Si wamepelekwa handeni,nasikia kuna kila kitu huko wameandaliwaIdadi ya Maasai na wanyama imezidi kuongezeka na kuwa kubwa na kutishia usalama wa wild animals, so kama wakiondolewa kwa haki mbona hakuna shida kabisa hapo.
Yaani Mwanza itawaka haswaa. Sasa hawa wanaohamishwa wasiwaache wajenge kila mtu anapopataka ni vyema kupewa hati za viwanja vilivyopimwa ili pesa watakazolipwa wazitumie kujengea makazi mapya ambayo yatazidi kulipendezesha jiji kwa mpangilio ulio safi.Investors have now discovered the new route of wealth![]()
Ni kweli nimeona hata mimi nyumba wamejengewa nzuri tu na viwanja vimepimwa, sasa sijui kama ni wote wamekubali kuondoka au lah!Si wamepelekwa handeni,nasikia kuna kila kitu huko wameandaliwa
Kuna baadhi washaenda handeniNi kweli nimeona hata mimi nyumba wamejengewa nzuri tu na viwanja vimepimwa, sasa sijui kama ni wote wamekubali kuondoka au lah!
Siasa wakati mwingine huwa zinaharibu nchi. Hili lilikuwa jambo zuri lakini kuna wengine bado wanpinga. Hapa ndipo panaleta ukakasi. Walimalize kibusara zaidi.
Yaani Mwanza itawaka haswaa. Sasa hawa wanaohamishwa wasiwaache wajenge kila mtu anapopataka ni vyema kupewa hati za viwanja vilivyopimwa ili pesa watakazolipwa wazitumie kujengea makazi mapya ambayo yatazidi kulipendezesha jiji kwa mpangilio ulio safi.
Wizara ya ardhi mnawajua watu wote ingekuwa vizuri mkawapa kipaumbele cha kupewa viwanja vilivyopimwa unless otherwise mtu atake pesa yake kuifanyia kitu kingine nje ya ujenzi wa nyumba.
Sasa kwanini wasingejenga expressway ya lane 1 tu kukwepa hii aibu na hasara? 😅😅😅😅
i truely concur... naxvegas inamega kumega 🔥🔥Nairobi-Nakuru highway as you enter Nakuru town
View attachment 2260397
Satanic country to live in Africa. No country in Africa can match Kenya as far as the term waste is concerned.View attachment 2260388View attachment 2260389View attachment 2260390
Sasa kwanini wasingejenga expressway ya lane 1 tu kukwepa hii aibu na hasara?![]()

swahilitimes.co.tz
I have more than 1000 pictures showing garbages in many counties if not all in Kenya.View attachment 2260381View attachment 2260382View attachment 2260383View attachment 2260384View attachment 2260385View attachment 2260386

Nimezungumzia mandhari.Itakaa sawa kivipi? Majengo hayajengi nchi wala kuongeza income ya watu, kinachotakiwa siyo majengo mazuri mazuri bali ni viwanda vinavyoweza kutoa ajira kwa watu wetu ili kuongeza kipato na kujenga middle class inayoweza kumudu shopping, vinginevyo ni kujenga favela mpya, hao watu wote watawapeleka wapi ? Kuna sababu kwa nini walijenga huko milimani in first place.
Tanzania haihitaji shopping malls wala apartments na skyscrapers bali tunahitaji viwanda, …



Halafu wanakuambia walishaachana na agrarian economy 😂😂😂Kenya ndiyo nchi pekee duniani inayoruhusu mifugo kuingia CBD na kunya kunya hovyoView attachment 2260234
ni ukweli usiopingika magufuli aliitenga mikoa ya kaskazini hususani kilimanjaro na arusha; dual carriage ya arusha moshi ilianza wakati wa kikwete hata hivyo magufuli akaisimamisha hadi alipofarikiMzee umewahi kufika ARUSHA angalau ukapata kuona miradi aliyoifanya mwendazake Ili kuboresha mji wa Arusha, hiv unaujua mradi wa upanuzi wa runway ya uwanja wa ndege Arusha.? Unaijua miradi ya mabarabara karibu yote pale mjini, ujenzi wa zahanati.? Ukarabati wa shule kongwe n.k.? Au haujawahi fika kaskazini ndio mana unaropoka.? Moja Kati ya mipango ya Magufuli ilikua ni kutengeneza barabara ya Moshi-Arusha kuwa dual na miradi mingi mingi pale moshi mjini.. Umewahi kufika bahati wewe.? Nakuhakikishia barabara zinazoinganisha mikoa hapa Tz zote hazifiki uzuri na viwango vya barabara zinaunganisha mikoa ya kaskazini .. sasa kama kafanya mambo yote haya huyu bwana mwendazake vipi leo useme jamaa alikua anasambaratisha utalii Kaskazini.? Unajisahaulish kwamba ni katika uongozi wa Raisi magufuli ndio mapato yetu ya utalii yalipaa hata kuwazidi jirani wenye roho mbaya.?
Hii thread imejaa upuuzi sana. Umiliki wa property ni source ya income and wealth kwenye nchi zote! Usiwe muongo kiasi hiki! Kwa hiyo unataka nchi ijenge viwanda tu na watu wafanye kazi bila mahali pa kuishi? Interpretation yangu ni kuwa unataka the POOR working class wafanye kazi viwandani, wasiwe na fursa ya kumiliki property! Kama nchi inajenga viwanda, investments in property should also occur!Itakaa sawa kivipi? Majengo hayajengi nchi wala kuongeza income ya watu, kinachotakiwa siyo majengo mazuri mazuri bali ni viwanda vinavyoweza kutoa ajira kwa watu wetu ili kuongeza kipato na kujenga middle class inayoweza kumudu shopping, vinginevyo ni kujenga favela mpya, hao watu wote watawapeleka wapi ? Kuna sababu kwa nini walijenga huko milimani in first place.
Tanzania haihitaji shopping malls wala apartments na skyscrapers bali tunahitaji viwanda, …
Pia wamesema watajenga Kiwanda cha mbolea ambacho kitahudumia Kanda ya Ziwa, hotels na miundombinu ya barabara, bila shaka na maji, umeme na kila kitu,beach itajengwa sasa hapa hakutakuwa na ajira? Labda jamaa alikuwa hajasoma vizuri.Hii thread imejaa upuuzi sana. Umiliki wa property ni source ya income and wealth kwenye nchi zote! Usiwe muongo kiasi hiki! Kwa hiyo unataka nchi ijenge viwanda tu na watu wafanye kazi bila mahali pa kuishi? Interpretation yangu ni kuwa unataka the POOR working class wafanye kazi viwandani, wasiwe na fursa ya kumiliki property! Kama nchi inajenga viwanda, investments in property should also occur!