Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another 2015 post 🤣🤣🤣
dar coach 2020🤣🤣👇👇
06602142-ABEF-432E-90D5-6EBE9850A96A.jpeg
 
Wacha mchezo. Wewe nakujua kama an intelligent person. Nimeuliza Diamond amewahi kushinda award gani yenye hadhi ya Oscar? Ni kiswahili huelewi au nini? Diamond ameshinda award gani ambayo ni comparable to oscar in terms of prestige?
Ni kweli Diamond hajashinda tuzo inayofanana na Oscar, ila Lupita kushinda Oscar haimaanishi kuwa yeye ni bora. Huwa kuna siasa fulani zinatumika kuwatuzu wanasanaa weusi wanapotimiza matakwa fulani. Denzel Washington amekuwepo Hollywood toka 70's, hawakumpa tuzo mpaka alipolalamika kuwa anachaguliwa mara nyingi lakini hashindi. Ndipo, kuondoa aibu wakampa kwenye Training day (2001).

Lupita amekuja juzi tuu lakini wamemtuza baada ya kufurahisha watu fulani alipocheza zile sinema za watumwa (12 year slave). Kuna baadhi ya wazungu huwa wanapenda kuziangalia hizi sinema ili kuhuisha zile hisia za superiority. Tatizo, wamarekani weusi huwa hawapendi kuzicheza hizo filamu, na huwa zinaibua hisia kali kwenye jamii yao ambapo wazungu huwa hawapendi ziibuke. Hivyo, kupunguza huo moto, huwa wanawatumia weusi ambao siyo kizazi cha utumwa.
 
When it comes to Pop culture Kenya has no mate in this region. Kwa SSA nchi ni tatu tu zile zikona pop culture imetambulika globally. Kenya, SA na Nigeria. Si kwa ubaya hizo zingine bado ni others.

Image
 
Ni kweli Diamond hajashinda tuzo inayofanana na Oscar, ila Lupita kushinda Oscar haimaanishi kuwa wewe ni bora. Huwa kuna siasa fulani zinatumika kuwatuzu wanasanaa weusi wanapotimiza matakwa fulani. Denzel Washington amekuwepo Hollywood toka 70's, hawakumpa tuzo mpaka alipolalamika kuwa anachaguliwa mara nyingi lakini hashindi. Ndipo, kuondoa aibu wakampa kwenye Training day (2001).

Lupita amekuja juzi tuu lakini wamemtuza baada ya kufurahisha watu fulani alipocheza zile sinema za watumwa (12 year slave). Kuna baadhi ya wazungu huwa wanapenda kuziangalia hizi sinema ili kuhuisha zile hisia za superiority. Tatizo, wamarekani weusi huwa hawapendi kuzicheza hizo filamu, na huwa zinaibua hisia kali kwenye jamii yao ambazo wazungu huwa hawapendi ziibuke. Hivyo, kupunguza huo moto, huwa wanawatumia weusi ambao siyo kizazi cha utumwa.
Wacha maneno mengi. Hata mimi huwa sipendi jinsi Diamond anavyowatumia wasichana wetu wa Kiafrika na kuwatupa. Amelala na wanawake wangapi na kuwatupa? Wengine hata amewapa mimba na kuwatupa? Halafu sidhani kama analipia hao watoto school fees wala kuwanunulia chakula wala kuwatembelea. Amezaa na wasichana wa Kenya, Uganda na Tanzania.

Fact inabakia kwamba Lupita is much more successful in terms of pesa au in terms of fame au in terms of tuzo na awards kushinda Diamond. Hata in terms of masomo Lupita amesoma sana kushinda Diamond. Lupita ana masters ya acting kutoka Yale university ambayo ni one of the best universities in the world. Ni mtu mjinga tu anayeweza kumlinganisha Lupita na Diamond.
 
Ni kweli Diamond hajashinda tuzo inayofanana na Oscar, ila Lupita kushinda Oscar haimaanishi kuwa wewe ni bora. Huwa kuna siasa fulani zinatumika kuwatuzu wanasanaa weusi wanapotimiza matakwa fulani. Denzel Washington amekuwepo Hollywood toka 70's, hawakumpa tuzo mpaka alipolalamika kuwa anachaguliwa mara nyingi lakini hashindi. Ndipo, kuondoa aibu wakampa kwenye Training day (2001).

Lupita amekuja juzi tuu lakini wamemtuza baada ya kufurahisha watu fulani alipocheza zile sinema za watumwa (12 year slave). Kuna baadhi ya wazungu huwa wanapenda kuziangalia hizi sinema ili kuhuisha zile hisia za superiority. Tatizo, wamarekani weusi huwa hawapendi kuzicheza hizo filamu, na huwa zinaibua hisia kali kwenye jamii yao ambazo wazungu huwa hawapendi ziibuke. Hivyo, kupunguza huo moto, huwa wanawatumia weusi ambao siyo kizazi cha utumwa.
Muulize Lupita alishinda Oscar category gani?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom