Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunataka kuona barabara zenye ziko tarmacked.. zipo wapi mbona tusizione 😂😂.?
siwezi fanya huo upuzi kisa mnaumwa na wivu., can't waste my time on such idiocy my friend.., wacha nikupe mwelekezo kwa vile mko na haja sana; Just google name of a county and write tarmacked roads and ongoing construction images, uende hadi Turkana na North Eastern ujionee.., ukishindwa kuamini unaingia tu google earth kudhibitisha hilo eneo., kazi rahisi kwako, ila mnajitia hamnazo na upuzi tu. Sasa kazi kwako, nimekupa mwelekeo, dunia ya leo haudanganyi mtu bana, kila kitu kiko wazi mnajifanya tu., 🤣😂😂😂
 
Jioni njema guys.., ukweli unatesa lakini itabakia tu kua vile., enjoy. Bye for now.,
 
Hawa wajinga ni waongo kichiz.. mbona jambo jepes tu.. imagine unajinadi una barabara 23,000km afu unashindwa hata kujitetea kwa baadhi ya posts za hizo barabara.. nilitegemea rate ya posts za barabara ya 23,000km itakuwa kubwa kuliyo zetu za 12,000km
Sasa chongchung anawaonesha show ili wajue sisi sio size yao, haingii akilini nchi kama Tanzania yenye ukubwa mara mbili ya Kunyaland na yenye roads nchi nzima kila mahali eti izidiwe na Kenya, shida ni kwamba hawa Tanroad huwa wana tatizo la ku update data zao. Kenya kilichokuwa kinawapa jeuri dhidi yetu ni vile vi flyover vya tofali ambavyo kwa sasa tumeshavipiga chini kwa kujenga flyovers za adabu kuliko wao.
 
Hawa wajinga ni waongo kichiz.. mbona jambo jepes tu.. imagine unajinadi una barabara 23,000km afu unashindwa hata kujitetea kwa baadhi ya posts za hizo barabara.. nilitegemea rate ya posts za barabara ya 23,000km itakuwa kubwa kuliko zetu za 12,000km
Inasemekana 40 km Thika Highway ilihesabiwa kwa number of lanes times the Highway length!
 
siwezi fanya huo upuzi kisa mnaumwa na wivu., can't waste my time on such idiocy my friend.., wacha nikupe mwelekezo kwa vile mko na haja sana; Just google name of a county and write tarmacked roads and ongoing construction images, uende hadi Turkana na North Eastern ujionee.., ukishindwa kuamini unaingia tu google earth kudhibitisha hilo eneo., kazi rahisi kwako, ila mnajitia hamnazo na upuzi tu. Sasa kazi kwako, nimekupa mwelekeo, dunia ya leo haudanganyi mtu bana, kila kitu kiko wazi mnajifanya tu., 🤣😂😂😂
Unajielezea sana Bro, watu wanataka kuona barabara 😂😂😂 kujielezea sana ni ishara ya udhaifu
 
One road agency in Kenya, Kenya Rural Roads Authority wanafanya an average of 1000km per year of paved roads mind you hizi ni barabara za vijijini tu hatujahesabu average ya other road agencies tasked with highways and Urban Roads.
Image
 
Back
Top Bottom