Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The most dynamic city in Africa.

Nairobi International Financial Center.

THE GREATCITY OF NAIROBI.

Image

Image

Image

Image
 
Inchi ni maskini kwa sababu ya wafanyakazi wa serikali!!
Sure, pesa nyingi hapa Africa zinaishia serikalini, serikali za Africa hazina uwezo lakini wao wanajilipa pesa nyingi zisizo na uhalisia kabisa. Unakuta mtu serikalini analipwa milioni 15 kwa mwezi kisa tu ni mkurugenzi na bado kuna allowance kibao na hapo Magufuli ndio alipunguza. Ukipiga hesabu haiingii kabisa akilini kwa nchi zetu hizi za kimaskini ambapo mpk leo mitaani huku maandazi bado yanauzwa sh 100.
 
Mtanzania aje kufanya nini huko kwenye uchumi unaoendeshwa kwa ukahaba? Nairobi CBD yote ni office ya machangudoa na malaya wanajiuza 24/7

Kama sio Tanzania yenye real economy kunyaland ni takataka by now!

View attachment 2253853
Watanzania, ugadans na Burundians ni shamba boys huku Kenya. Wanazungusha mandazi kwa kahawa wakiuzia watchmen kwa gate huku wengine wakiomba omba kwa barabara
 
Sure, pesa nyingi hapa Africa zinaishia serikalini, serikali za Africa hazina uwezo lakini wao wanajilipa pesa nyingi zisizo na uhalisia kabisa. Unakuta mtu serikalini analipwa milioni 15 kwa mwezi kisa tu ni mkurugenzi na bado kuna allowance kibao na hapo Magufuli ndio alipunguza. Ukipiga hesabu haiingii kabisa akilini kwa nchi zetu hizi za kimaskini ambapo mpk leo mitaani huku maandazi bado yanauzwa sh 100.
Bila kisahau ni majizi ingawa yanakula karibu 60% ya makusanyo
 
Nchi ilikuwa ime stack ,kila sehemu madeni yamejaa,miradi inasua sua hakuna pesa, uchumi umesorora na upuuzi mwingine..

Kazi kubwa ya yule bwana ilikuwa ni kupambana na wakosoaji,kufanya maigizo ya kipuuzi na kutafuta sifa za kijinga huku Hali ikizidi kuwa mbaya ...

Tunamshukuru Sana Mungu kwa kutuondolea like balaa maana tungekuwa kama Zimbabwe,sasa Nchi iko kwenye msotafi na tunayembea kifua mbele.

Devidends kama hizi Mwendazake kwa kupenda sifa za kijinga na kukosa Kazi angeitisha kikao Ikulu eti anapokea gawio
Mjihadhari vinywa vyenu
FB_IMG_16534737002578898.jpg
 
Ndio mana tunasema kuongezeka kwa mishahara ni kama kuendelea kujitia kitanzi , ila kuongeze mishahara kufikia 9T ni nyingi, huwezi kulaumu kwanini mwenda zake alianzisha miradi yenye faida kwa nchi sababu hatukusikia ikikwama, na inahitajika kwakusonga mbele kwa nchi, apa ndio pakuminyana ikamilike ndio turudi kulimbikiziana mishahara.
 
Watanzania, ugadans na Burundians ni shamba boys huku Kenya. Wanazungusha mandazi kwa kahawa wakiuzia watchmen kwa gate huku wengine wakiomba omba kwa barabara
Unajua hata maana ya Shamba boy au kila neno kutoka Tanzania mnafikiri ni applicable kunyaland? 😅😅😅

Muwe na Shamba boy wengi hivyo halafu mfe njaa kila siku? Shamba boy anazungusha maandazi?
 
Unajitia aibu tu...numbers always dont lie
Aibu gani? Kwenye namba si ndio Sukuma gang mtaaibika? Nakupa mfano mdogo nenda wizara yeyote angalia bajeti ya 2020/2021,2021/2022 na 2022/2023..Anza na Wizara ya Nishati kwa ndugu yako Simon.

Unaweza nitajia makusanyo ya TRA hadi Mwendazake anakufa? Au taja chochote unachotaka tuweke namba za ulinganisho.
 
Uganda is a middle-income country, says Museveni​

TUESDAY JUNE 07 2022​

m7

President Yoweri Museveni addresses parliamentarians during the annual State of the Nation Address (SoNA) 2022 at Kololo Independence Grounds in Kampala on June 7, 2022. PHOTO | PARLIAMENTARY PRESS

Summary

  • Museveni expresses confidence that Uganda would maintain its spot above the middle-income status GDP per capita minimum of about $1,030.

monitor

By David Vosh Ajuna
More by this Author
General Image

By NELSON NATURINDA
More by this Author

Uganda has reached the middle-income status despite an onslaught of crises in the past three years, President Yoweri Museveni said on Tuesday.

According to official data, the nation’s economy stood at about $45.7 billion by the exchange rate method or $131 billion by the purchasing power parity (PPP) system, one week to the

“This means that the GDP per capita is $1046. We have now passed that figure of middle-income status ($1,030),” Mr Museveni observed as he delivered the annual State of the Nation Address in Kampala.

Speaking in-person to mainly ruling NRM party legislators, Mr Museveni on June 7 expressed confidence that Uganda would maintain its spot above the middle-income status GDP per capita minimum of about $1,030.

“You need to sustain this for two to three consecutive years to be declared a middle-income country,” he echoed.

Food​

On the soaring commodity prices, Mr Museveni said he was engaging global actors such as Russia’s President Vladimir Putin, using diplomacy, to urge him to solve the problems they created. The war in Ukraine following the February 14 Russian invasion has triggered shocks in the global supply chains.

On subsidies to rescue the economy, the President said the government cannot direct money into consumption instead of building infrastructure for development.

“I’m used to problems. When people are panicking, I am never bothered because I have handled bigger problems. But the most serious problem I don’t want is lack of food,” the president said.

He said the government would focus on production, saying his administration is working with the private sector to produce solar-powered water pumps that the rich farmers can buy and engage in mini irrigation.

On Tuesday, the 77-year-old leader of a country with millions of unemployed citizens further urged amplified agricultural production to suit global demands.

“Our strategy is that everything agricultural that is not consumed instantly should be processed industrially, so it's preserved to be able to reach distant markets,” he noted.

Over 100 opposition MPs Tuesday boycotted the constitutional occasion at Kololo, accusing the president of “interfering with the country’s judiciary” and “failing to solve” a raging economic meltdown.

MY TAKE
Congrats to Uganda!
Asubiri miaka 2 mbele
 
Back
Top Bottom