Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Uchafu wa pwani wa Dar., 😂 😂 😂View attachment 2260395
Huyo anaepiga picha uchafu ndio sampuli ya watalii wanaoenda kunyaland
Uchafu wa pwani wa Dar., 😂 😂 😂View attachment 2260395
Huyo anaepiga picha uchafu ndio sampuli ya watalii wanaoenda kunyaland
Baada ya ujenzi kukamilika hili eneo linahitaji kupandwa miti na kuwa kijani, litazidi kuvutia zaidi.
Hii thread imejaa upuuzi sana. Umiliki wa property ni source ya income and wealth kwenye nchi zote! Usiwe muongo kiasi hiki! Kwa hiyo unataka nchi ijenge viwanda tu na watu wafanye kazi bila mahali pa kuishi? Interpretation yangu ni kuwa unataka the POOR working class wafanye kazi viwandani, wasiwe na fursa ya kumiliki property! Kama nchi inajenga viwanda, investments in property should also occur!
Magu kaiamsha sn hii nchi, watu walikuwa wanafanya mambo bora liende ilimradi ana 10% yake, lkn bwana yule akasema hapana kuna faida kubwa tunaipata tukitanguliza nchi mbele kuliko 10%, now at least tumeanza kuenjoy umuhimu wa uzalendo, 10% tumewaachia failed state.Hivi vibao vya summit vimewekwa very strategically, awali hayo maneno Tanzania hapo Chini haya kuwepo kwa ukubwa huo na lowest level hiyo ambayo hakuna picture utapiga isitokee hilo neno Tanzania
Pia Uhuru Peak waliamua kuweka bendera kabisa
Vibao vya zamani
View attachment 2260427View attachment 2260428
Vibao vya saivi
View attachment 2260431View attachment 2260432View attachment 2260430View attachment 2260429
Kama render mwanangu, naomba kama una picha zingine tupia mkuu






Mkwanjaa tuuHivi hatuwezi kuwashawishi akina Lionel Messi na Christiano Ronaldo kuja kutembelea hifadhi zetu?
Wapi nilisema kwamba sisi tunajenga plants? Kuchimba pia sio kazi rahisiNaona umedhihirisha kwamba Geothermal plants Kenya hujengwa na makampuni ya nje! Zile kelele za Ethiopia ni kuchimba visima tu!
Itakaa sawa kivipi? Majengo hayajengi nchi wala kuongeza income ya watu, kinachotakiwa siyo majengo mazuri mazuri bali ni viwanda vinavyoweza kutoa ajira kwa watu wetu ili kuongeza kipato na kujenga middle class inayoweza kumudu shopping, vinginevyo ni kujenga favela mpya, hao watu wote watawapeleka wapi ? Kuna sababu kwa nini walijenga huko milimani in first place.
Tanzania haihitaji shopping malls wala apartments na skyscrapers bali tunahitaji viwanda, …
Sasa ngoja tumstopishe jamaa kujenga apartments lkn ututafutie mjenzi wa viwanda, we vp mkuu? Maviwanda yote hayo na infrastructures zote zinazojengwa Mwanza huoni?Real estate, shopping malls & Co. siku zote huja baada ya kujenga middle class ambayo inaweza afford hivyo vitu vinginevyo ni white elephant project, I mean hela za kulipia hizo appartments zitatokea wapi kama watu hawana kazi?
Labda nikuulize kwa nini shoprite na game wamefunga na kuondoka unafikiri ?
Kadanganye wajinga! Wanyama walihamishwa kwenda Burigi! Upimbi aliofanya mwendazake ni kukandamiza wadau wa utalii wa Kaskazini walio kwenye sekta ya huduma za utalii kwa makodi kwa miaka nenda miaka rudi akidhani utalii hujengwa kwa mabavu! Na ndo ilikuwa hulka yake hata Kikwete alishawahi kulalamika!Kabla Chato Burigi haijawa national park ilikua game reserve toka dunia imekua so hakuna mnyama aliehamishiwa, wanyama wote wapo toka dunia imeumbwa, bado Tanzania ina game reserves nyingi ambazo sio national parks zenye wanyama kibao!
Komaeni tu na Ngorongoro na tutawapiga sana wamasai wa kenya


wataelewa tuumeumia sana kwani mm ndio nimepiga picha 🤣🤣🤣🤣Thanks for tbt
Siyo viwanda tu hata kuwawezesha watu wetu kupiga hatua kwenye sekta nyingine kama sekta ya kilimo, uvuvi, ufundi n.k.
Halafu wanakuambia walishaachana na agrarian economy 😂😂😂
Wapo industrial economy tungetakiwa kuona robots barabarani badala yake tunaona ngamia na ng'ombe kila kona😅😅😅
Akili ya, mkunya bana tabu sana 😄
hebu tazama hzi picha mbili ziko sehemu moja kweli 😂😂😂 au unatafuta nafuuThe guy is so desperate have posted even a video clip ya 2022., sisi sio wenzao bana.,., na hapa bado iko ranked as a slum in Nairobi., pipeline(Paipu) estate bado ni ghetto in Nai.,
View attachment 2260041
Sasa ngoja tumstopishe jamaa kujenga apartments lkn ututafutie mjenzi wa viwanda, we vp mkuu? Maviwanda yote hayo na infrastructures zote zinazojengwa Mwanza huoni?
huwaga nachrja sana na kujiuliza hii nchi ya kishamba ya kenya huwa inajenga miundo mbinu ya barabara ili kupunguza foleni au mbwembwe maana umuhimu wa huo ujenzi hauna tija zaidi umeenda kuongeza jam zaidi