Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwakua umezungumzia Mishahara let me give u the numbers.
1. Mama kapandisha mishahara kwa 1.59T. Now wages bill inasoma 9.7T kwa mwaka.
2. Leo Mwigulu wakati ana table bajeti yake amesema 9.09T ni ya kulipia madeni.
3. Ukichukua madeni na mishahara total ni 18.79T kwa mwaka or average ya 1.57T kwa mwenzi just kwa mambo hayo mawili.
4. Nenda kaangalie average ya mapato ya TRA kwa mwezi then uone km inakidhi hayo mambo mawili.
5. So where do we get pesa za maendeleo na matumizi mengineyo?kifupi from now onward we cant finance miradi kwa pesa za kodi(ukweli mchungu).
8. How come watumishi wa serikali ambao hawafiki ht milioni mgawane nusu ya kodi zetu za watanzania baki 54M?
9. Kwann ile 1.57T ktk wages bill isingemalizia bwawa la nyerere or reli ASAP then tulipane mishahara kwa faida itakayopatikana?
10. Nway kupanga ni kuchagua. Mimi ni muumini wa nitoke jasho now, nijinyime now ili wanangu na wajukuu wasijetoa lawama na mimi niishi kwa raha mushtarehe ktk uzee wangu, hii kauli mbiu la lamba asali, kula bata maisha ndo haya haya does not go well with my soul.
ALL THE GREAT NATIONS WERE BUILT BY PEOPLE WHO PREPARED THEIR GENERATION FOR THE FUTURE and NEVER WORRIED BY THEIR CURRENT WELL BEING.
Ndio alicho kuwa anakisema mwenda zake, lakini kwa wachachewenye tamaa ya maendeleo binafsi wakamuona adui...
 
Hata hii kafanya mkoloni na Kikwete huko Ukerewe

Vitu vidogo hivi haviondoi controversy yake! Uharibifu wa shamba la Kilimanjaro veggie, bakimbikizwaji wa kodi na ufungwaji wa Weruweru lodge na Aishi Protea hotel na uporaji Bureau de change zilidumaza uzalishaji na utalii na watu walipoteza ajira pia!

Angalia moja ya hoteli alizozifunga!
 
Kwakua umezungumzia Mishahara let me give u the numbers.
1. Mama kapandisha mishahara kwa 1.59T. Now wages bill inasoma 9.7T kwa mwaka.
2. Leo Mwigulu wakati ana table bajeti yake amesema 9.09T ni ya kulipia madeni.
3. Ukichukua madeni na mishahara total ni 18.79T kwa mwaka or average ya 1.57T kwa mwenzi just kwa mambo hayo mawili.
4. Nenda kaangalie average ya mapato ya TRA kwa mwezi then uone km inakidhi hayo mambo mawili.
5. So where do we get pesa za maendeleo na matumizi mengineyo?kifupi from now onward we cant finance miradi kwa pesa za kodi(ukweli mchungu).
8. How come watumishi wa serikali ambao hawafiki ht milioni mgawane nusu ya kodi zetu za watanzania baki 54M?
9. Kwann ile 1.57T ktk wages bill isingemalizia bwawa la nyerere or reli ASAP then tulipane mishahara kwa faida itakayopatikana?
10. Nway kupanga ni kuchagua. Mimi ni muumini wa nitoke jasho now, nijinyime now ili wanangu na wajukuu wasijetoa lawama na mimi niishi kwa raha mushtarehe ktk uzee wangu, hii kauli mbiu la lamba asali, kula bata maisha ndo haya haya does not go well with my soul.
ALL THE GREAT NATIONS WERE BUILT BY PEOPLE WHO PREPARED THEIR GENERATION FOR THE FUTURE and NEVER WORRIED BY THEIR CURRENT WELL BEING.
Numbers dont lie....kweli huu ni ukweli mchungu
 
Wewe unaleta siasa kwenye mambo ya kitaalamu, haijalishi watumishi ni %ngap lazima serikali iwalipe vizuri,Tunashukuru SSH ameliona hilo,sasa Hapa labda tujadili mambo mengine ya msingi,Najua watu hawamuelewi Pres SSH simply kwasababu ameongeza mishahara, hizi ni jokes mnaleta
Wewe akili zako zimekojolewa na mbwa ...watumishi walipwe vizuri wakati awafanyi kazi yoyote zaidi ya upumbavu. Mishahara ya wafanyakazi wa serikali ni lazima iwe asilimia 25% tu ya makusanyo ya mwezi ...ili nchi iweze kupata maendeleo ya kweli kwa haraka.
 
Nchi ilikuwa ime stack ,kila sehemu madeni yamejaa,miradi inasua sua hakuna pesa, uchumi umesorora na upuuzi mwingine..

Kazi kubwa ya yule bwana ilikuwa ni kupambana na wakosoaji,kufanya maigizo ya kipuuzi na kutafuta sifa za kijinga huku Hali ikizidi kuwa mbaya ...

Tunamshukuru Sana Mungu kwa kutuondolea like balaa maana tungekuwa kama Zimbabwe,sasa Nchi iko kwenye msotafi na tunayembea kifua mbele.

Devidends kama hizi Mwendazake kwa kupenda sifa za kijinga na kukosa Kazi angeitisha kikao Ikulu eti anapokea gawio
Unajitia aibu tu...numbers always dont lie
 
Yaani Uganda itaingia middle-income in the next two years hata kabla ya ujenzi wa EACOP kukamilika. Yaani kilimo pekee kimewapeleka Uganda hadi middle income bila kutegemea mafuta. Kenya pia ilikuwa middle income bila kutegemea madini. Tusipuuze sector ya agriculture kwa sababu hio sector ni muhimu.
 
Naona muarabu rostam tayari amekulambisha asali ili kudumisha juhudi ya kupambana na MAREHEMU ILA NAONA TEAM YENU INAZIDI KUFIFIA KWA SABABU SA100 ana nyota ya mafii abebeki, sisi tunasubiri dakika ya 65 ndiyo tuna anza vita kamili na waarabu wote walio jimilikisha ccm na serikali
Hivi nikikuuliza ubaya wa Samia ni nini? Au ni chuki binafsi tuu?
 
tuusan hili ni jengo la pili ndefu kuzinduliwa Nairobi ndani ya wiki moja na rais Uhuru Kenyatta. Hili lina 19 floors na ile ya last week ilikuwa na 27 floors. Halafu bado kuna watu wanaosema uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.

download (2).jpeg
download.jpeg
 
Vitu vidogo hivi haviondoi controversy yake! Uharibifu wa shamba la Kilimanjaro veggie, ufungwaji wa Weruweru lodge na Aishi Protea hotel na uporaji Bureau de change ulipoteza ajira pia!
Hivyo vyote vilitokea kwa sababu' usiwe mpumbavu kisa elimu unayojitapa nayo humu haikupi wigo wa kuchanganua mambo....
Umekua kama kuku alokatwa kichwa na kuachwa unaropoka tuu haijulikani unataka nini
20220429_102723.png

Nuna Vimba na kupasuka hupasuki n'go😬
 
Back
Top Bottom