chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,309
- 45,110
35. Bulamba > Kisorya 51 kilometers
🛣️. 2834 km
36. Natta >Mugumu 135 + 50 kilometers
🛣️. 3019 km
35. Bulamba > Kisorya 51 kilometers
🛣️. 2834 km
Anataka upost 23,000km of roadsKilaza atapinga, ni fala., mimi nimeleta link ya Kenya Roads Board, bado hawataki, naleta pia yao ya TANROADS., hii hapa
Mtu asikudanganye., whatever tanroads say is true same na Kenya KNBS na KRB.., mchezo nilimaliza

....Yani JF imejaa mabongolala huwa nashindwa mnasurvive aje 
36. Natta >Mugumu 135 + 50 kilometers
🛣️. 3019 km
🤣 🤣 🤣juzi imewekwa picha ya giraffe restaurant Moshi na naweza kusema inaipiga bao hii ya Nairobi kwa uzuri!
Haitaki hasira, 1000km of paved roads per year in rural areas only. Fact only from the horses mouth. Vijiji zimetandikwa lami balaa. 😁 🤣 Nionyeshe any article inayo onyesha bongo munafanya 1000km of paved roads per year nifunge hii account. Mumepost picha hadi za as far as 2019 za barabara zote hadi highways na bado hamjafikisha 3000km.🤣🤣🤣🤣Heb wacha kuchekesha 😂😂😂
Itabidi niicheki basi....naona nilikuwa siifahamu..unaijua kwa jinaIpo Boss. Moshi kule .
Sikuiona ni Tag mzee ..kama ipo karibuYa Tz pia iliwekwa humu mkuu, hukuiona?
37. Kaliua > Kazilambwa 56 kilometers
🛣️. 3075 km
😂😂😂 Unajielezea sana kijana, watu wanataka kuona barabaraHaitaki hasira, 1000km of paved roads per year in rural areas only. Fact only from the horses mouth. Vijiji zimetandikwa lami balaa. 😁 🤣 Nionyeshe any article inayo onyesha bongo munafanya 1000km of paved roads per year nifunge hii account. Mumepost picha hadi za as far as 2019 za barabara zote hadi highways na bado hamjafikisha 3000km.🤣🤣🤣🤣
![]()
Sasa sisi tunapost roads zetu, kama mnashindwa kuoneshea mali mlizonazo nyie ni mbwa chini ya jua.Anataka upost 23,000km of roads....Yani JF imejaa mabongolala huwa nashindwa mnasurvive aje
![]()
37. Kaliua > Kazilambwa 56 kilometers
🛣️. 3075 km
Si muoneshe hata hizi 😅😅😅Umetafuta hadi picha za barabara zote as far as 2017 na bado hujafikisha hata 5000 km🤣🤣🤣
38. Uyovu > Bwanga 45 kilometers
🛣️. 3120 km
Hatutaki makaratasi, haya makaratasi mliyatumia kuongopa kwa miaka mingi, kwa ss tunataka vitendo. Ongea kwa vitendo, weka barabara tuione kama sisi tunavyofanya ili tukate mzizi wa fitina.


39. Bwanga > Biharamulo 68 kilometers
🛣️. 3188 km
40. Sitalike > Mpanda 37 kilometers
🛣️. 3235 km
Ziko mingi sana. Hatuwezi jenga 1000km per year kwa vijiji na tukose evidence. Hizi ni a few projects za last quarter of 2020 pekee. By the time nafikia posts za 2017 kama nyinyi si itakua next month. 🤣 🤣 🤣😂😂😂 Unajielezea sana kijana, watu wanataka kuona barabara
41. Mkumbara > Same 96 kilometers
🛣️. 3331 km