chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,308
- 45,107
18. Waso > Sale 49 kilometers
🛣️. 1539 km
19. Njombe > Moronga 54 kilometers
🛣️. 1593 km
18. Waso > Sale 49 kilometers
🛣️. 1539 km
Kwahiyo distance ya ukingo wa Bahari ya Hindi mpaka Gambia ni ndogo ukilinganisha na distance ya Dar mpaka Chato? Kaka hapa umechanganya madesa!

17. Urambo > Kaliua 28 kilometers
🛣️. 1490 km
Unapost picha za uzinduzi






19. Njombe > Moronga 54 kilometers
🛣️. 1593 km
8. Kazilambwa Chagu 40 kilometers
🛣️ 1000 km
Nitazijia mkuu, hakiachwi kitu, trust me 😂😂👍Mbona umesahau 45 izo
Ohk...Walimaanisha ni mbali sana. Hii ina emphasize ukubwa wa hii Nchi. Kwa wale waliopita HGL, HKL wanajua yale mambo ya figure of speech ya SIMILE na METAPHOR.![]()
Kila inch ya lami nitaiweka bila shaka mkuu 😁👌Hii nyahua chaya tayarView attachment 2249378
😂😂😂 Kumbe hata kusoma hiyo ramani hujui 😂😂 sikia TZ kuna bodi mbili za barabara ambapo tuko na TANROADS (kwaajili ya barabara kubwa tu) na TARURA (barabara za ndogo ndogo za ndani) .. hizo ramani umepost hapo zinaonyesha barabara kubwa tu zinazounganisha mikoa (Regional roads network). Kwahyo kama ARUSHA iko na hiyo network hiyo Mombasa ni vichekesho 😂😂😂Mbona niandike kwa mate na wino upo? si ni upumbavu huo? 🤣 😂 😂 😂 😂 . TANROADS wamefanya kazi rahisi mimi sihitaji sarakasi zenu, mnatafuta njia ya kukwepa ukweli nawajua vizuri sana😆😂😂.,I just click link ya TANROADS kisha NA PICK a region ianonyesha road network paved na vingine., ona mifano (click link and pick a region)
View attachment 2249364
View attachment 2249355
Lami iko tu Dar, ona Arusha..,
View attachment 2249357
View attachment 2249360
Watu wa sanaa tumekuelewa sana ✅Walimaanisha ni mbali sana. Hii ina emphasize ukubwa wa hii Nchi. Kwa wale waliopita HGL, HKL wanajua yale mambo ya figure of speech ya SIMILE na METAPHOR.![]()
20. Moronga > Makete 53 kilometers
🛣️. 1646 km
Watu wa sanaa tumekuelewa sana![]()
Hivi kwa kusini mwa jagwa la Sahara Kuna nchi ya kujilinganisha na sisi kweli pata picha huko ni makete ambako watanzania wenyewe hawajui ni wapi lakini mtandao wa lami umefika.20. Moronga > Makete 53 kilometers
. 1646 km
21. Mtwara > Mvinata 50 kilometers
🛣️. 1696 km
20. Moronga > Makete 53 kilometers
🛣️. 1646 km
22. Mpemba > Msongole 50 kilometers
🛣️. 1746 km
Ruhusa kupost hata za ukaguzi. Ongeza za uzinduzi, ongeza za kutiwa sain (ila onyo, msizirudie). Tunataka kuona 11000km za barabara zenu alizosema Uhunye. Mbona issue nyepes tu ila mnalialiaWanakagua ujenzi wacha ujinga. Huu sio uzinduzi. Huu ni mchezo wa kitoto sasa. Unataka Wakenya wapost uzinduzi ilhali wewe unapost ujenzi. Akili kichwani basi.