7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
Sasa walivyotangaza kuifanya hawakujua kama hawana pesa??Umetoa pesa ya kujengea au unadhani wanajengea makamasi yako?
Sasa walivyotangaza kuifanya hawakujua kama hawana pesa??Umetoa pesa ya kujengea au unadhani wanajengea makamasi yako?
Hatimaye labda suluhisho litapatikana.
Mpaka waombeleze ni leo? Nakupa mfano Mwendazake aliwahi zindua ujenzi wa Dodoma Ring Road lakini uliwahi ona hata greda?Sasa walivyotangaza kuifanya hawakujua kama hawana pesa??
Sijasema kwamba sie hatuna utajiri ila nimesema kwamba nyie mna rasilimali (natural resources) mara kumi kutushinda.Nyie mmekosa nini acheni kumlaumu Mungu mafuta mmepewa mmeshayafanyia nini mpaka leo ili kuinua hali zenu za maisha? Bahari na viumbe vyake mmepewa mmefanyia nini? Mapori ya utalii mmepewa mmefanyia nini? Isiwe rahisi tuu kulaumu wenzenu hawafanyi kitu juu ya utajiri wao wakati na nyie mmekalia wenu pia.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nadhani majirani wako wanatengeneza mabango kushurutisha asasi za kimataifa zizuie huu mradi. Hawa majamaa kwa wivu na roho mbaya wamesomea aisee.
Sana mkuu tungeisha soteBasi kumbe huenda hii covid wanai-overrate maana tangu nianze kuisikia hadi hii leo nikitathmini jinsi tunavyoishi huku niliko,sisi tungekuwa marehemu kitambo sana
Dah!



pia mimi.. kwamfano hii story ya Alfred Mutua, kuitema ODM na kujoin UDA, hio ni information nimepata leo toka kwa mtanzania.. not from a kenyan..🤔Naona wakibisha kuwa wakenya wanafuatilia mambo mengi ya ndani Tz, Kisha baadae hao ndio wanaleta mambo yanayoendelea Kenya kwenye thread...kusema kweli kuna mambo mengi ya kenya huwa napata habari kuyahusu hapa jf kupitia kwa watanzania 😂
Hivi kazi ya Majaliwa ni kubweka tu? Si kufukuza wahusika baada ya ripoti ya CAG?
Huyu jamaa ameelezea vizuri kinachofanyika.
Hii hapa pia nimejulia huku kabla kukimbia pale twitter for confirmation and find out what people are talking about 😂pia mimi.. kwamfano hii story ya Alfred Mutua, kuitema ODM na kujoin UDA, hio ni information nimepata leo toka kwa mtanzania.. not from a kenyan..🤔
just an example IamLee 👇🏽View attachment 2218067
Tuliambiwa pesa ipo yote, mkandarasi hadai siye ndio tunamdai, mradi utaisha kwa wakati, na nilikuwa nikiwafuatilia kipindi cha Tanzania Mpya , mtangaji anauliza msimamizi mwaka huu mwezi wa 6 mradi huu utaisha? Akajibu kwa uhakika kabisa tutegemee kupata umeme June 2022, kaulizwa tena mbona asilima ziko chini na muda ni mchache akasema tumejipanga mradi utaisha kwa wakati,akaulizwa tena watanzania unawaambia nini kuhusu huu mradi akajibu watuamini sisi tuko makini sana tunajua watanzania wana hamu sana na huu mradi utaisha kama ilivyopangwa hakuna changamoto yoyote tuko vizuri kabisa,kwahiyo nyinyi mlioko serikalini mtuambie vizuri mkandarasi na msimamizi mmewafanya nini hadi usiishe kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali?sasa kukosekana kwa pesa kunatoka wapi, kubali mtazamo wangu basi kwamba ni jambo la kisiasa hili ndg yangu.Mradi wowote ambao unakua financed by gov delays ni kawaida, Magu mbona hadi anatwaliwa hakumaliza Sgr dar moro? Wewe unaposikia serikali imetenga 800b kwaajili ya bwawa hapo ukute mkandarasi anahitaji hata 2trill amalize kazi sema kapu hilohilo ndio linatakiwa lilipe salary..lijenge barabara kulipa wazabuni wengine nk...tuliopo huku serikalini tunaelewa vizuri haya mambo
Yooh 😂😂😂😂😂 Punguza hasira mkuuShida iko wapi, cjui kingereza najua kiswahili nini mbaya!! Ww unayejua kingereza na bado upo failed state unaganga njaa. Unajua kingereza na hujawahi kutoka nje ya hyo failed state haya tuambie kingereza kimekusaidia nn?
Unajua nyinyi Wakenya ni wasenge sn, mnalidhalilisha hili bara kwa shobo zenu za kipumbavu, yn mtu anajisifia kabisa anajua lugha ya watu wakati lugha yake ipo na anaona aibu hata kuiongea, haya makunya ni majinga kabisa.
Hii hapaHii hapa na ww nioneshe electrifitried SGRView attachment 2218029View attachment 2218030View attachment 2218031View attachment 2218033
Nasubiri bado 😂😂Ngoja nikutafutie comment yako ukishangilia baba levo kuja kenya, babayao255 fanya kazi yako tafadhali![]()
Mimi kwa kweli ninatamani miradi yote ya kimkakati iishe. Wabane sana kwenye ufujaji mianya yote ya rushwa, uzembe, usimamizi mbaya na ucheleweshaji wa maksudi tutaokoa pesa mingi sana.Mpaka waombeleze ni leo? Nakupa mfano Mwendazake aliwahi zindua ujenzi wa Dodoma Ring Road lakini uliwahi ona hata greda?
Mwaka huu Samia kazindua ujenzi baada ya pesa kupatikana..
Vitu vingine kama hawana uwezo wa kutoa maamuzi mazito wasiwe wanatangaza wapige kimya. Hiyo ni taasisi moja tu, kwingine hali ikoje?Hivi kazi ya Majaliwa ni kubweka tu? Si kufukuza wahusika baada ya ripoti ya CAG?
Heb acheni kuongea sana nyie wakunya .. with no westerners you ar nothing.. hadi mashamba ya chai hapo kwenu ni ya foreigners . Then u hare claiming ATI ni hard wakers 😂😂 muache mchezo asee.. taja kwenye buildings hizo posh zenu and CBD majengo karibu yote ni foreign investments, hadi posh zenu wanapishi uko namba kubwa ni foreigners, and the numbers go on.. taja kila sekta.. eti mnatubaza, hiyo nguvu mnatoa wapi nyie, watu msiojiweza hata kwa chakula chenu.. shame on you 🤮🤮Sijasema kwamba sie hatuna utajiri ila nimesema kwamba nyie mna rasilimali (natural resources) mara kumi kutushinda.