Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Labda sijui heshima manake nn,
Naona kuna mahali umenitaja na kusema suala la mishahara, Kuna mikataba ,sheria na utaratibu ambazo zipo na kitaalamu zinatambulika,suala la kuongeza mishahara halihusiani na ujenzi wa madaraja ama ujenzi wa aina yoyote ile...Sasa bad enough unapogusa maslahi ya watu usitegemee ueleweke watakuelewa wale ambao hawana direction na maisha yao tu.

Raisi ni mwanasiasa wako watu wanaofanya kazi lazima awathamini Jpm hakua anaheshimu wafanyakazi alikua anaamini yeye mwenyewe ndio anaweza kufanya kazi,Kitu ambacho sio kweli,Binafsi naweza sema alijitahidi kufanya kazi ila kipengele icho sijawahi kumkubali hata siku 1
Shida inakuja moja kwamba Watz hatukuwahi kuona faida ya nyie kuongezwa mishahara, ila tuliona faida ya nyie wafanyakazi wa serikalini kutoongezwa mishahara na badala yake kujenga hospitali, zahanati, madaraja, barabara, bandari, airports, reli, etc.
 
Aisee Uhuru anaweza kwenda kutoa a note of protest kulalamika kwann Tanzania inapewa miradi huku LAPSSET imedorora!

SGR ina-attract hawa majamaa hata kabla haijaisha! Mara US mara France!
Kabla ya Uhuru,Sukuma gang watatangulia kufanya fitna na maswali yao ya kipumbavu eti mradi unaharakishwa 😬😬
 
Labda sijui heshima manake nn,
Naona kuna mahali umenitaja na kusema suala la mishahara, Kuna mikataba ,sheria na utaratibu ambazo zipo na kitaalamu zinatambulika,suala la kuongeza mishahara halihusiani na ujenzi wa madaraja ama ujenzi wa aina yoyote ile...Sasa bad enough unapogusa maslahi ya watu usitegemee ueleweke watakuelewa wale ambao hawana direction na maisha yao tu.

Raisi ni mwanasiasa wako watu wanaofanya kazi lazima awathamini Jpm hakua anaheshimu wafanyakazi alikua anaamini yeye mwenyewe ndio anaweza kufanya kazi,Kitu ambacho sio kweli,Binafsi naweza sema alijitahidi kufanya kazi ila kipengele icho sijawahi kumkubali hata siku 1
Kiufupi jamaa alikuwa controversial!
 
Attachments

  • Screenshot_20220607-215032.png
    Screenshot_20220607-215032.png
    119.9 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220607-215106.png
    Screenshot_20220607-215106.png
    167 KB · Views: 26
Shida inakuja moja kwamba Watz hatukuwahi kuona faida ya nyie kuongezwa mishahara, ila tuliona faida ya nyie wafanyakazi wa serikalini kutoongezwa mishahara na badala yake kujenga hospitali, zahanati, madaraja, barabara, bandari, airports, reli, etc.
Watanzania hawatakiwi kuona faida wa mishahara kuongezeka wanatakiwa kuiona iyo faida ni wwnaofanya izo kazi
 
Kwahiyo wewe unawaza maisha yako tu? Kwamba hawa Watz wengine wenye tabu na shida lukuki huwaoni? Unawaza wewe tu upate pesa ya bia na kuongeza wake tu.
Kwahyo wewe unawaza maisha ya nani so far? Tuachage unafiki
 
Kweli Magufuli alikua ni Controversial person, lakini ni rais ambaye alileta mapinduzi makubwa Sana ya kimaendeleo, kiuchumi, kifikra, kujiamini kwa waafrika na utendaji serikalini.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa unapombana mtu aweze ku deliver lazima umboreshee maslahi yake,No wonder SSH kaamua kutumia iyo nafasi kurekebisha hayo madudu,
Kujenga nchi nani aliewazuia?kwani kazi ya raisi ni zipi mbona watz tunavichwa vigumu sana, na nani aliesema wewe ukijenga nchi watu wengine wagande wakungoje wewe ufanye yako..Ndio maana nchi za hovyo nataja kama (Russia) unakuta budget kubwa kwenye majeshi alafu hawana mambo ya maana kwenye huduma za kijamii,hivi ni vipaumbele tu vya aliemadarakani sio lazima sana viwe vipaumbele vya watu anaowaongoza
 
World bank ndio walikua wafadhili wa ule mradi na waliachana nao baada ya ule upuuzi aliofanya...Siwezi sahau hii story ntakuletea ushahidi nipe dk chache
Mkuu usipoteze muda wako, ule ulikua ni uzushi Kama uzushi mwengine, huwezi kupata ushahidi, miradi mingi Sana tulikosa mikopo na Magufuli aliamua kutumia pesa za ndani, mfano ni Barabara ya Morocco - Mwenge, daraja la Kigongo -Busisi lenye thamani ya TZS 700B, reli ya SGR kipande cha kwanza na Barabara nyingi za mikoani zilijengwa na bado zinaendelea kujengwa kwa pesa za ndani baada ya kukosa mikopo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwahyo wewe unawaza maisha ya nani so far? Tuachage unafiki
Mm ktk maisha yangu yote hapa duniani nimejitathmini nimegundua siwezi kuyajali maisha yangu binafsi nikaacha watu wangu wakiteketea, niko hivyo na nahisi nitaendelea kuwa hivyo mpk naingia kabulini, yn mm maendeleo yangu binafsi hayana maana yoyote ikiwa lundo la watu wanaonizunguka wanataabika.
 
Shida inakuja moja kwamba Watz hatukuwahi kuona faida ya nyie kuongezwa mishahara, ila tuliona faida ya nyie wafanyakazi wa serikalini kutoongezwa mishahara na badala yake kujenga hospitali, zahanati, madaraja, barabara, bandari, airports, reli, etc.
Bro unaumiza kichwa na hao watu, wapinga magufuli wote tunawajua, ni wale ambao walikua, "wabadhilifu wa mali za umma, washenzi, wazembe, mashoga, wauza madawa ya kulevya, wanufaika wa madawa ya kulevya, pamoja na waliotafuta Umaarufu wa siasa za kishenzi na za hovyo" ukiona mtu yeyote anajitokoza Ima kupinga au kubeza legacy ya JPM we jua tu ni katika hao niliowataja hapo juu
 
Mm huwa najiuliza mtu unawezaje kusherehekea maslahi binafsi ilihali Lundo la watu linataabika?
 
Watanzania hawatakiwi kuona faida wa mishahara kuongezeka wanatakiwa kuiona iyo faida ni wwnaofanya izo kazi
Yaani wanaokulipa mshahara(Kodi zao) wasione faida ila wewe uliezoea BAU ndio uone faida? Mlipa Kodi ana haki ya kuona tija ya Kodi yake acheni kuishi kwa mazoea. Hao unawaona hawana direction na maisha yao ndio wanaolipa mshahara wa watumishi wa umma.
 
I beg to differ with u humbly! Aside projects in Chato sidhani kama alikuwa na speed hiyo kwa miradi ya taifa!

Tena kuna miradi aliisimamisha kibabe, saa hii serikali inalipia baada ya kushindwa kesi! Alikuwa controversial!!

Watu waliokuwa wanaweza kumpinga walikuwa kama wakina Msukuma na Gwajima na wale vigogo!

Ukimpinga na ukiwa nje ya watu wa kabila lake unaondoka!

Tusisahau uporaji kutoka kwa wafanyabiashara!
Ukisikia sifa za Sukuma gang wanavyosimuliana kwa mihemko hapo unaweza dhani Mwendazake alifanya vitu spesho Sana kumbe wanahemka na ka mradi ka bandari la bil.35 😆😆😆😆..

This time around Samia is doing all that bila excuses zozote za kijinga..Eti sikupandisha Salary Kwa sababu najenga miradi..

Samia alivyoingia tuu alipandisha madaraja watumishi wote waliostahili na miradi ilisonga,katoa maajira kwa maelfu kwa maelfu...

Kwa mda huu tuu mfupi Rais Samia kafunika legacy zenu zote kila sekta..kuanzia michezo Hadi Miundombinu na anajua kutafuta pesa chini ya wapiganaji wake hodari 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220607-223105.png
    Screenshot_20220607-223105.png
    151.4 KB · Views: 35
  • Screenshot_20220607-223341.png
    Screenshot_20220607-223341.png
    181.4 KB · Views: 32
  • Screenshot_20220607-223351.png
    Screenshot_20220607-223351.png
    97.7 KB · Views: 28
  • Screenshot_20220607-223416.png
    Screenshot_20220607-223416.png
    52.1 KB · Views: 26
Wacha zako. Kenya iliongozwa na dictator mjinga ambaye aliharibu uchumi wetu kwa miaka 24. Kuna wakati tulikuwa na 0% gdp growth. Barabara zilikuwa hovyo na uchumi ulikuwa umedorora sana. Wakenya walipitia mateso sana. Nyie mlikuwa mnapigana vita vya kuikomboa Africa, sisi tulikuwa tunapigana na dictator ambaye alikuwa anauwa wapinzani na kuwafunga jela. Unasema kwamba Kenya ilistahili kuwa level ya South Africa ilhali unasahau kwamba tulikuwa tunapigana kumuondoa dictator madarakani.
Huyo dictator aliwekwa na nani madarakani?, Sasa upuuzi wenu wa ndani kutokana na maamuzi yenu ya kijinga ndio unayatumia Kama kisingizio?, Ni sawa na mlevi ajitetee kwamba ameshindwa kujenga kununua Nyumba kwasababu alikua akimaliza pesa yake kwa kununua pombe, Sasa hiyo ni sababu ya msingi?, mbona wakenya hamkutorokea Tanzania kuja kuomba msaada wa kumpindua Moi Kama walivyokuja waganda, Kabila, John Garang na waafrika wengine?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yaani wanaokulipa mshahara(Kodi zao) wasione faida ila wewe uliezoea BAU ndio uone faida? Mlipa Kodi ana haki ya kuona tija ya Kodi yake acheni kuishi kwa mazoea. Hao unawaona hawana direction na maisha yao ndio wanaolipa mshahara wa watumishi wa umma.
Huyu mtu huwa anaropoka sn, kitu kimoja kinachombeba ni kwamba ni mtu mwema basi ukiacha hiyo ni mropokaji tu kama waropokaji wengine.
 
Back
Top Bottom