Delayed train delivery from the supplier due to Covid19.Kama mnachelewesha uzinduzi wa kilomita 200 kwa miaka mitatu si basi itawachukua miaka ishirini kufikisha reli yenu DRC??
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Delayed train delivery from the supplier due to Covid19.Kama mnachelewesha uzinduzi wa kilomita 200 kwa miaka mitatu si basi itawachukua miaka ishirini kufikisha reli yenu DRC??
Halafu kuna watu humu walikuwa wanataka hii kampuni ya kichina ipewe phase 3 citing procurement regulations hao ni waongaji wakubwa na kazi yao mwanza isaka isiposimamiwa closely tutapata end product kama ya Kenya.Ila jamaa wa lot 5 wanatakiwa kushikiwa viboko juzi Majaliwa analalamika CCECC wameondoa wafanyakazi JPM bridge na kupeleka SGR! Kwangu mimi lawama zangu ni kwa Prof. Mbarawa maana kampuni iki-violate mkataba inapaswa iwe penalized!
Mkuu, watu wanahitaji kusimamiwa na kuwa na hofu kwa viongozi wao wa juu, kipindi cha Magufuli viongozi wengi hasa mawaziri walifanya kazi kwa hofu na woga Sana, muda mwingi walikua "sites" kusimamia hawa wakandarasi, hivi Sasa mawaziri na wakandarasi hawana hofu tena ya kutumbuliwa.Ila jamaa wa lot 5 wanatakiwa kushikiwa viboko juzi Majaliwa analalamika CCECC wameondoa wafanyakazi JPM bridge na kupeleka SGR! Kwangu mimi lawama zangu ni kwa Prof. Mbarawa maana kampuni iki-violate mkataba inapaswa iwe penalized!
South Africa ana uhitaji mkubwa sana wa umeme na usishangae most of the electricity produced at JNHPP ukaenda to the southern africa power pool countries.Uliza Ethiopia walitumia miaka mingapi kukamilisha ujenzi wa Hilo bwawa lao, zaidi ya miaka 10, na bado hadi Leo halijaanza kazi.
Sisi umeme wetu unasubiriwa nchi za SADC, hatuwezi kuwauzia nchi yenye madeni makubwa, hatutaki kukopesha, lipeni kwanza madeni yenu hadi angalau yabaki 36% ya GDP yenu Kama Tanzania, ndio tuwakopeshe umeme
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tatizo si nani kapewa bali ni usimamizi kupitia sheria za mikataba! Wewe unadhani hata Yapi Merkezi hawawezi kufanya huu upuuzi?Halafu kuna watu humu walikuwa wanataka hii kampuni ya kichina ipewe phase 3 citing procurement regulations hao ni waongaji wakubwa na kazi yao mwanza isaka isiposimamiwa closely tutapata end product kama ya Kenya.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ila jirani asiogooe waki overflow tutawa offload kwao na wao wapate hela kidogo. Ila shida ya northern neighbours wao wanapenda mass tourism amabayo haina tija.Just imagine in less than 20 hours scored 2.5 million views on twitter
Utalii wa Tanzania utazidi kupaa Africa
Hapa lazima tumepata watu wengi ambao ndio wanaisikia Tanzania kwa mara ya kwanza, watu wengi waliovutiwa na Serengeti, watu wengi watakao kuja Tanzania in just a smooth few seconds video
Yapi anaweza ila anaogopa kuharibu reputation yake maana it is an european company na europe wanazo regulations na sheria kali sana na ufuatiliaji mkubwa unlike china kampuni zikidhulumu milango ikifungwa wanaenda kwa maskini mwingine mwenye uhitaji mkubwa wanamtongoza wanajenga kwa pesa yao na kuendesha biashara mpaka hela yao irudi God knows when could be 30 years or more as in the case of expressway au wana swap na collateral yoyote kubwa.Tatizo si nani kapewa bali ni usimamizi kupitia sheria za mikataba! Wewe unadhani hata Yapi Merkezi hawawezi kufanya huu upuuzi?
Sasa kama wanaweza mbona unashadadia taratibu za manunuzi kutofuatwa? Wapi kunakuwa na ulinzi zaidi? palipo na ufuatwaji wa taratibu, kanuni na sheria au palipo na uvunjwaji wa taratibu, kanuni na sheria?Yapi anaweza ila anaogopa kuharibu reputation yake maana it is an european company na europe wanazo regulations na sheria kali sana na ufuatiliaji mkubwa unlike china kampuni zikidhulumu milango ikifungwa wanaenda kwa maskini mwingine mwenye uhitaji mkubwa wanamtongoza wanajenga kwa pesa yao na kuendesha biashara mpaka hela yao irudi God knows when could be 30 years or more as for the case of expressway au wana swap na collateral yoyote kubwa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wachina ni washenzi...Hizi..kazi wapewe wakorea wa Tanzanite Bridge wale...Halafu kuna watu humu walikuwa wanataka hii kampuni ya kichina ipewe phase 3 citing procurement regulations hao ni waongaji wakubwa na kazi yao mwanza isaka isiposimamiwa closely tutapata end product kama ya Kenya.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unajua GERD imechukua miaka mingap kuisha..Big projects kama hizi take time...By 2024 wakati mnazindua JNHPP tayari tutakuwa tunanunua umeme kwa bei nafuu kutoka Ethiopia kwa maana ujenzi wa njia ya umeme kati ya Kenya na Ethiopia umekamilika, tunasubiri uzinduzi wake soon. Turbines mbili za GERD ya Ethiopia tayari zinazalisha umeme.
Usimamizi ndio kila kitu duniani, Wajapan wanasimamia waajiri wao hadi muda wanaotumia kwenda chooni kujisaidia, kazi ni usimamizi.Tatizo si nani kapewa bali ni usimamizi kupitia sheria za mikataba! Wewe unadhani hata Yapi Merkezi hawawezi kufanya huu upuuzi?
Hivi una habari ujenzi wa meli hauna consultancy sasa jiulize kwa hali kama hiyo kwann mkandarasi asijaribu ku-maximize profit gain?Wachina ni washenzi...Hizi..kazi wapewe wakorea wa Tanzanite Bridge wale...
Ingawa wa korea wa kwenye meli nao wamezngua .
Its true watu walikuwa wanamuogopa sana JPM na kazi ilikuwa zinaenda fasta..
The fear factor needs to return ..
JNHPP ni mradi mkubwa na mm nlikuwa najua no way unaisha in 3yrs hata JPM angekuepo..
Very expensive entrance fees yet nothing to expect 😅
Mpaka leo haijafunguliwa?
Kwani hao wanalalamika ni watanzania?, Hivi amuoni hapa jinsi tunavyopinga na kulakamika pale ambapo Kuna ubadhilifu au uzembe katika utekelezaji wa miradi huku Tanzania?, Sote tunaungana kuilaani serikali, ninyi tukiwaambia mnajaribu kuitetea serikali yenu ambayo inajulikana duniani kote kwa rushwa na matumizi mabaya ya fedha za ummaContinue fantasizing, satisfy your ego, however, your thoughts and wishes will remain just thoughts and wishes![]()
Vikao kibao kazi wanayofanya haionekani kazi kufungia nyimbo za wasanii tuuTumerudi kule kule kwa nchi ya semina na vikao visivyokua na tija zaidi ya kupoteza muda na pesa za umma. We need to do something Tanzanians, it is very unfortunate and unacceptable.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Haya Mambo ndiyo yanayoipoteza Kenya. The only billionaire in East and Central Africa doesn't own a helicopter, the second and third richest men (Rostam Aziz and Bakhresa)in the region, don't have their own helicopters, but politicians in Kenya do own helicopters, where do they get money?. Hiyo ndio sababu "ratio ya debt to GDP Kenya ni 80%




