joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkuu, Nyumba za serikali ziliuzwa kwa idhini ya bunge la Tanzania kuridhia ziuzwe, fuatilia haya Mambo kwa undani.Mbona hakurudisha nyumba za serikali alizojigawia yeye na wana CCM wenzie Oysterbay? Bilicanas na Much more zipo tangu 1990s na kabla ya hapo Mbowe hotel chini ya Marehemu babake Freeman ila kuja kuvunjwa kwa madai ya kujigawia 2015? Kaka hebu kuwa fair kidogo! Mbaya zaidi Ngosha huyuhuyu mwenye roho ya kwanini alijaribu ku-replicate alichoharibu Kaskazini Chato akashindwa! Hasidi haina hiyana!
Kuhusu hiyo Billicanas, ni kweli kwamba ilikuwepo tangu 1990s, ndio kipindi hicho cha Mwinyi ambacho watu matajiri akiwemo baba yake Mbowe walijimilikisha Nyumba za serikali, mkuu mbona huzungumzii Nyumba zingine nyingi ambazo zilirudishwa pamoja na Billicanas, Kuna watu wengi tu walijimilikisha hizo Nyumba toka miaka hiyo ya 1990s na zilirudishwa, kwanini unamtetea Mbowe peke yake?, Kwani kosa linachakaa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

, that guy was bad news, see trade between the two countries flourishing