Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yes.. i truely concur🙏🏽🙏🏽, we kenyans stereotype tanzania as a poor country, its pipo are laidback, lazy, illiterate, not affluent, use only kiswahili as official cum franca lingua, lacking exposure and what have you..
You know you Kunyans are full of shiit🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tanzania is a sh*t-hole country. Niliwaambia huu mradi wa JNHPP ni white elephant na mkapinga. Sasa mradi wenyewe ambao ulikuwa ukamilike mwezi ujao sasa umesongezwa hadi 2024. Nilijua tu kwamba yule mzee wa kuzindua zindua tu miradi bila kujali kama Tanzania ina uwezo wa kukamilisha hizo miradi atawaletea hasara kubwa. Sasa mradi wa SGR Dar - Moro ambayo ilikuwa ikamilike November 2019 hadi sasa May 2022 bado haijazinduliwa. Sasa uzinduzi wa JNHPP umesongezwa mbele kutoka June 2022 hadi mwaka wa 2024.

Hivi hili jaridi lenu la kufungia maandazi huwa wanatoa wapi hizi taarifa zilizo jaa upotoshaji?
Au wanapima kina cha maji!
Tizama hii video halafu utafute hayo maneno yaliyoandikwa kwenye hilo jarida la kufungia mandazi.
[mention]Tanzania Railways Corp [/mention]

yes.. i truely concur, we kenyans stereotype tanzania as a poor country, its pipo are laidback, lazy, illiterate, not affluent, use only kiswahili as official cum franca lingua, lacking exposure and what have you..
Mimi nimekua Kwa kuaminishwa kwamba wakunya ni njaa kali. Hata akiwa na koti ya suti utakuta shati ndani imechanika. Na Kwa wale wazee wa kabila ya Baba wa Kibra ndio kabisa utakuta ako na briefcase ila ndani iko na uchafu na mawe tu ya kurushia watu.

Yani wakunya ni busy for nothing creatures. Wapo wapo tu... Wanaishi vile Jayden na Familia yake wanataka mambo yaende.
 
He is not proficient!
One thing I have noticed about most of kunyans is ;, they are full of prijudice when it comes her neighbours! Mostly Tanzania but luckily some of the misconceptions have proved to be wrong!
Kuna mkunya mmoja juzi alikuwa anasafiri anarudi kwao Kunyaland, nikamuuliza ww ni mkenya? Akajibu kwn ninafanana aje? Nafanania mtz nikamjibu yeah you look like a Tanzanian, akafurahi sn akajibu asante.

Kiukweli Wakenya wote wangependa kuwa Watz ila ni watz wachache mno km co hakuna kabisa anayependa kuwa mkenya.
 
Baada ya kuzurura Jijini leo Jumapili nzima tunatulia eneo kidogo penye upepo Mwanana wa bahari, tunamwagilia moyo kidogo na Chui wa baridiii huku tukiangalia mandhari nzuri ya Jiji, pamoja na uoto wake wa Asili.

View attachment 2216992
View attachment 2216993
View attachment 2216994
View attachment 2216995
View attachment 2216996
View attachment 2216997
View attachment 2216998
View attachment 2216999
View attachment 2217001
Aisee NDINDA hz picha umetisha sn, yn ni screen saver wallahi na hakuna filter mazee.
 
Tanzania is a sh*t-hole country. Niliwaambia huu mradi wa JNHPP ni white elephant na mkapinga. Sasa mradi wenyewe ambao ulikuwa ukamilike mwezi ujao sasa umesongezwa hadi 2024. Nilijua tu kwamba yule mzee wa kuzindua zindua tu miradi bila kujali kama Tanzania ina uwezo wa kukamilisha hizo miradi atawaletea hasara kubwa. Sasa mradi wa SGR Dar - Moro ambayo ilikuwa ikamilike November 2019 hadi sasa May 2022 bado haijazinduliwa. Sasa uzinduzi wa JNHPP umesongezwa mbele kutoka June 2022 hadi mwaka wa 2024.

Huyu kwa kukurupuka huyu
 
Idiots claim this to be free public service 🙄

Screenshot_20220508-215326.png
 
I am fluent Kiswahili, my dialect is different from yours but I'm very fluent. Meanwhile, you're so poor in English you're always misinterpreting what people who are good in English type.
Kwenda zako, hamjui Kiswahili tunawavumilia tu hapa, Kiingereza chenyewe mnachanganya na lugha zenu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mkunya mmoja juzi alikuwa anasafiri anarudi kwao Kunyaland, nikamuuliza ww ni mkenya? Akajibu kwn ninafanana aje? Nafanania mtz nikamjibu yeah you look like a Tanzanian, akafurahi sn akajibu asante.

Kiukweli Wakenya wote wangependa kuwa Watz ila ni watz wachache mno km co hakuna kabisa anayependa kuwa mkenya.
Kuna mmoja aliniuliza nifanye nini ili nipate uraia wa tz? Nikamwambia aende Kwa myenye kiti/katibu atampa way forward 😀😀😀😀😀
 
Idiots claim this to be free public service 🙄

[ATTA
l]2217271[/ATTACH]

sasa unatuletea website ambayo haina relevance, ya pili ni post ya kitambo sana wakati park inakuwa renovated na pia hio website wameweka hizo chargers kama speculation na wameandika vizuri kuwa itakuwa revised ikishafunguliwa... Watanzania mtaacha lini kiki 😅😅 na umama.. website yenyewe umeisoma?
Screenshot_20220508-223810.png
 
Back
Top Bottom