Mwaka jana Januari 6 tulitoka Dar Mpaka Chato na Reporters wa CGTN mpaka Chato kwa Mheshimiwa Rais wa awamu ya Tano Mh Magufuli ambapo nilishuhudia utiaji saini mkataba wa SGR. Wale wakulungwa walisema, walidhani hapa Africa distance kubwa sana ni kutoka ukingo wa Bahari ya Hindi hadi Gambia, hawakujua kumbe ni Dar mpaka Chato

. Na pote hapo ni Mkeka.
Pia enzi za Mh Rais Kikwete alisema kwa barabara za lami alizojenga ingekua nchi za Jirani zingefika gadi kwenye matendegu ya vitanda vyao
View attachment 2249332