Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, hili la Billicanas lilipitia mahakamani na Mbowe alupoteza hiyo kesi, Mbowe alikata rufaa na bado akapoteza hiyo kesi, tunapaswa kufuata Sheria na taratibu za Nchi zilizopo pamoja na kuheshimu maamuzi ya mahakama

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Baba yake mbowe alikuwa anamiliki kiwanja pale samora avenue ilipojengwa posta na simu jengo la extelcoms Nyerere akaomba kile kiwanja akambadilishia na kumpa kingine hapo nyuma yake ndio akajenga bilicanas sasa ile kumyanganya ni dhuluma tuu kesi ya ngedere unampelekea nyani nadhani majibu utajua tuu yata favour nani.
 
Ni kweli hakuwa Kama tunavyolazimisha, lakini pia hakuwa Kama ninyi mnavyolazimisha, alikua na mabaya yake mengi tu, lakini sio Kama mnavyojaribu kumchafua.

Ninalolisema kwa Magufuli, pia ninalisema kwa Samia, Mambo mengi anayosemwa ni kujaribu kumchafua. Mkuu Magufuli alikua na matatizo ninakubali, lakini mengi unayoyasema unamsingizia

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Utawala dhalimu siku zote hauna kibali mbele za Mungu na hakuna maendeleo yoyote duniani yanayoweza kufunika haki za watu kuishi. Roho ya mtu ni kama jua huwezi kufunika na kaniki.

Wako watawala wengi tuu dhalimu walishawahi kutokea hapo nyuma duniani ukisona historia utaona jinsi mwisho wao ulivyokuwa mfano mzuri ni Julius Caesar.
 
Hiyo mipango ya kuagiza hiyo ndege pamoja na budget alishaagiza Magufuli, kinachofanyika ni kutekeleza Maono na maagizo yake, kuwa mkweli, ni kipindi kipi TAHA ndio imeanza kupata nguvu? Kikwete, Magufuli au Samia?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Order za ndege zimewekwa mwaka jana pale Dubai kwenye Dubai Expo .
 
Museveni pia amejitangazia Uganda middle class
Kumbuka watanzania na wauganda wamejaa Kenya kinyume cha sheria wakitafuta ajira na kuomba omba
Screenshot_20220608-061807.jpg
 
Hii video nimeisikiliza na imenihuzunisha sana. Huyo Sabaya ni shetani wa aina gani? Na mbona aruhusiwe kunyanyasa wafanyibiashara namna hii?
 
Watu wasiofika ht 2% wanakula nusu ya mapato ya serikali...hii sio sawa.
Tunaserikali yenye wafanyakazi wengi wasio kazi za kufanya na wengine wanaproduce less than 20%.
Infact nna washkaji zangu wapo serikalini now wame abandon post zao ili wafanye mambo yao, wengine wapo Moro na Singida wanalima, wengine wapo Dar wana fanya mishe zao and still wanapata salary km kawaida. Ukiwauliza wanakwambia Mzee alibana sana wacha wapumue. na bado wanalilia mishahara ipande.
Kwanza serikalini kwa ss tunatakiwa tupewe kazi za mikataba bila ya kuwa na ubinafsi wala nn, vijana wasio na kazi na wamesoma ni wengi mno mtaani, hakuna haja ya kuwapa watu wachache kazi ya muda wote ilihali hakuna kazi yoyote ya mana wanayofanya.

Serikalini kuna uzembe mkubwa sana, wafanyakazi hawajitumi kabisa kwasababu hawana pressure yoyote, anajua tu hata asipojituma kazi ataendelea kuwa nayo na mshahara utapanda.

Nashauri kazi za serikalini ziwe za mkataba ili kila mtanzania mwenye sifa atumikie nchi yake, kuwe na utaratibu wa kupewa mkataba wa miaka mitano baada ya hapo wale wanaojituma kazini waongezewe mkataba yani kuwe na daily assessment baada ya miaka 5 mtu anaangaliwa ufanisi wake na mahudhurio yake kazini zen kama ni goi goi mkataba wa miaka mitano unamtosha, akatafute kazi sehemu nyingine.

Kwa kufanya hivyo ufanisi serikalini utaongezeka lkn pia tutangeneza ajira lukuki kwa vijana maelfu wanaomaliza vyuo kila mwaka, pia itapandisha ubunifu kwa wafanyakazi serikalini mana mtu anajua fika nina mkataba wa miaka mitano nikichezea pesa nitakwisha, kuliko ilivyo sasa watu wanaota vitambi tu na kazi hawafanyi ila wanalilia nyongeza za mishahara tu kila kukicha.
 
Uharibifu wa mashamba ya gharama (greenhouse n irrigation systems) au kwa vile Chato hamna, hotelI, club billicanas na Tanzania Daima je? Kisa Mbowe mpinzani?

Je uporaji wa fedha za wenye bureau de Change haswa Arusha na Moshi? Au kwa vile Chato na Mwanza hamna?

Huku akiharibu tourism Industry Arusha na Moshi kwa wivu, alikuwa busy kujaribu kuhamishia kizuri hicho Chato! Mara ajenge ferry Chato, Mara aanzishe Mbuga Chato! Mara ajenge international Airport Chato, mara alazimishe TANAPA kujenga hoteli Chato! Viko wapi?
Halafu joto la jiwe huwa anadanganya Wakenya humu JF kwamba Tanzania hakuna ukabila. Eti ukabila upo Kenya tu. Madudu ya Tanzania yanaonekana sasa japo huwa yamefichwa kwa ustadi mkubwa. joto la jiwe nisiwahi kukusikia tena ukisema kwamba Tanzania hakuna ukabila.
 
Museveni pia amejitangazia Uganda middle class
Kumbuka watanzania na wauganda wamejaa Kenya kinyume cha sheria wakitafuta ajira na kuomba ombaView attachment 2253821
Mtanzania aje kufanya nini huko kwenye uchumi unaoendeshwa kwa ukahaba? Nairobi CBD yote ni office ya machangudoa na malaya wanajiuza 24/7

Kama sio Tanzania yenye real economy kunyaland ni takataka by now!

Screenshot_20220415-112101.png
 
Kwakua umezungumzia Mishahara let me give u the numbers.
1. Mama kapandisha mishahara kwa 1.59T. Now wages bill inasoma 9.7T kwa mwaka.
2. Leo Mwigulu wakati ana table bajeti yake amesema 9.09T ni ya kulipia madeni.
3. Ukichukua madeni na mishahara total ni 18.79T kwa mwaka or average ya 1.57T kwa mwenzi just kwa mambo hayo mawili.
4. Nenda kaangalie average ya mapato ya TRA kwa mwezi then uone km inakidhi hayo mambo mawili.
5. So where do we get pesa za maendeleo na matumizi mengineyo?kifupi from now onward we cant finance miradi kwa pesa za kodi(ukweli mchungu).
8. How come watumishi wa serikali ambao hawafiki ht milioni mgawane nusu ya kodi zetu za watanzania baki 54M?
9. Kwann ile 1.57T ktk wages bill isingemalizia bwawa la nyerere or reli ASAP then tulipane mishahara kwa faida itakayopatikana?
10. Nway kupanga ni kuchagua. Mimi ni muumini wa nitoke jasho now, nijinyime now ili wanangu na wajukuu wasijetoa lawama na mimi niishi kwa raha mushtarehe ktk uzee wangu, hii kauli mbiu la lamba asali, kula bata maisha ndo haya haya does not go well with my soul.
ALL THE GREAT NATIONS WERE BUILT BY PEOPLE WHO PREPARED THEIR GENERATION FOR THE FUTURE and NEVER WORRIED BY THEIR CURRENT WELL BEING.
Ni kweli ongezeko la mishahara la 1.57T ni mwingi sana. Tatizo ni kwamba TRA inakusanya pesa kidogo sana. Unajua TRA inakusanya around $11 billion kwa mwaka? Sasa ikiwa pesa ya kulipa deni na pesa ya kulipa mishahara ya Tanzania ni $9 billion na TRA inakusanya hio $11 billion basi ni kweli itabidi muombe loans kufinance miradi zenu kuanzia sasa. Kenya pia tuna hili tatizo ambapo pesa ya mishahara na ya kulipia deni inamaliza pesa yote ya ndani sasa inabidi tukope ili kujenga miundo mbinu. Tatizo la huu upuuzi ni kwamba sio sustainable na nchi itakuwa bankrupt ikiendelea kuomba madeni makubwa ili kufinance 100% ya miradi yake. Naona EAC tunaelekea pabaya na nyie mnatucopy tu. Ongezeko la deni nitablame rais Samia na Magufuli wote kwa pamoja. Watu wanasahau Magufuli alianzisha miradi mingi na kusema yatajengwa kwa pesa ya ndani. Sasa JNHPP, SGR, upanuzi wa port za TZ, ujenzi wa daraja la Kigogo-Busisi na miradi mingine zitajengwaje na hio $11 billion ambayo TRA hukusanya kwa mwaka? Haiwezekani. JPM alimwachia mama mzigo mkubwa wa kuendelea kujenga miradi mikubwa inayohitaji pesa nyingi kuendelesha, sasa ikamlazimu mama kukopa zaidi ili kuendeleza ujenzi wa miradi alizoanzisha JPM.
 
Ninakubaliana na wewe kwamba "he was very controversial", lakini mazuri yake ni mengi Sana kuzidi mabaya yake. Kabla ya Magufuli nchi ilikua imeoza kwa rushwa, ubadhilifu na upuuzi wa kila aina, CCM ilikua inakaribia kusambaratika, watumishi serikalini walikua wanafanya kazi wapendavyo, masikini hawakuwa na haki, watu walinyang'anywa mashamba Yao na matajiri wakishirikiana na viongozi wa serikali, Magufuli alifanya kazi kubwa Sana kurekebisha hayo makosa yaliyofanyika kwa muda mrefu.

Hiyo TAHA unavyosema, imeanza kupata nguvu katika kipindi cha utawala wa Magufuli, ni Magufuli ndiye aliyeagiza Ununuzi wa ndege maalumu ya mizigo ili kupunguza utegemezi wa wakulima wa maua ktk mikoa ya kaskazini (ambao unasema anawatenga)kwa Nairobi, ili maua Yao yasiharibike kwa kutegemea Nairobi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Si ndiyo hapo nashangaa inakuwaje mtu unajitoa ufahamu wakati karibia asilimia kubwa ya maendeleo makubwa tunayofanya kwa ss ktk sekta zote mchochezi ni JPM, sasa mtu anasifia TAHA ivi kweli hajui kama iyo TAHA imepata mafanikio makubwa katika kipindi gani kweli? Hii nchi ililala sana imeamshwa na Magufuli tukubali tukatae, kuanzia baharini, ziwani, barabarani, airport, hospitalini mpaka shambani huo ndio ukweli japo ni kweli alikuwa na kasoro zake kitu ambacho hakuna mwanadamu asiye na kasoro, ila kasoro zinapomezwa na mazuri hatuna budi kukumbuka.
 
Wacha wee ati imepata nguvu kipindi cha JPM labda TAHA ya Chato! BTW cargo plane imeagizwa budget 2021-2022 after JPM is dead! Hivi unajua TAHA walishawahi kukodisha cargo plane kabla 2009?

Duh, so freighter imeagizwa na mama? Aisee
 
Kumbe all along wakenya wakisema magufuli was a dictator ulikua unakubali kimoyoni, sasa nani hapo ndio mbishi mkenya ama mtz, that guy was bad news, see trade between the two countries flourishing
Inakuwaje Rais ambaye sie wenu mumchukie? Ni kama Africa ilivyomchukia Trump cz aligusa maslahi ya Afrika na ni kwasababu USA inaitawala Africa c ndiyo? Nadhani jibu unalo sasa
 
Mkuu, watumishi serikalini ni chini ya 2% ya watanzania wote, mishahara kw mwezi ni TZS 600B, hii zaidi ya 40% ya Makusanyo ya TRA kwa mwezi, kwahiyo 2% ya population ipewe 40% ya Pato la nchi nzima kwasababu tu wamesoma?,. Hivi unataka tulipie "degree certificates ", au tulipie kile mnachozalisha?, Kama kweli munesoma kwanini msitumie Elimu yenu kuongeza mapato ya nchi ili tupate pesa nyingi ndio mdai mishahara mikubwa?

Mkuu, hatuwezi kuwapa pesa nyingi kwasababu hamzalishi pesa nyingi, Kuna watanzania wengi wazalendo ambao wapo tayari kulitumikiabtaifa kwa hiyo mishahara iliyopo, wewe Kama unahisi ni kidogo haikutoshi, kwanini usitafute kazi yenye maslahi zaidi, au kwanini usitumie Elimu yako kujiajiri?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe unaleta siasa kwenye mambo ya kitaalamu, haijalishi watumishi ni %ngap lazima serikali iwalipe vizuri,Tunashukuru SSH ameliona hilo,sasa Hapa labda tujadili mambo mengine ya msingi,Najua watu hawamuelewi Pres SSH simply kwasababu ameongeza mishahara, hizi ni jokes mnaleta
 
Back
Top Bottom