Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2249873

Naona wamerudisha verified status ya hii account.
Nilishangaa sana kipindi wameitoa, nikafanya utafiti mdogo nikagundua ni kwa marehemu wote ila kuna wengine hawajazirudisha!

Screenshot_20220604-064743.png
 
Nani anachukia wao kufaidika na COMESA?
COMESA hakuna kitu mkuu, ndio sababu wakenya walipiga Sana kelele tulipoamua kujitoa COMESA, waulize wakupe takwimu za biashara wanayofanya na COMESA, hawana kwa kukimbilia zaidi ya EAC hapa Afrika, kwa kifupi Kenya hutegemea Tanzania na Uganda tu hapa Afrika, na South Afrika, nchi ambayo waliisaliti enzi za utawala wa wazungu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Na sisi mda sio mrefu tunaungana nao huko
Sema wamechelewa sana kufanya hivyo china na russian walitakiwa siku nyingi wawe na hiyo pesa ya pamoja hata kama pesa zao za ndani zikibaki ila wawe nw pesa ya biashara ya kimataifa
 
Haya ni mambo magumu sana. Democrats japo nawasupport wataangushwa kwenye uchaguzi wa November kwa sababu ya high inflation. Wamarekani wapo sensitive na mambo ya uchumi.
Hapo kwenu "inflation" ikipanda mnasema" it is a global problem, it happens even in western countries", kwenu ninyi kila linalotokea nchi za mabwana zetu mnadhani ninyi hamuwezi kupambana nalo.,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
ikiwa mwanza tu inajinyea unaiwazia dar 😂😂😂😂😂😂 naona ushajua kutofautisha kati ya street na main road
Huu ukweli lazima ilikuuma sana, Mombasa na Dar zinatembea pamoja maandishi yako yatabiki kukua tu maandishi 🤣 🤣🤣🤣🤣 😆 😆 😆
 
naomba nikushauri bro kwa hapo mushakamatika kua mpole tu mzee🤣🤣 tanzania haiko nigeria sisi ni majirani zenu tunajua mpaka alama za chupi zenu so ujue kabisa watu mutawadaganya ni watu wa mbali lakini sio watanzania

hakuna wakat umekua mgumu kwako kama safari hii pumzika uamke salama uvae koti kwenye jua kali ukazunguke CBD kutafuta wifi za bure 😃😃😃🙏🙏
😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆pole bro naona na vilaza wenzako mmejitekenya na kucheka, poleni sio kwa kupenda kwetu ni Kenya ilivyo., hii povu mmemwaga humu imevunja rekodi ya jf, na bado mtazimwaga🤣🤣🤣🤣😆😆
 
Wanapiga kelele mingi alafu at the end of the day..wako na interchange na fly over less than 5 ..The whole of tanganyika na zanzibar...such a shame...
Kwa kiswahili hawa vilaza hamtowaweza, ikija empty domo domo ni mabingwa, kwanza wakifinywa na facts., watavuja povu na useless points, ona eti vipicha vya barabara kujiliwaza.., Google earth, TANROADS, NBS, WB, IMF asanteni sana! Tz ni mifukara bin mikwara 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom