Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muingereza Mwenye asili ya Tanzania ashinda tuzo ya Heshima ya Malkia Elizabeth..

Hawa akina kimiti kwao ni Sumbawanga na majuzi tulizika shangazi wa marehemu.

My take.

Hawa watoto wa vigogo wako wengi Sana huko Ughaibuni na wamekana Uraia wa Tanzania sasa hivi ndio wanajiita diaspora wanalazimisha uraia pacha..

Serikali msikubari huu upuuzi,wakomae huko huko walikokuona kunawafaa shenzi wakubwa hao.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-140840.png
    Screenshot_20220606-140840.png
    65.4 KB · Views: 33
  • Screenshot_20220606-141001.png
    Screenshot_20220606-141001.png
    41.7 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220606-140936.png
    Screenshot_20220606-140936.png
    37 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220606-141015.png
    Screenshot_20220606-141015.png
    41.3 KB · Views: 26
JPM alikuwa controversial kinoma humu wengi wanaomshangilia kwa nguvu ni jamaa wanaotoka kanda ya ziwa yaani beneficiary wake in one way or another! Ukitaka ujue true colours za JPM kuwa mtu wa nje alafu itikadi za kichama uwe upinzani haswa CHADEMA! Si mtu aliyeheshimu hard working and business accumenship!

Jamaa wa hii lodge


Aliifunga na kukimbilia SA!

Angalia hii video imerikodiwa kutoka Moshi, jamaa anasema ni kipindi cha mwaka mmoja uliopita vijiji vyao vimepata barabara za lami na umeme, ningetemea kwa akili yako finyu hapa pawe lake zone, Magufuli hachafuki ila utanuka wewe.

 
Angalia hii video imerikodiwa kutoka Moshi, jamaa anasema ni kipindi cha mwaka mmoja uliopita vijiji vyao vimepata barabara za lami na umeme, ningetemea kwa akili yako finyu hapa pawe lake zone, Magufuli hachafuki ila utanuka wewe.


barabara za Kilimanjaro ni za Kikwete!
 
na mnataka
Kila mtu anajua hii ni photoshop. 🤣 🤣 Hakuna siku kampuni ya Kenya ikatengenezewa

Huku Tanzania Marais wote waliopita kuanzia Nyerere hadi Samia Suluhu wote wamesoma Shule za serikali, na Celebrities wote wamesoma Shule za serikali, wakati ninyi mkijinasibu ma kundi dogo linaloishi maisha ya kifahari, sisi tunajinasibu na kundi kubwa lenye kuishi maisha halisi ya kiafrika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
achana na hao watumwa wa kila kitu
 
Hukumu ya mahakama iliyokuwa inaendeshwa na Magufuli sio? Mashamba ya kilimanjaro veggies hayakuharibiwa kwa hukumu ya mahakama bali DC ambaye alipata promotion baada ya uharibifu!
Naona muarabu rostam tayari amekulambisha asali ili kudumisha juhudi ya kupambana na MAREHEMU ILA NAONA TEAM YENU INAZIDI KUFIFIA KWA SABABU SA100 ana nyota ya mafii abebeki, sisi tunasubiri dakika ya 65 ndiyo tuna anza vita kamili na waarabu wote walio jimilikisha ccm na serikali
 
Mm ktk maisha yangu yote hapa duniani nimejitathmini nimegundua siwezi kuyajali maisha yangu binafsi nikaacha watu wangu wakiteketea, niko hivyo na nahisi nitaendelea kuwa hivyo mpk naingia kabulini, yn mm maendeleo yangu binafsi hayana maana yoyote ikiwa lundo la watu wanaonizunguka wanataabika.
Fact.
 
Wacha wee ati imepata nguvu kipindi cha JPM labda TAHA ya Chato! BTW cargo plane imeagizwa budget 2021-2022 after JPM is dead! Hivi unajua TAHA walishawahi kukodisha cargo plane kabla 2009?

Wewe mpumbavu geza ulole ....jua tu kuwa chifu mafii hakuna mtz mwema anaye mkubali huyo anapendwa na mafisadi ,wauza ngada ,vyeti feki , na waarabu mafisadi kina rostam na singasinga ,subiri uone siku vinavyo kwenda muda utaongea
 
Mm huwa najiuliza mtu unawezaje kusherehekea maslahi binafsi ilihali Lundo la watu linataabika?
Angekuwaa Nyerere leo angekupa mkono wa hongera kwa kuwa na mitazamo kama yake, Tz ilipata uhuru mapema lakini Nyerere hakuona manufaa ya uhuru ule ikiwa wezetu wako chini ya ukoloni , akamua kuacha kujenga Tz akapeleka nguvu kazi kwenye kukomboa nchi nyingine.
 
Mumezoea umaskini hadi ime affect the way you reason. 🤣 🤣 🤣
masikini ni nani? kati ya Tanzania inayojitosheleza kwa chakula na kuuza ziada nje ikiwamo kenya au kenya kila mwaka ni habari ya dunia kwa watu kufa njaa na kipindupindu?
 
Baba yake mbowe alikuwa anamiliki kiwanja pale samora avenue ilipojengwa posta na simu jengo la extelcoms Nyerere akaomba kile kiwanja akambadilishia na kumpa kingine hapo nyuma yake ndio akajenga bilicanas sasa ile kumyanganya ni dhuluma tuu kesi ya ngedere unampelekea nyani nadhani majibu utajua tuu yata favour nani.
Ni haki ni haki ni haki kuwa pokonya mali zao zote watanzania wasio wazalendo kwa wanatumiwa kuhujumu nchi yetu kwa mikono ya mafisadi wa ndani na nje. Mtu kama tundu lissu ni takataka tu
 
Hii video nimeisikiliza na imenihuzunisha sana. Huyo Sabaya ni shetani wa aina gani? Na mbona aruhusiwe kunyanyasa wafanyibiashara namna hii?
Huyo ni rais ajaye tz tunataka ma dictator wazalendo
 
Back
Top Bottom