Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inauma zaidi unapogundua hujaleta evidence hata moja mpk ss ilihali Watz wanazidi kutoa evidence ya road network
Mbona nilete evidence na dunia ya leo kila kitu kiko wazi sana nyie ndio mnaumwa vile mko fukara zaidi kimaendeleo na ni kubwa karne hii 😆 😆 😆 ., Wewe unataka kuona lami, ingia google type any county in Kenya kisha itisha images of paved roads and those under construction, ukishindwa kuamini maana najua ukweli utakuuma sana, ingia google earth tazama jina la eneo yenye picha you confirm, nini ngumu hapo? yaani unataka nipingane na upumbavu wenu?🤣🤣🤣🤣🤣🤣, I can't feed your stupidity😆😆😆😆🤣🤣🤣, mwageni povu kwa amani, ni weekend.,mimi ni raha tele., nyie mifukara, jikazeni, najua ni uchungu ila zoea😆😆😆😆😆😆🤣🤣
 
Watanzania wakichimba dawa

Angalia buses quality
Rest area quality
Road quality
Then nenda upande wa pili 😂😂😂😂

Nao wanachimba dawa

Angalia quality ya bus, barabara na rest area 🤣🤣🤣

FUV3aY0WAAE_D9L.jpeg


images - 2022-06-04T082908.565.jpeg

images - 2022-06-04T083712.948.jpeg
 
Anataka upost 23,000km of roads ....Yani JF imejaa mabongolala huwa nashindwa mnasurvive aje
Tunajienjoy wao wakihangaika, wanajitia hamnazo, ila tumewatesa sana, na bado 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hivi kwa kusini mwa jagwa la Sahara Kuna nchi ya kujilinganisha na sisi kweli pata picha huko ni makete ambako watanzania wenyewe hawajui ni wapi lakini mtandao wa lami umefika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa ujinga wako,Makete nyumbani.kwa.Matajiri.wa Tanzania hii ndio kusijulikane?

Makete inafahamika kuliko huko kwenu fala wewe,kuna hospital maarufu Sana ya Mt.Emaculata inapokea wagonjwa kutoka hadi Mwanza afu unaongea nini?

Kwa taarifa yako kutoka Njombe- Makete ni km 108 na ni full lami super pave,sasa hivi ujenzi unaendelea Kati ya Makete-Kikondo-Mbeya
 
COMESA hakuna kitu mkuu, ndio sababu wakenya walipiga Sana kelele tulipoamua kujitoa COMESA, waulize wakupe takwimu za biashara wanayofanya na COMESA, hawana kwa kukimbilia zaidi ya EAC hapa Afrika, kwa kifupi Kenya hutegemea Tanzania na Uganda tu hapa Afrika, na South Afrika, nchi ambayo waliisaliti enzi za utawala wa wazungu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
shida ni venye Tz mnajipendekeza sana. mna try sana kuji align na kujifix kwa lazma to the southern countries ilahali nyinyi mpende msipende, mko africa ya mashariki.! hivi mnahisi sana as if south africa na nyinyi nikama chanda na pete ama ndugu wa toka nitoke.. ila kwa ground vitu ni different, hivi zamu zote za xenophobia, nyie ndo wa kwanza kufurushwa.!😆

so please please i beg u to slowly leave SOUTHERN AFRICA DEVELOPMENT COMMUNITY.!! to the owners.. eti kila mara SADC this SADC tht... nkt.! nyumbani ni nyumbani bwana.. ata kama ugali tembele

cc: Tony254 whts your take bout these fellas😆😆 joining sadc yet they are totaly in a very different region.!!🤔🤔🤔

Screenshot_20220604-091844_Chrome.jpg
 
Kumbe Tanzania ni hovyo.., ona black lines ni tarmac.., Vumbi nation, sihitaji dhibitisho ya vipicha naeza tumia google earth.,
Asante sana TANROADS kwa kuweka kila kitu wazi chongchung na The best 007 hawatanipotosha,🙏😆😆😆😂😂.,
ona mifano👇👇👇 wasio penda ukweli wajinyonge😜

View attachment 2249380
View attachment 2249397
View attachment 2249395
View attachment 2249398
View attachment 2249400
Hizo maps haziko updated,angalia mwaka hapo.
 

Attachments

  • Screenshot_20220522-164714.png
    Screenshot_20220522-164714.png
    220.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220402-230047.png
    Screenshot_20220402-230047.png
    160.1 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220329-162800.png
    Screenshot_20220329-162800.png
    226.1 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220329-162855.png
    Screenshot_20220329-162855.png
    243.8 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220329-160231.png
    Screenshot_20220329-160231.png
    239.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220328-115000.png
    Screenshot_20220328-115000.png
    152.9 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220328-115140.png
    Screenshot_20220328-115140.png
    149.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220327-201854.png
    Screenshot_20220327-201854.png
    228.8 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220327-202239.png
    Screenshot_20220327-202239.png
    195.5 KB · Views: 14
Ziko mingi sana. Hatuwezi jenga 1000km per year kwa vijiji na tukose evidence. Hizi ni a few projects za last quarter of 2020 pekee. By the time nafikia posts za 2017 kama nyinyi si itakua next month. 🤣 🤣 🤣











Nyie hiyo KeRRA imeanza kitambo wakati huku Tanzania Tanzania Rural and Urban Roads Agency TARURA imeanza 5 years ago na Kwa sasa ndio inaanza kujipanga vizuri baada ya kuongezewa bajeti 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-101217.png
    Screenshot_20220528-101217.png
    246.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220528-101620.png
    Screenshot_20220528-101620.png
    149.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220528-180727.png
    Screenshot_20220528-180727.png
    288.7 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220530-120751.png
    Screenshot_20220530-120751.png
    144.7 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220530-120701.png
    Screenshot_20220530-120701.png
    156.2 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220531-131921.png
    Screenshot_20220531-131921.png
    171.9 KB · Views: 11
Nyie hiyo KeRRA imeanza kitambo wakati huku Tanzania Tanzania Rural and Urban Roads Agency TARURA imeanza 5 years ago na Kwa sasa ndio inaanza kujipanga vizuri baada ya kuongezewa bajeti 👇
Hahaha ni vizuri umekubali bado mko nyuma lakini munajipanga. 😀
 
Back
Top Bottom