IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,275
- 9,411
Huju jamaa huwa anapenda kulazimisha issues sana 😅
Mimi niko Mombasa sijawahi kusikia mtu amelipa kuingia mama ngina waterfront, let alone mimi mwenyewe kulipa so wewe endelea kuamini unachotaka, naona wewe ni kawaida yako ku force sana😅😅