Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee nachojaribu kusema hapa roho ya kimaskini ni ya kichawi!

Leo hii tunashangilia success ya TAHA kusafirisha maparachichi ila chimbuko lake hatujui ni mashamba ya horticulture kama ya Kilimanjaro veggies yaliyotapakaa Kilimanjaro na Arusha!

Ndio maana nasema JPM alikuwa way controversial ! Natamani kiandikwe kitabu juu yake kikimulika matendo yake kiunagaubaga!
Huyu jamaa kawa wa ajabu sana siku hizi
 
1. Ni lini uliona serikali ika execute bajeti yake ht kwa 70%? Unaleta bajeti za kwenye makaratasi? Nipe mwaka ambao serikali iliweza kuexecute bajeti yote iliyo table bungeni au ikakusanya kodi kwa 100%?(Mipango sio matumizi)
2. Mimi nazungumzia mapato yatokanayo na kodi, unataka nizungumzie grants, mikopo, maduhuri au hati fungani? Jitahidi uwe unasoma kuelewa sio kubishana.
3. Ukikosa hoja usikimbilie kufanya personal attacts..Elimu yangu ww ina kuhusu nn?nimetoa figures na ww nijibu kwa figures simple.
4. Nlikua nimekutia block ili nisiwe naona pumba zako na wenzio wenye calliber km yalo so bila notification alert nisingejua umeni quote, nway wacha niturn off notification, its better that way.
Serikali ya Mwendazake ndio ilishindwa kufikia malengo kwa kukosa pesa...

Mwendazake ndio alikuwa na bajetu hewa kwa sababu hakuweza kupata pesa kwa sababu aliua biashara.

Awamu ya mama hadi dakika hii tunaongea utekelezaji wa bajeti iko zaidi ya 80% na baadhi ya Wizara iko zaidi ya 95%..

Kabla ya kuropoka muwe mnafuatikia Hotuba za bajeti za Wizara za Serikali,na msitafute excuses za failures zenu mkajua ndio business as usual..

Efficiency hii ya makusanyo ya TRA na Halmashauri nk haijawahi fikiwa mwaka wowote wa Mwendazake 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220406-164902.png
    Screenshot_20220406-164902.png
    90.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220406-163449.png
    Screenshot_20220406-163449.png
    53.8 KB · Views: 18
Wacha wee ati imepata nguvu kipindi cha JPM labda TAHA ya Chato! BTW cargo plane imeagizwa budget 2021-2022 after JPM is dead! Hivi unajua TAHA walishawahi kukodisha cargo plane kabla 2009?

Mwendazake wao ni Rais wa hovyo kuwahi kupatikana hapa Tanzania,alipuuza kilimo,Michezo na Wizara zote zenye mlengo wa welfare ikiwemo kuua sekta binafsi.

Yeye alikuwa busy na ndege,sgr na Bwawa la Umeme na kupanua bandari na kuhamia Dom..

Lakini hadi sasa SSH is doing all that na mengine juu,huu ni ufanisi wa Hali ya Juu bila visingizio vya kijinga..

Na ukweli ni kwamba atamfunika vibaya sana Kiongozi wa Malaika.As we speak the govt is no longer struggling to get finances as it used to be in previous regime.

Nachompenda Samia ni Bussiness friendly na anajua kutafuta pesa,juzi akizindua Miradi ya Maji aliwasihi Wahindi waje kuwekeza zaidi Tanzania..

Jana kakutana na Baraza la Biashara kujadili mambo ya kusaka mpunga 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220608-082038.png
    Screenshot_20220608-082038.png
    125.7 KB · Views: 18

Uganda is a middle-income country, says Museveni​

TUESDAY JUNE 07 2022​

m7

President Yoweri Museveni addresses parliamentarians during the annual State of the Nation Address (SoNA) 2022 at Kololo Independence Grounds in Kampala on June 7, 2022. PHOTO | PARLIAMENTARY PRESS

Summary

  • Museveni expresses confidence that Uganda would maintain its spot above the middle-income status GDP per capita minimum of about $1,030.

monitor

By David Vosh Ajuna
More by this Author
General Image

By NELSON NATURINDA
More by this Author

Uganda has reached the middle-income status despite an onslaught of crises in the past three years, President Yoweri Museveni said on Tuesday.

According to official data, the nation’s economy stood at about $45.7 billion by the exchange rate method or $131 billion by the purchasing power parity (PPP) system, one week to the

“This means that the GDP per capita is $1046. We have now passed that figure of middle-income status ($1,030),” Mr Museveni observed as he delivered the annual State of the Nation Address in Kampala.

Speaking in-person to mainly ruling NRM party legislators, Mr Museveni on June 7 expressed confidence that Uganda would maintain its spot above the middle-income status GDP per capita minimum of about $1,030.

“You need to sustain this for two to three consecutive years to be declared a middle-income country,” he echoed.

Food​

On the soaring commodity prices, Mr Museveni said he was engaging global actors such as Russia’s President Vladimir Putin, using diplomacy, to urge him to solve the problems they created. The war in Ukraine following the February 14 Russian invasion has triggered shocks in the global supply chains.

On subsidies to rescue the economy, the President said the government cannot direct money into consumption instead of building infrastructure for development.

“I’m used to problems. When people are panicking, I am never bothered because I have handled bigger problems. But the most serious problem I don’t want is lack of food,” the president said.

He said the government would focus on production, saying his administration is working with the private sector to produce solar-powered water pumps that the rich farmers can buy and engage in mini irrigation.

On Tuesday, the 77-year-old leader of a country with millions of unemployed citizens further urged amplified agricultural production to suit global demands.

“Our strategy is that everything agricultural that is not consumed instantly should be processed industrially, so it's preserved to be able to reach distant markets,” he noted.

Over 100 opposition MPs Tuesday boycotted the constitutional occasion at Kololo, accusing the president of “interfering with the country’s judiciary” and “failing to solve” a raging economic meltdown.

MY TAKE
Congrats to Uganda!
 
Baadhi ya Mambo hapa ninakubaliana na wewe, hasa yanayohusu Chato, lakini hayo ya maduka ya kubadilishia pesa Arusha, serikali kupitia Gavana wa Benki kuu aliyatolea maelezo vizuri Sana, Kama hukupata bahati ya kusikiliza bado unaweza kutafuta "video clips YouTube"

Mambo mengi unayoyasema ni shutuma ambazo hakuna uhusiano wowote na kuwapendelea wasukuma, hata Kama ni kweli (90% huna ushahidi), lakini hakuna uhusiano na ukabila, kwasababu huko Arusha pia Kuna wasukuma wenye hayo maduka ya kubadilishia pesa

Kwa ufupi mengi unavyosema ni maneno na shutuma ambazo kila rais aliyepo madarakani lazima atapakwa matope, Kama ambavyo Samia anavyopakwa matope kwamba anapeleka pesa nyingi Zanzibar, kwamba anaendeshwa na Kikwete, kwamba anatembea na vijana wadogo kimapenzi, wenye akili wanajua kwamba hizi ni shutuma ambazo nyingi hazina nguvu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe joto la jiwe huwa unaamini kabisa kwamba hakuna ukabila Tanzania japo Watanzania wenzako wanakueleza kwamba upo. Kwa nini unajitia hamnazo?
 
Uganda is a middle-income country, says Museveni​

TUESDAY JUNE 07 2022​

m7

President Yoweri Museveni addresses parliamentarians during the annual State of the Nation Address (SoNA) 2022 at Kololo Independence Grounds in Kampala on June 7, 2022. PHOTO | PARLIAMENTARY PRESS

Summary

  • Museveni expresses confidence that Uganda would maintain its spot above the middle-income status GDP per capita minimum of about $1,030.

monitor

By David Vosh Ajuna
More by this Author
General Image

By NELSON NATURINDA
More by this Author

Uganda has reached the middle-income status despite an onslaught of crises in the past three years, President Yoweri Museveni said on Tuesday.

According to official data, the nation’s economy stood at about $45.7 billion by the exchange rate method or $131 billion by the purchasing power parity (PPP) system, one week to the

“This means that the GDP per capita is $1046. We have now passed that figure of middle-income status ($1,030),” Mr Museveni observed as he delivered the annual State of the Nation Address in Kampala.

Speaking in-person to mainly ruling NRM party legislators, Mr Museveni on June 7 expressed confidence that Uganda would maintain its spot above the middle-income status GDP per capita minimum of about $1,030.

“You need to sustain this for two to three consecutive years to be declared a middle-income country,” he echoed.

Food​

On the soaring commodity prices, Mr Museveni said he was engaging global actors such as Russia’s President Vladimir Putin, using diplomacy, to urge him to solve the problems they created. The war in Ukraine following the February 14 Russian invasion has triggered shocks in the global supply chains.

On subsidies to rescue the economy, the President said the government cannot direct money into consumption instead of building infrastructure for development.

“I’m used to problems. When people are panicking, I am never bothered because I have handled bigger problems. But the most serious problem I don’t want is lack of food,” the president said.

He said the government would focus on production, saying his administration is working with the private sector to produce solar-powered water pumps that the rich farmers can buy and engage in mini irrigation.

On Tuesday, the 77-year-old leader of a country with millions of unemployed citizens further urged amplified agricultural production to suit global demands.

“Our strategy is that everything agricultural that is not consumed instantly should be processed industrially, so it's preserved to be able to reach distant markets,” he noted.

Over 100 opposition MPs Tuesday boycotted the constitutional occasion at Kololo, accusing the president of “interfering with the country’s judiciary” and “failing to solve” a raging economic meltdown.

MY TAKE
Congrats to Uganda!
Huyu naye angoje atangazwe. Sio kukimbia kujitangaza.
 
Hii video nimeisikiliza na imenihuzunisha sana. Huyo Sabaya ni shetani wa aina gani? Na mbona aruhusiwe kunyanyasa wafanyibiashara namna hii?

Af kashinda kesi ingawa figisu znaendelea ..... we siasa za bongo ziache zitakuumiza kichwa
 
Wewe joto la jiwe huwa unaamini kabisa kwamba hakuna ukabila Tanzania japo Watanzania wenzako wanakueleza kwamba upo. Kwa nini unajitia hamnazo?
JPM alikuwa controversial kinoma humu wengi wanaomshangilia kwa nguvu ni jamaa wanaotoka kanda ya ziwa yaani beneficiary wake in one way or another! Ukitaka ujue true colours za JPM kuwa mtu wa nje alafu itikadi za kichama uwe upinzani haswa CHADEMA! Si mtu aliyeheshimu hard working and business accumenship!

Jamaa wa hii lodge

Aliifunga na kukimbilia SA!
 
Wewe ni fala na hao mnao mnaojazana ujinga huku mkikenua,ntaendelea kuwapa vitasa hadi mpasuke kwa kuchukia.

Failures kama wewe na huyo mnaemwabudu huwa mna excuses nyingi sana..

Nauliza tena Samia kawezaje kufanya yoote yakiwemo miradi na kujali welfare ya watu?

Jibu ni kwamba Tulikuwa tunaongozwa na mjinga..

Miradi ya Magufuli
Haya yote magufuli alianzisha mama anaendeleza Tu.
 
JPM alikuwa controversial kinoma humu wengi wanaomshangilia kwa nguvu ni jamaa wanaotoka kanda ya ziwa yaani beneficiary wake in one way or another! Ukitaka ujue true colours za JPM kuwa mtu wa nje alafu itikadi za kichama uwe upinzani haswa CHADEMA! Si mtu aliyeheshimu hard working and business accumenship!
Wewe joto la jiwe huwa unaamini kabisa kwamba hakuna ukabila Tanzania japo Watanzania wenzako wanakueleza kwamba upo. Kwa nini unajitia hamnazo?
Tony nafkiri ushajua ukabila unatokea wapi kiukweli kabisa kuna kanda ya wezi ilibanwa wakazi wake wengi waliguswa na hao ndio wanaeneza chuki zao kwa kanda ya ziwa otherwise tanzania hakuna ukabila !!
 
JPM alikuwa controversial kinoma humu wengi wanaomshangilia kwa nguvu ni jamaa wanaotoka kanda ya ziwa yaani beneficiary wake in one way or another! Ukitaka ujue true colours za JPM kuwa mtu wa nje alafu itikadi za kichama uwe upinzani haswa CHADEMA! Si mtu aliyeheshimu hard working and business accumenship!

Jamaa wa hii lodge

Aliifunga na kukimbilia SA!
Nonsense
 
Haya yote magufuli alianzisha mama anaendeleza Tu.
Haendelezi tuu bali anafanya mapya yakiwemo yaliyosimama kwa visingizio vya miradi..

Swali langu wakati Mwendazake anatekeleza hayo alisimamisha mambo kibao kwenye Nchi akisingizia miradi,inawezekanaje sasa hivi mama anaitekeleza the same Miradi,kaanzisha mipya na kazifungua sekta.zote za umma zikizosimama wakati wa Mwendazake kwa visingizio vya Miradi..

Kama uko vizuri kichwani,Kati ya Mwendazake na Mama nani qme display ufanisi?
 
JPM alikuwa controversial kinoma humu wengi wanaomshangilia kwa nguvu ni jamaa wanaotoka kanda ya ziwa yaani beneficiary wake in one way or another! Ukitaka ujue true colours za JPM kuwa mtu wa nje alafu itikadi za kichama uwe upinzani haswa CHADEMA! Si mtu aliyeheshimu hard working and business accumenship!

Jamaa wa hii lodge

Aliifunga na kukimbilia SA!

Aifunga lini na kwa sababu gani?
Tuchuje mbivu na mbichi hapa!!
 
Wewe unaleta siasa kwenye mambo ya kitaalamu, haijalishi watumishi ni %ngap lazima serikali iwalipe vizuri,Tunashukuru SSH ameliona hilo,sasa Hapa labda tujadili mambo mengine ya msingi,Najua watu hawamuelewi Pres SSH simply kwasababu ameongeza mishahara, hizi ni jokes mnaleta
Inchi ni maskini kwa sababu ya wafanyakazi wa serikali!!
 
Back
Top Bottom