dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Tena hawana dual citizenship kama wakunyaland. Ni mtz pureWapo wengi sana.
Msemo wangu ni ule ule, wametuzidi maneno mengi tu.
Tena hawana dual citizenship kama wakunyaland. Ni mtz pureWapo wengi sana.
Msemo wangu ni ule ule, wametuzidi maneno mengi tu.
but where the hell on earth can one dare compare a Hollywood LA Star.! a starring figure in films tht are among the highest grossing Movies of all time.! a world renowned Icon.! a winner of the most sort after and coveted award..... The Oscar.!Hata mkwanja pia kampita.
Mtanzania anaesomea hapo Nairobi ambae anaweza kwenda hata kwa mguu na anaweza kulipa ada kwa Tsh unasema ametoka kwenye familia ya kitajiri, na wanaosoma abroad ambao nauli tu ya ndege ni ada ya 2 semesters bado accommodation utasema wanatoka kwenye familia za aina gani?Hapa Kenya ni kawaida sana kusomea private schools. Sio lazima tufanane na usilazimishe tufanane. Mimi nilisomea private school katika shule ya msingi. High school na University ndio nilisomea shule ya serikali.
Kenya ni kawaida sana kusomea shule private hususan shule ya msingi. Kwa wale ambao wana pesa sana basi hata high school wanasomea private. Sio lazima tufanane. Kuna hata private university kwa jina USIU ya watoto wa matajiri. USIU kwa urefu ni "United States International University" na Vanessa Mdee mwanamuziki kutoka Tanzania kasomea huko kwa sababu baba yake ni tajiri
View attachment 2227577View attachment 2227578
View attachment 2227579
na pia tuna Strathmore university ambayo ni private na inaheshimika.
Hamna hata 100% transition from primary to high school. Bado mkona primary school dropouts in 2022. 🤣 🤣 🤣 Wachana na topics za elimu we soja, ukiwa shule you thought a pen was too heavy, sasa ona unabeba uzito wa rungu kwa airport.Alafu mko hapa kushindana ubora wa elimu kati ya Tanzania na Kenya, yn Govt schools (Tz) vs Private schools(Kenya).
Elimu ya Kenya ni ya hovyo sn ndiyo maana inazalisha Wakenya wapumbavu kama kina Bwana Mapesa, Choko master, NairobiWalker, na wewe shoga. Elimu yenye u afadhali huko Kunyaland ni ya private na unaweza kuona wakunya waliosoma private kama kina Tony254 wamestaarabika kidogo but wengi wenu mmesoma Govt schools zinazozalisha machokoraa na wahuni.
Hahaha naona umeumia na kuchukizwa sana na habari za Lupita. Pole sana bro. Unabidi uende Uchina ili upate Mtz anayefanya makubwa? Kwani hamna Mtz anayefanya makubwa Hollywood, USA?Tena hawana dual citizenship kama wakunyaland. Ni mtz pure
Mumezoea umaskini hadi ime affect the way you reason. 🤣 🤣 🤣Wewe ni mtu mpumbavuSana 90% ya waafrika wanasoma shule za serikali, kusoma private schools hawazidi 2% , Sasa wewe unataka kusema maisha ghali wanayoishi matajiri kuwa ni maisha ya kiafrika?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Lupita ana uraia wa Kenya na Mexico ila Dna yake ni 100% Kenyan. Lupita ni mweusi hata kushinda wengi wetu hapa halafu hajajichibua ngozi kama Waafrika wajinga wanaopenda kujichibua ngozi ili wawe weupe zaidi. Yeye anapenda ngozi yake jinsi ilivyo na ndio maana mimi nampenda kwa sababu amejikubali na kujipenda jinsi alivyo. Huyu Lupita hana hata chembe chembe cha DNA moja cha Kimexico ndani yake, huyu ni mjaluo pure 100%. Sasa kama hupendi basi kalilie chooni.Tena hawana dual citizenship kama wakunyaland. Ni mtz pure
ni watoto wa shule ya msingi, chekechea na kindergarten ndo mondi ata cross nao ..Hii ni jf kweli wtf...
Diamond musicians
Lupita actress
Hawawezi kufanana wala kua kundi 1 hata sku1!!
Influencer wakubwa huku duniani ni musicians
sanaa yenye pesa ni muziki
Hata matajiri wa sanaa wengi ni musicians
Diamond ana potential kubwa kuliko lupita na kama lupita ana $10ml domo kampita kama hawajalingana
By the way tumchukue lupita apa mondi tuwapitishe apo nairobi nani atasepa na kijiji.....
umekasirika???😂😂👇👇
Unaeza pata Nyama ya Nguruwe saudia haraka sana kuliko kupata estate zilizopangwa dar.Lang'ata
View attachment 2227762View attachment 2227763View attachment 2227765View attachment 2227766View attachment 2227768View attachment 2227769View attachment 2227771View attachment 2227773View attachment 2227774View attachment 2227775View attachment 2227776View attachment 2227777View attachment 2227779View attachment 2227783View attachment 2227784View attachment 2227785
Getting an organized residential area like this one in Dar ni kama kutafuta nyama ya nguruwe Saudia
pia pamoja na hizi private:-Hapa Kenya ni kawaida sana kusomea private schools. Sio lazima tufanane na usilazimishe tufanane. Mimi nilisomea private school katika shule ya msingi. High school na University ndio nilisomea shule ya serikali.
Kenya ni kawaida sana kusomea shule private hususan shule ya msingi. Kwa wale ambao wana pesa sana basi hata high school wanasomea private. Sio lazima tufanane. Kuna hata private university kwa jina USIU ya watoto wa matajiri. USIU kwa urefu ni "United States International University" na Vanessa Mdee mwanamuziki kutoka Tanzania kasomea huko kwa sababu baba yake ni tajiri
View attachment 2227577View attachment 2227578
View attachment 2227579
na pia tuna Strathmore university ambayo ni private na inaheshimika.
hii vipi ??🤣🤣👇👇
Chokoraa wa street ndio watamkimbilia Mondi. Wale wavuta bandi na glue na watoto wa shule ya upili ndio watamkibilia Mondi. Watu tuliostaarabika tunamkimbilia Lupita.ni watoto wa shule ya msingi, chekechea na kindergarten ndo mondi ata cross nao ..
vipi hapa 😂😂👇👇