Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mk sunset corsa down at the nyahururu airstrip this weekend was between Audi Rs7 1000 horsepower and Nissan GTR 1500 horsepower
FB_IMG_1652073846325.jpg
FB_IMG_1652074139568.jpg
 
Ilibidi ulinganishe Kenya na Tanzania katika Lugha ya kwanza ya mataifa haya mawili, kiingereza kwetu ni lugha ya pili, sio lazima kuijua.

In Tanzania Kiswahili is our primary and National language, it is our language by birth, someone doesn't need to go to school to be fluent.

English is only for few people, especially those who went through secondary education, therefore it is our second language which is used mainly in urban areas. We don't use it frequently and we don't need it mostly.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
80% nikiwemo Mimi kingereza ni third language tulianza kuzungumza kikwetu,then kiswahili na baadaye kwenye masomo ndio tunajifunza kingereza
 
View attachment 2217507NairobiWalker, may be u didn't understand wht i actualy ment. i was actualy responding to Shebby01 who said that kenyans prejudice or see tanzanians in a negative way. i was actual assuring him tht whatever he just said is actualy very true ie.'concuring', tht kenyans think of tanzanians as an inferior country.

nb: their's no day I can ever befriend these idiots.!!
It is meant AND NOT ment mr English!
 
We nyumbu sgr imekamilika yote kinachosubiriwa ni trains testing and commission

Video zipo tele mitandaoni kalete ushahidi mahali ambapo hapajajengwa
Kama mnachelewesha uzinduzi wa kilomita 200 kwa miaka mitatu si basi itawachukua miaka ishirini kufikisha reli yenu DRC??
 
Sasa uzinduzi wa JNHPP umesongezwa kutoka mwaka wa 2022 hadi 2024 halafu unashangaa nini mradi huu unapoitwa white elephant? Hio 2024 itasongezwa tena hadi 2025 subiri tu utaona.
Hata SGR kilomita 200 imewashinda kumaliza miaka mitatu baada ya tarehe ya uzinduzi wa November 2019.
Sitashangaa ikiwa treni yenu ya umeme itakosa umeme wa kuiendesha hii August wakati wa uzinduzi.
White elephant ni Lamu port iliyohudumia 11 ships for the whole year tangu ifunguliwe!
JNHPP will sell Kunyaland power aside other Tanzania's neighbors!
 
White elephant ni Lamu port iliyohudumia 11 ships for the whole year tangu ifunguliwe!
JNHPP will sell Kunyaland power!
By 2024 wakati mnazindua JNHPP tayari tutakuwa tunanunua umeme kwa bei nafuu kutoka Ethiopia kwa maana ujenzi wa njia ya umeme kati ya Kenya na Ethiopia umekamilika, tunasubiri uzinduzi wake soon. Turbines mbili za GERD ya Ethiopia tayari zinazalisha umeme.
 
By 2024 wakati mnazindua JNHPP tayari tutakuwa tunanunua umeme kwa bei nafuu kutoka Ethiopia kwa maana ujenzi wa njia ya umeme kati ya Kenya na Ethiopia umekamilika, tunasubiri wake uzinduzi soon. Turbines mbili za GERD ya Ethiopia tayari zinazalisha umeme.
Kwani ujenzi wa grid interconnection Eastern and Southern Africa power pool unapita wapi?

Mwaka wa 10 huu Ethiopia inajenga GERD!
 
Kama mnachelewesha uzinduzi wa kilomita 200 kwa miaka mitatu si basi itawachukua miaka ishirini kufikisha reli yenu DRC??
Reli ilishakamilika siku nyingi, trains zilikua delayed sababu ya Corona kitu kilichoathiri uzalishaji na uchumi wa duniani kote, usijitoe akili sababu siku hizi na wewe huna akili kama wenzako

Halafu tunajenga electric railway pamoja kuna overhead catenary kwenye railway bado kuna ujenzi wa more than 200kv transmission line along the railway na substations zake so usifikiri ni kazi ndogo kama kujenga huo mtambo wenu wa chang'aa

images - 2022-05-09T092428.848.jpeg
 
Hehe naona umeamua kujitetea vilivyo.
Mbona kila siku tunawaambia kwamba kiingereza sio lugha yetu na hatuithamini ukilinganisha na Kiswahili, kwa ufupi huku Tanzania ukishamaliza shule na Kama unaishi vijijini, lazima kiingereza utakisahau, hakitumiki kabisa, na ukisikika unazungumza kiingereza watu wanakucheka.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Vipi kuhusu
1)SGR from Mombasa to Malaba
2)Galana Kulalu project
3)Five dams,
4)Nairobi BRT
5)Nairobi Light railways
6)Lap top per child

Hivi unadhani miradi mikubwa Kama hii yenye thamani ya zaidi ya $3B utekelezaji wake ni rahisi Sana?, tena ambao tunatumia pesa ya ndani?

Tafadhali tuwekee mradi wowote Kenya unaozidi $1B uliokamilika kwa wakati ambao unatokana na pesa yenu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sgr mombasa to porini. Malaba ni ndoto

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kama mnachelewesha uzinduzi wa kilomita 200 kwa miaka mitatu si basi itawachukua miaka ishirini kufikisha reli yenu DRC??
Hatujengi Kama ninyi, eti" phase" Moja ikamilike ndio phase inayofuata ndio inaanza kujengwa.

Kwa mfano "phase 1" imechelewa lakini "phase 2 & 5" hazijachelewa, hivi Sasa "phase 2" imefikia 80%

Wakati tunazindua ujenzi wa 'phase 2" ya Morogoro hadi Dodoma, mlishangaa Sana kwasababu "phase 1" bado ilikua haijafika hata 50%, mlipinga kwasababu mlitaka tujenge Kama ninyi, unakumbuka?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hatujengi Kama ninyi, eti" phase" Moja ikamilike ndio phase inayofuata ndio inaanza kujengwa.

Kwa mfano "phase 1" imechelewa lakini "phase 2 & 5" hazijachelewa, hivi Sasa "phase 2" imefikia 80%

Wakati tunazindua ujenzi wa 'phase 2" ya Morogoro hadi Dodoma, mlishangaa Sana kwasababu "phase 1" bado ilikua haijafika hata 50%, mlipinga kwasababu mlitaka tujenge Kama ninyi, unakumbuka?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ila jamaa wa lot 5 wanatakiwa kushikiwa viboko juzi Majaliwa analalamika CCECC wameondoa wafanyakazi JPM bridge na kupeleka SGR! Kwangu mimi lawama zangu ni kwa Prof. Mbarawa maana kampuni iki-violate mkataba inapaswa iwe penalized!

By 2024 wakati mnazindua JNHPP tayari tutakuwa tunanunua umeme kwa bei nafuu kutoka Ethiopia kwa maana ujenzi wa njia ya umeme kati ya Kenya na Ethiopia umekamilika, tunasubiri uzinduzi wake soon. Turbines mbili za GERD ya Ethiopia tayari zinazalisha umeme.
Uliza Ethiopia walitumia miaka mingapi kukamilisha ujenzi wa Hilo bwawa lao, zaidi ya miaka 10, na bado hadi Leo halijaanza kazi.

Sisi umeme wetu unasubiriwa nchi za SADC, hatuwezi kuwauzia nchi yenye madeni makubwa, hatutaki kukopesha, lipeni kwanza madeni yenu hadi angalau yabaki 36% ya GDP yenu Kama Tanzania, ndio tuwakopeshe umeme

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom