leta evidence na utuambie hapo ni wapi? wacha kuruka ruka wewe mwehu😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇 hebu tuaminishe sasaView attachment 2260644View attachment 2260645
Lazima tu mpinge Kila kitu?Hii render 3D picture!
Hii render 3D picture!
Wewe huoni hizo takataka zimewekwa kimkakati tena anaonekana huyo mzungu anachukua picha kwa karibu ili ionekane big problem

hao itakuwa watu wa enjiozi wanatafuta pesa , ukitazama ilo eneo walilo simama pembeni ni safi hadi mchanga tumia akili 

unipige mm au ujimalize mwenyewe 😂😂😂😂👇👇👇👇Lazima tu mpinge Kila kitu?
View attachment 2260647View attachment 2260648View attachment 2260650View attachment 2260652
Hii design hata chizi wa milembe anaweza kudesign tena nzuri mara100 ha hii ...sasa uliza huyo mdesign kalipwa milioni ngapi usishangae kala milion 100 hapo
Hawa watu kwenye waste management wako very poor.Satanic country to live in Africa. No country in Africa can match Kenya as far as the term waste is concerned.View attachment 2260388View attachment 2260389View attachment 2260390
Kwani wewe ni kipofu? wacha upumbavu sasa😂😂😂😂😂😂👇👇👇👇 hebu tuaminishe sasaView attachment 2260644View attachment 2260645
Tusishabikie upumbavu mbona serikali aikusema kua hao wamasai siyo watz ? Upumbavu ni waserikali hadi leo imeshinda kutoa vitamburisho vya taifa hadi vile vilivyo tolewa mwanzo vimefikisha miaka 10 na kuexpirewataelewa tu
They are very good at vita na midomo na kulazimisha mamboI remember too, pia kuna an estate in Kisumu was posted some years back, mtu akasema "wacha ujinga hapo ni nairobi" mibongolala😂😂😂, Tanzania wako na nini kiukweli to level up with Kenya's development outside Nairobi? yaani ni domo domo tu.,😂😂😂😂😂
View attachment 2260508
The real jewel in the tropics.Investors have now discovered the new route of wealth![]()
It's only a madman ndio anaezalinganisha Kisumu na Mwanza. Kisumu is miles ahead of Mwanza.
Hapo kuna kitu cha ziada kimejifichaNaujua uchumi wa Tanzania na Mwanza vizuri sana, na ninaweza kukuhakishia kuhusu huyo Muwekezaji siyo kama mnavyoambiwa, kama ni kweli ipo siku mtarudi hapa kuja kulalamikia haya mnayoyasifia!
Matunda ya Royal TourInvestors have now discovered the new route of wealth![]()

Amenogewa na wazaramo huyoHuyo chotara wa Kichina na Kiswahili baba! Anakaa mama Mzanzibari si kwa kiswahili hicho! 🤣 🤣
Achana na huyo mjinga. Yani Kisumu imemshtua hivyo 😂 😂 😂Kwani wewe ni kipofu? wacha upumbavu sasa
View attachment 2260662
Yaani iko same, kabisa, tofauti ni hiyo sehemu wameng'oa nyasi na kuweka fence, ujenzi unataka kufanyika., google earth ni current, picha pengine ni ya nyuma kidogo, ila buildings zote ziko, muonekano ni wa bird's eye view kilaza., linganisha pole pole., buildings ndefu unayaona kwa juu (rooftops)., umekufa wewe😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2260663
Kenya ndiyo nchi pekee duniani inayoruhusu mifugo kuingia CBD na kunya kunya hovyoView attachment 2260234



