Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You've reminded me of that day Geza Ulole alikataa katakata kwamba this photo below is not from Nakuru or anywhere else in Kenya
1655209278562.png

The guy insisted eti hiyo picha tumeiba kwingine na keleta hapa 😂 😂
We had to bring several Google earth images of that section but he wasn't convinced still!
 
Save your energy my fren, anajua vizuri kile kitu unamwambia lakini hawa jamaa zetu ni wanatafuta consolation, dawa ni Ku ignore.
Nawapea hasira zaidi wamwage povu hadi basi, wakimwaga raha kwangu, am so happy😂 😂 😂 😂 😂 Mombasa city loading, bado hawajapiga nduru ya kutosha walete Kibera angles zote kujiliwaza😂😂😂😂😂, nimewanyonga kila sehemu, ni maumivu wanayo😂😂😂😂😂😂😂😂😂..,
 
Pipeline ya 2022 vs hii 👇 👇 takataka 90% poverty look in 2022!!😂😂😂😂., hatuwezi fanana kilaza..., hamuoni aibu kulazimisha fikra zenu., rudini mashambani mpande mahindi mtuuzie mpunguze ufukara na ushamba mlio jaza mjini, alafu, it's like over 60% ya Dar roads are not tarmacked😂😂😂😂😂😂😂.., niko free mtanzania ajitokeze kunidanganya..,
View attachment 2260264
Vumbi city and ushamba in 2022😂😂😂😂😂
View attachment 2260265
View attachment 2260268
View attachment 2260269
View attachment 2260270

Ukilinganisha, yaani ni wazi Pipeline estate kwa mtanzania itakua ni downtown.., 🔥🔥😂😂😂
View attachment 2260274
View attachment 2260277
View attachment 2260305
View attachment 2260297
View attachment 2260298
View attachment 2260300
View attachment 2260302
View attachment 2260304

View attachment 2260306
tuambie hzo location ndio hzi🤣🤣
18AC7CDC-34F6-4B5C-8EE2-3A85144A060A.jpeg
497AF604-62D2-4782-9239-A940B59C59DD.jpeg
3F034C14-6664-47F6-9D8F-E543D31F79D9.jpeg
B5DDE7D3-BF7F-4C9E-ACF6-AE20A0F25CD5.jpeg
 
Tazameni jinsi wanajeshi wa DRC wanalemewa na M23 rebels. Wale rebels TPDF ilidanganya ulimwengu kwamba imewamaliza.

 
Hawa ni tbt tu watapata kuhusu Nairobi, 2022 Nairobi imepiga hatua, hii inawaumiza sana, wamebaki na historia kujiliwaza.., sasa Naona after siasa, baada ya kuzindua miradi inayoendelea Mombasa., Dar tuwachane ipambane na mwenzako Mwanza na Arusha., hapa mchezo umeisha sasa wapige siasa zao..,
Mimi Nina picha nzuri sana za pipeline estate lakini siwezi hangaika kuzipost sahivi kwa sababu hakuna mtz anaweza nipangia maisha hapa JF. Kama wanaona pipeline estate ni mbovu, that's fine by them as long as it makes them sleep well at night.
 
You've reminded me of that day Geza Ulole alikataa katakata kwamba this photo below is not from Nakuru or anywhere else in Kenya View attachment 2260498
The guy insisted eti hiyo picha tumeiba kwingine na keleta hapa 😂 😂
We had to bring several Google earth images of that section but he wasn't convinced still!
I remember too, pia kuna an estate in Kisumu was posted some years back, mtu akasema "wacha ujinga hapo ni nairobi" mibongolala😂😂😂, Tanzania wako na nini kiukweli to level up with Kenya's development outside Nairobi? yaani ni domo domo tu.,😂😂😂😂😂
1655209690975.png
 
Ni kweli alihamisha wanyama kutoka sehemu nyingine lakini tangu awali walikuwepo, na iliitwa Burigi game reserve,ikizinguka pori la Kasindaga ambalo liko Biharamulo na Muleba, pori la Kimisi liko Karagwe.Haya mapori yote ndio yalitengeneza game reserve inayoitwa Burigi ,Wizara ya maliasili ikaipandisha hadhi na kuitwa Burigi Chato national park.

Malalamiko ya wana Biharamulo ni kwanini hifadhi iko kwao na inaitwa Chato,why isiitwe Biharamulo national park au Burigi national park?
Kuna ziwa ambalo liko Biharamulo linaitwa Ziwa Burigi. So wanyama wamekuwepo kitambo sana kabla hifadhi haijapandishwa hadhi.
hebu jisikilize kidogo unachoandika! Sasa kama walikuwapo mbona alihamishia? Ubinafsi na choyo kama alivyojichukulia tausi Ikulu baadae akaamua kugawa kwa kila Rais Mstaafu kujilinda? Nijibu swali!
 
Povuuu ndio hiyo, hadi raha , mwaga kabisaa😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 youtube tumeleta, mtakufa kwa pressure bure., naona ulcers loading 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sasa kama tangu awali walikuwapo mbona ahamishie wanyama kule? Hao simba 17 na wanyama wengine tusiojua? wacha ubishi mzee kuna wanyama walihamishiwa kule! End of the story! Watu wa Biharamulo wamekataa Burigi kuitwa Burigi-Chato NP wanataka iitwe Burigi NP!
Ndiyo nimekubali kwamba walihamishiwa kule ili kuongeza idadi wawe wengi baada ya kuuawa na majangili kutokea nchi jirani kwa kuingiza mifugo yao na kutowesha wanyama pori, lakini hiyo hifadhi ilikuwepo kitambo tu.Me ninashauri hilo jina libadilishwe maana hata Mbunge wao aliomba hivyo kwamba wananchi wanaona siyo haki.

Haya maeneo Geza ninayajua kuliko unavyodhani,siyajua kwa kusoma vitabuni nimeyaishi, napajua Chato, Muganza, Geita, Muleba, Karagwe, Muleba, Kyerwa na sehemu nyingine kibao. Wazee wangu waliwahi kuishi huko kote, na wakati wa likizo tukipita tulikuwa tunakutana na wanyama.

Ukiwa unaanza pori ukitokea Biharamulo kuna sehemu kuna nyumba za watu wa Maliasili zimejengwa miaka ya 80 mbele kidogo kuna temporary Police barrier, mita kama 200 kuna sehemu inaitwa mlima wa Simba, paliitwa hivyo kwasababu simba walikuwa wanakaa juu ya ukingo wa barabara na kufanya mawindo kwa wanyama wanaopita chini.

Sasa hivi imechongwa imekuwa kubwa na pana vile ina lami imerahisisha usafiri kuna wakati magari yalikuwa yanakwama.

Jipe muda ufuatilie hili,sidhani kama utaendelea kupinga kwamba haikuwahi kuwa hifadhi.
 
hebu jisikilize kidogo unachoandika! Sasa kama walikuwapo mbona alihamishia? Ubinafsi? Nijibu swali!
Ninachokion kwako siyo kwamba unapinga kwamba haikuwepo,Ila unapinga ni kwanini alihamisha wanyama kutoka hifadhi nyingine na kuwaleta Burigi.

Unajua mimi siyo mtoto wa juzi. Magufuli amekuwa Rais 2015.Kabla Nyerere hajang'atuka madarakani nimekuwepo Tanzania na hawa wanyama nimekuwa nikiwaona kipindi tukipita hiyo hifadhi, sasa utasemaje wamekuja kipindi cha Magufuli?

Kama hutaki kuamini sikulazimisha ila kama umeamua kubisha sawa, hata ukienda Mpingo house au una mtu mwenyeji wa hii mikoa atakwambia hiki ninachokuambia.
Tunza hizi meseji halafu fanya utafiti.

Kwahiyo katika orodha ya mapori ya akiba ya wanyama yaliyopo Tanzania na Burigi game reserve imo ilikuwa inahifadhi nini Sasa?
Walioiweka hawakujua kwamba ina wanyama ndani yake?
 
Wanyama walikuwepo. Wacha kupinga hovyo. Pengine hakukuwepo na simba na ndio maana walihamishwa huko. Aina ya wanyama ambao hawakuwepo awali ndio walihamishwa huko.
Hata simba walikuwepo Tony labda waliisha lakini nakumbuka tukipita usiku tulikuw tunaona vitu kama tochi tunaambiwa ni macho ya simba hayo, kuna chui, Twiga kwa macho yangu nilikuwa nikiwaona Live,nimegundua kitu Geza anabisha kwa kuwa anamchukia Magu tu ,kama siyo ni basi ni mdogo mambo haya hayajui.
 
Ninachokion kwako siyo kwamba unapinga kwamba haikuwepo,Ila unapinga ni kwanini alihamisha wanyama kutoka hifadhi nyingine na kuwaleta Burigi.

Unajua mimi siyo mtoto wa juzi. Magufuli amekuwa Rais 2015.Kabla Nyerere hajang'atuka madarakani nimekuwepo Tanzania na hawa wanyama nimekuwa nikiwaona kipindi tukipita hiyo hifadhi, sasa utasemaje wamekuja kipindi cha Magufuli?

Kama hutaki kuamini sikulazimisha ila kama umeamua kubisha sawa, hata ukienda Mpingo house au una mtu mwenyeji wa hii mikoa atakwambia hiki ninachokuambia.
Tunza hizi meseji halafu fanya utafiti.

Kwahiyo katika orodha ya mapori ya akiba ya wanyama yaliyopo Tanzania na Burigi game reserve imo ilikuwa inahifadhi nini Sasa?
Walioiweka hawakujua kwamba ina wanyama ndani yake?
Ofcourse kama wanyama wapo hakuhitaji kuhamishia huko! Usiniambie walikuwapo sijui majangili wakawamaliza! Make it short wanyama hawakuwapo ndo maana JPM akaamuru wahamishwe toka Serengeti kwenda Buigi-Chato NP kama hitaji!
 
Povuuu ndio hiyo, hadi raha , mwaga kabisaa😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 youtube tumeleta, mtakufa kwa pressure bure., naona ulcers loading 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
jibu swali basi hzi sehemu ziko sawa kweli 😂😂😂👇👇👇
 
Back
Top Bottom