Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona unaweka mitaa yenu sasa

🤣 🤣 🤣 🤣 Naisha walai.🤣🤣🤣🤣
Image
Image
Image
 
Bora it tallies with what TANROADS say..,
Click each region ujionee picha kamili., mbona uandike kwa mate na wino upo? 😜😂😂😂😂
naomba nikushauri bro kwa hapo mushakamatika kua mpole tu mzee🤣🤣 tanzania haiko nigeria sisi ni majirani zenu tunajua mpaka alama za chupi zenu so ujue kabisa watu mutawadaganya ni watu wa mbali lakini sio watanzania

hakuna wakat umekua mgumu kwako kama safari hii pumzika uamke salama uvae koti kwenye jua kali ukazunguke CBD kutafuta wifi za bure 😃😃😃🙏🙏
 
Mombasa ni level ya Dar wacha kujitekenya.., wameonesha barabara zote, check the key idiot 🤣 🤣 😂 😂 😂 😂
alafu TANROADS data are not limited to major roads nyambaf, tarura wana manange barabara ndogo ndogo., TANROAD is the main body kama Kenya Roads Board(KRB).., even though kuna KENHA na KURA, body ni KRB.., wacha ufala wewe, mtajua hamjui roundi hii, nyambaff😆😂😂😂😆
ikiwa mwanza tu inajinyea unaiwazia dar 😂😂😂😂😂😂 naona ushajua kutofautisha kati ya street na main road
 
Ukijitoa wewe ni nani mwengine anamjua huyo Andrew Kibe.? Yaye ni nani yani hata aanze kumzingumzia harmonize.? Nyie maskini wa kenya mnashida gani.?😂😂😂
Mimi hapa ni mtz namfahamu kibe, jamaa anaongea point sana. Harmonise ni bonge LA fukuswii
 
Back
Top Bottom