Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngojeni muone wakipita kimya kimya. 🤣 🤣 🤣 🤣


Hizi zilikua propaganda za Chadema miaka hiyo na huko nyuma.

Sasa wewe huini aina ya nguo na viatu walivyo vaa? Gari halipiti kwenye unpaved roads?

Na ukiangalia chini land ni dry, hakuna mvua, sasa why gari lisipite?

Sasa mtu mahuruti mnapata na wasaa wa kupiga na picha?

Can't your stupid brain give you a little break to reason?
 
ningekua siijui mombasa kweli ungenidanganya lakini mbaya zaidi huna kitu utanidanganya🤣🤣 mm nakuomba upumzike kwa sasa najua relay ishapata moto
Na mimi ningekua sijui Dar na Mwanza ungenibeba ujinga unavyo beba wenzako humu mr. google and tweeter., walai mmechoka kama jiji la Mwanza, mnapata tabu sana, sio makosa yetu, ni Kenya ilivyo, mtazoea tu, mimi sina ubaya, poleni kwa ufukara🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hizi zilikua propaganda za Chadema miaka hiyo na huko nyuma.

Sasa wewe huini aina ya nguo na viatu walivyo vaa? Gari halipiti kwenye unpaved roads?

Na ukiangalia chini land ni dry, hakuna mvua, sasa why gari lisipite?

Sasa mtu mahuruti mnapata na wasaa wa kupiga na picha?

Can't your stupid brain give you a little break to reason?
🤣 🤣 🤣 Wengine tena. Watu wanaumia lakini hamtaki kukubali.

 
🤣 🤣 🤣 Wengine tena. Watu wanaumia lakini hamtaki kukubali.


Lol! Wewe huoni mwenye hiyo post ana uniforms za Chadema?

Sasa ndugu yako yuko mahututi unapatage wasaa wakupiga picha?

Can't you see or fathom kuwa ni kitu imekua staged

Most Chadema members are uneducated and were engaged in silly propaganda.
 
Lol! Wewe huoni mwenye hiyo post ana uniforms za Chadema?

Sasa ndugu yako yuko mahututi unapatage wasaa wakupiga picha?

Can't you see or fathom kuwa ni kitu imekua staged

Most Chadema members are uneducated and were engaged in silly propaganda.
Ni wewe tu unajua ni propaganda, prove it then. Kama huwezi this evidence stands.
 
Wacha ujinga inflation imepanda dunia nzima. Sasa unapinga pia hilo? Ulirogwa na nani wewe kiasi cha kupinga hata vitu obvious? Kwani ni uongo kwamba in the last one year inflation imepanda katika majority ya nchi za dunia? Ukiangalia data ya April 2021 na April 2022 ya nchi nyingi utaona ninachosema. Usiwe unapinga hovyo.
Wewe siku zote huna akili, bado inajiita msomi, inflation rate lazima ipande lakini serikali lazima iwe na uwezo wa kudhibiti isifikie Kiwango cha kuwaumiza wananchi, unadhani huko Wester n countries ilikua miaka yote haipandi, kwanini hivi Sasa wanalalamika?, Hii ni kwasababu hivi Sasa imepanda kwa Kiwango kikubwa wananchi wanalalamika kwamba maisha yamekua magumu.

Hapo kwenu watu wanalalamika kwamba maisha yamekua magumu kutokana na gharama za maisha zimepanda Sana, ninyi mnasema hata Ulaya na marekani pia hali ni hiyo hiyo kwahiyo hakuna sababu ya kulakamika.

Sasa Kama hata huko Western countries ambao ni matajiri wanalalamikia serikali zao kuhusu kuongezeka la"inflation rate", hawasemi kwamba ni tatizo la duniani kote kwahiyo wake kimya, ninyi watu fukara, very primitive, mnakufa kwa njaa kila siku, badala ya kujipanga na kuzalisha chakula ninyi wenyewe, kwasababu zaidi ya 59% ya " inflation" katika nchi za Afrika inasababishwa na kuongezeka kwa bei za vyakula,badala yake mnakaa hapo Kibera na kujazana ujinga kwamba ni tatizo la duniani kote.

Mbona Tanzania na Uganda tumefanikiwa kudhibiti "inflation" isiongezeke Sana, vipi ninyi hamuwezi, au Uganda na Tanzania sio sehemu ya Dunia?, Punguzeni ujinga wa kujilinganisha na wazungu, wao hawafi kwa njaa Kama ninyi wapumbavu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wakichimba dawa

Angalia buses quality
Rest area quality
Road quality
Then nenda upande wa pili 😂😂😂😂

Nao wanachimba dawa

Angalia quality ya bus, barabara na rest area 🤣🤣🤣

View attachment 2249973

View attachment 2249974
View attachment 2249977
Hii ni povuuu😆😆😆, kuna picha hovyo za TZ zinaonyesha barabara hovyo na magari yamekwama pia, hiyo haibadilishi ukweli bana, mko chini bro, ba mzee umeteseka kweli, kila mti umeteleza, unatapatapa tu, utakufa kwa pressure, nenda ukazubae kwa beach kama uko pwani utulize machungu usipate ulcers, ni vigumu kupingana na ukweli, ni weekend kaka 😆 😆 😆 🤣
 
eurowings ni seasonal route ..pia turkish.. huu ndo msimu wa watalii
Weka hapa EuroWings zikileta watalii miaka ya nyuma badala ya kujisemesha tuu bila ushahidi.

Tukuamini wewe au boss wa EuroWings/Lufsantha? .Kazi nzuri ya Royal tour,acha wivu wa kisenge 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220604-122749.png
    Screenshot_20220604-122749.png
    107.3 KB · Views: 13
shida ni venye Tz mnajipendekeza sana. mna try sana kuji align na kujifix kwa lazma to the southern countries ilahali nyinyi mpende msipende, mko africa ya mashariki.! hivi mnahisi sana as if south africa na nyinyi nikama chanda na pete ama ndugu wa toka nitoke.. ila kwa ground vitu ni different, hivi zamu zote za xenophobia, nyie ndo wa kwanza kufurushwa.!

so please please i beg u to slowly leave SOUTHERN AFRICA DEVELOPMENT COMMUNITY.!! to the owners.. eti kila mara SADC this SADC tht... nkt.! nyumbani ni nyumbani bwana.. ata kama ugali tembele

cc: Tony254 whts your take bout these fellas joining sadc yet they are totaly in a very different region.!!

View attachment 2250019
Ukweli ni kwamba, Tanzania ndio chimbuko la SADC, bila Tanzania kusingekuwepo na SADC. SADC ni mtoto wa "Front line states", ambayo ndiyo iliyoongoza mapambano ya kuzikomboa nchi zote zinazounda SADC, ukiacha Lesotho, Zambia, Malawi na DRC, kiongozi wa hiyo "Front line states" alikua ni Nyerere na makao makua ni Dar.

Baada ya ukombozi kukamilika, Nyerere akasema nchi zote zilizokua zikipigania uhuru wa kisiasa ziungane kwa pamoja na kupigania uhuru wa kiuchumi, ndio ikazaliwa SADCC, ambayo baadae ikazaliwa SADC. Makao makua yalipendekezwa yabaki Tanzania, lakini Nyerere akasema yahamishiwe katikati ya nchi wanachama wa SADC, ndio yakahamishiwa Botswana.

Kama ambavyo chimbuko la EAC ni Nyerere, hata chimbuko la SADC ni Nyerere (Tanzania). Tanzania ipo karibu zaidi na EAC "Geographically", lakini ni SADC by birth, spiritually, Faith, and Mentally.

Tatizo ni ninyi wakenya mnajaribu kutulazimisha tubaki EAC wakati Kenya na Tanzania hatuna historia yoyote ya mashirikiano zaidi ya mivutano na tofauti za kiitikadi, Kenya mnalazimisha Tanzania iegemee zaidi EAC kwasababu kuu mbili
1)Uchumi wa Kenya unategemea Sana "EAC"
2)Kenya Haina uwezekano wa kuomba kujiunga SADC kutokana na usaliti wenu kipindi cha Ukombozi kusini mwa Afrika

Summary;
Tanzania 80% SADC, and 20% EAC

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom