Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Halafu wasilojua model hiyo hiyo zipo za kutumia umeme pia!Brother hiyo chini ni treni ya matengenezo ya reli. Kigumu kuelewa ni nini hapo? ?
Halafu wasilojua model hiyo hiyo zipo za kutumia umeme pia!Brother hiyo chini ni treni ya matengenezo ya reli. Kigumu kuelewa ni nini hapo? ?
Hatuangalii usasa pekeake bali pia efficiency.
EFFICIENCY yake kubwa kuvuta mabehewa 35 mpk 40 tena ya mizigo siyo uwezo wa kitoto.





kama umefuatilia huu mchakato utagundua team yao ilikuwa very competent kuna mawaziri kibao walitimuliwa na hata kesi nyingi za kuwabana kampuni za mafuta!Hvi cost ya kujenga refinery ni kiasi gani maana hawa waganda watakua wanefeli sana bila iyo kitu
Dah. Yani hii ishu ya haya mafuta ni miaka 20 sasa. Tangu nipo shule Uganda. Safari imekuwa ndefu kweli kweli.
Wataalamu wa Tekinolojia ya mawasiliano hilo dude juu ya LC ni la kufanyia nini?
View attachment 2103745
Nyie mumepigwa bana, kwanza lile bomu la kwanza likaanguka njiani lilikua linaiteaje vileleta lenyu tuone linafanana vp! Nakuhakikishia SGR Kunyaland hawana MFV!


Ndio maana jpm alsema hatufai kuwa na haraka na mradi wa lng, kama hauna maslai kwetu ni bora kusubiria tuuDah. Yani hii ishu ya haya mafuta ni miaka 20 sasa. Tangu nipo shule Uganda. Safari imekuwa ndefu kweli kweli.
Ya kwenu yako wapi, tupia picha tuone hzo design kutoka bongo basiMbona haya mabasi yenyewe ya BYD mmeimport kutoka China. Kuna nini chenu hapo zaidi za kuandika hayo maandishi ya Hiyo Start up
BYD is the Chinese company and is the world largest Electric Vehicle Manufacturer. Angalia duniani kote wanaotumia electric Buses nyingi wameuziwa na BYD
View attachment 2100419
View attachment 2100420
Nyie Bus lenu hili hapa chini na mnatakiwa mfanye mambo kwenye upande wa Design
Hili ndio labda mjipongeze mmefabricate wenyewe.
View attachment 2100424
Hapa Tumepigwa Aisee
Mh hii speed yake haizidi 40km/hr.Vipi kuhusu ufanisi wa mafuta na uwezo wa kubeba mizigo tofauti na tulizo nazo ? Za zamani zilikuwa na 8wezo wa kuvuta mabehewa mangapi
Noma sanaI decided to google prices of these commodities and started with that of sugar. Then booom! I am met with shock, then decided not to waste my time on the other ones coz chances are, you lied as well. Hii karne ya internet unawezadanganya mtu kweli?
Prices of sugar in your country have shot to Tsh 3,000 so uwongo zako peleka Tandale
![]()
Tanzania: Sugar Price Rises By 1,700/-Per 1kg in Retail Market
THE price of sugar shot up by 1,700/- per 1kg in the capital city's retail market on Monday.allafrica.com
View attachment 2100459
Hatakama Utamchikia Magu vipiJicheke mwenyewe kwa kumiliki utajiri wa ujinga.Wewe unataka MGR itumie bullet train.Unaposema MGR ya JPM na ya SSH unamaanisha nini.Kipindi cha JPM kilichokuja ni vile vichwa 11 vya train vikaleta mushkeri tukatangaziwa havina mwenyewe mwisho tukaambiwa TRC imevinunua .Tatizo mnalazimisha kila mtu abaki kuimba Jimbo za kipuuuzi.
Hiyo hiyo iloletwa unaweza ukai electrify.Halafu wasilojua model hiyo hiyo zipo za kutumia umeme pia!
Nahisi Tulipewa Bure yaani Limetupwa huko tukaomba hahahaMchana nilikua location napiga vyombo na tayari nilikua High, nilivyoliona nilishtuka sana
.
We mkenya ni fala wa kupindukia.Noma sana
Utawaweza hawa nyumbu wa mjambiani kaka!?vingekuwa vizur sifa angepewa mama, kwa kuwa vinaonekana vibaya lawama zote kwa marehemu
hiv vya SGR sifa atapewa nani? bila shaka itakuwa ni “mama anaupiga mwingi”
kuna jamaa opportunity cost hajatoa maelezo yoyote kuhusu hivyo vichwa.. kanywea balaa ..![]()