Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So Tanzania Kuna democracy kuliko Kenya ama unaamanisha Nini? Tanzania walio Zima internet hehe Tanzania ambayo walipiga tundulisu marisasi Tanzania ambayo ilifunga tv and radio stations zisio support CCM, Tanzania ambayo Kila MTU lazima asifu serikali ukienda against unakua kama msaliti ama Tanzania ipi? Tanzania ambayo serikali inadanganya wanchi eti wanajenga Kwa pesa za ndani kumbe miradi mingi ya mikopo except the dam pekee Na dam Ni sababu walinyimwa pesa ya mikopo sababu wanajenga Kwa reserve ??? Ama Ni Tanzania ipi unasemea?
Hivi Kenya Kuna Demokrasia kuizidi Tanzania?, Hata vichaa watakucheka

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ziko mingi sana. Hatuwezi jenga 1000km per year kwa vijiji na tukose evidence. Hizi ni a few projects za last quarter of 2020 pekee. By the time nafikia posts za 2017 kama nyinyi si itakua next month. 🤣 🤣 🤣











Wameambiwa wasiseme kilometers ili kuondoa statistics faulty 😂😂😂😂
 
South Africa sio one party dictatorship kwa sababu ANC katika uchaguzi uliopita wa madiwani ilipata 46% ya kura. Huko Tanzania katika uchaguzi uliopita, 90% wa MPs wanatokea chama kimoja cha kidikteta. Sasa utalinganishaje 46% ya ANC na 90% ya chama cha madikteta (CCM)?
Pili, hao sukuma gang hawaipingi CCM, wao wanampinga mama. Mama akiondoka hao sukuma gang watakuwa mstari wa mbele kusapoti rais atakayefuata. Hao Sukuma gang sio kwamba wamewacha kuwa wanachama wa ccm, wao bado ni wanachama wa CCM. Ikiwa wangekuwa wanaipinga chama cha madikteta (CCM) basi wangeondoka chamani na kuanzisha chama chao kando na kuanza kirasmi kuipinga CCM. Ila kama wangefanya hivyo basi wangepigwa marisasi sana kwa maana chama cha madikteta (CCM) huwa haipendi ushindani kutoka chama zingine. Nabakia na kauli yangu kwamba Tanzania ni one party dictatorship.

Wewe kama kawaida yako ni uwezo mdogo wa akili hatukushangai, Sasa one party dictatorship ni kitendo cha chama kimoja kukaa madarakani au ni idadi ya kura?, Kama ni idadi ya kura, kuwa nyingi, unakumbuka Nelson Mandela na Thabo Mbeki walichaguliwa kwa kura asilimia ngapi?, Kwanini hata huko usiseme ni one party dictatorship?.

Kikwete awamu ya pili alipita kwa 54%, wapinzani Bingeni walifikia 45%. Kenya ninyi zaidi ya ukabila hamjui Wala hakuna Demokrasia, wajaluo wanauliwa kila kwenye uchaguzi, hakuna hatua zozote zinachukuliwa na hakuna haki yoyote. UN imethibitisha kwamba Tanzania ipo juu kuzidi Kenya, na hamjawahi kutuzidi toka tupate uhuru

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hadi Sasa you never noticed with Kenyans who hate the government hata ujenge Nini they will always find a thing to complain. Build them roads you will see a section complaining that we don't eat roads, bring a good education system wengine ndio Hao that it is too engaging, Mafuta inakosa worldwide wanasema uhuru ameficha mafuta... It helps sometimes to keep the government in check because anything guys complain in tweeter is picked by the main stream media's but sometimes they too much... They don't know how to appreciate, now a Tanzanian reading might think Kenya is burning but in real sense we having it better than most African countries.
Kenya tu ndio Kuna upungufu wa mafuta hapa Africa, nchi zingine zote mafuta yanapatikana, tatizo ni Bei kuwa juu, wacha kujiliwaza

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Barabara pekee ndefu kunyaland ni hizi hapa, 3500 kilometers 😅😅😅

2022-6-3_10-28-53.PNG
 
Ukanjanja wa mwandishi hamna mahali SGR imetajwa na waziri SMZ design ya reli itajulikana feasibility study ikiisha!




Wakenya hawapendi wakiona Tanzania tunafaidika na SADC

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ziko mingi sana. Hatuwezi jenga 1000km per year kwa vijiji na tukose evidence. Hizi ni a few projects za last quarter of 2020 pekee. By the time nafikia posts za 2017 kama nyinyi si itakua next month.










Barabara zeny nyembamba hapo mtu wa baiskeli Ana ride wap
 
Back
Top Bottom