Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Wewe huoni hata twiga wenu wana umri mdogo kushinda wale wa Nairobi? Usilete ligi kwenye kila kitu. Nairobi giraffe centre imekuwepo kwa miaka nyingi. Hii yenu imeanzishwa tu juzi kwa sababu lazima mucopy Kenya kwa kila kitu. Nairobi ina mambo mengi. Hapa Nairobi tuna elephant orphanage ambayo nyie hamna. Ndovu wachanga ambao wazazi wao wamefariki wanalelewa hapo.Yah iyo ndo babalao inakuja kumpiku giraffe mannor
Hapa ni John Kerry wakati bado alikuwa secretary of state of USA akimpa mtoto wa ndovu maziwa
Huyu ndiye mzungu aliyeanzisha hili elephant orphanage hapa Nairobi kwa jina la Daphne Sheldrick
Katoto ka ndovu kanapewa maziwa
Haka nako kanabugia kote bila kubakisha hata tone.
Huyu ni mjanja wa mjini anajua kujinywesha, hataki usaidizi
cc Tz_one

. 2834 km

