Pipeline ya 2022 vs hii 👇 👇 takataka 90% poverty look in 2022!!😂😂😂😂., hatuwezi fanana kilaza..., hamuoni aibu kulazimisha fikra zenu., rudini mashambani mpande mahindi mtuuzie mpunguze ufukara na ushamba mlio jaza mjini, alafu, it's like over 60% ya Dar roads are not tarmacked😂😂😂😂😂😂😂.., niko free mtanzania ajitokeze kunidanganya..,Sasa kwani sio slums? 😂😂😂
Eti sisi sio wenzao 🤣
Anaetaka kua mwenzenu kwenye slums ni nani?
So hapa co ka NairobiNi lini utachanuka, hii kazi ya kuokota vipicha kwa google kujiliwaza haitowakomboa., mko hovyo ulie, ucheke, unyambe uhare mnabaki pale pale., Kumbe kampala ni Nairobi..,
View attachment 2260251
Alafu hizi matatu hauzipati kwa wingi hivi eti kwa stage Nairobi.,., Kenya sio Tanzania ya old model vehicles kwa wingi.., historia, kweli tumewanyonga kwa hii uzi, hamna pakutokea![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 2260254


Pipeline 🤮
Wacha kukwepa na kapicha kamoja kazamani., sio wewe uli post hii? 👇 👇 👇 👇 google ni ya wasomi semi illitrate soja., hautumii tu kimandanzi😂😂😂😂😂😂😂😂., kuna google earth na youtube 2022 clips, mbona umekua muoga?😂😂😂
Shughuli ipo kwenye fidia na ujenzi. Wanaogopa gharama wanaona bora liende tu hivyo hivyo.Pipeline imeumiza watu sana, sasa kama hampendi mazingira machafu si mmbomoe? Au mui bomb hiyo area kuliko kulia lia na kufosi tufanane na mauchafu yenu.





Kuna jengo moja hapo juu lina matofali ya tope kuna siku litashuka na kuleta maafa. Kwanini viongozi wa Kenya huwa hawabadiliki na kuchukua hatua tofauti na TZ? Hapa hatuongelei battle,maisha ya watu yapo hatarini, kutatokea maafa makubwa mno kama hatua stahiki hazitachukuliwa.Kenya ni dump site, hii ni pipeline na maeneo mengine yn uchafu uliowekwa humu ni 0.1% ya uchafu uliopo maeneo mengi ya Kenya, jamaa wachafu sn.
Kibera is overratedView attachment 2260322View attachment 2260323View attachment 2260325View attachment 2260326View attachment 2260327View attachment 2260328
Hapa wameweza pongezi sana kwao.
Kenya kila siku mamia ya wananchi wanakufa kwa kuporomokewa na majengo yaliyojengwa na engineers waliopata elimu duni ya Kenya.Kuna jengo moja hapo juu lina matofali ya tope kuna siku litashuka na kuleta maafa. Kwanini viongozi wa Kenya huwa hawabadiliki na kuchukua hatua tofauti na TZ? Hapa hatuongelei battle,maisha ya watu yapo hatarini, kutatokea maafa makubwa mno kama hatua stahiki hazitachukuliwa.
Wacha tubaki na uchafu wetu kuliko huu ushamba in 2022 bana😂😂😂😂😂😂., dhihirisho hamna hela ya kujenga flats/apartments😂😂😂😂..,Pipeline imeumiza watu sana, sasa kama hampendi mazingira machafu si mmbomoe? Au mui bomb hiyo area kuliko kulia lia na kufosi tufanane na mauchafu yenu.
Hawako serious na maisha ya watu. Mlipuko wa ugonjwa ukitokea hapo ni hatari. Jiji kazi yake ni nini, wanaachaje uchafu utapakae namna hii, au kampuni za usafi ni za familia za watawala ( Untouchable).Angalia jogoo alivyonenepa kwa kula funza na mende waliotapakaa hapo pipelineView attachment 2260332View attachment 2260333View attachment 2260334
Na bado husikii serikali ikichukua hatua kuwawajibisha wakandarasi. Hii nchi ina mambo mengi ya gizani.Kenya kila siku mamia ya wananchi wanakufa kwa kuporomokewa na majengo yaliyojengwa na engineers waliopata elimu duni ya Kenya.
Kenya nzima ni chafu mkuu, slums kila mahali mpk ikulu na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa, wacha wafe wapungue wapo wengi mno alafu kanchi kenyewe kadogo, just imagine Wakenya wapo over 55mil (takwimu za zamani) kwa kanchi ambako ni mara mbili ya Tz while watanzania tupo only 60mil.Hawako serious na maisha ya watu. Mlipuko wa ugonjwa ukitokea hapo ni hatari. Jiji kazi yake ni nini, wanaachaje uchafu utapakae namna hii, au kampuni za usafi ni za familia za watawala ( Untouchable).
Hizi zina muda mfupi sana hutaziona tena ,serikali inakuja na mpango kabambe kuipanga upya dar na kuboresha makazi, achana na DMDP.Kuwa na utulivu sisi siyo watu wa maneno maneno bro tunapiga kazi sasa hivi usiku na mchana.Wacha tubaki na uchafu wetu kuliko huu ushamba in 2022 bana., dhihirisho hamna hela ya kujenga flats/apartments
..,
View attachment 2260337
View attachment 2260330
View attachment 2260336