Filaria
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 756
- 2,097
Unachuki binafsi man..Tz tunaweza kila kitu sema huyu mama mpuuzi ndiyo tatizo
Unachuki binafsi man..Tz tunaweza kila kitu sema huyu mama mpuuzi ndiyo tatizo
Hivi ulimsikia mkurugenzi wa TRC wiki iliyopita.treni ya majariibio inawasili April au mwanzo wa May.Ujinga ni kupopoma bila kua na taarifa.Tatizo ni kujua kutumia smartphone tu.Kuweni na wivu wa kufuatilia vitu.Wenye akili husubiria Kwanza kabla kusema chochote.Wacha kuwa kichwa nyanya, kwani zile 3 heads of mgr train , unafikiri aliagiza nyanya yako?..apo usitete ujinga ameboronga huo uchafu wakulekea kenya sio Tz
Haya matapishi jipake upendeze fala wewe..We mpumbaavu umetoka wapi ,kikwete alifanikiwa kuleta kipingupindu tu na panya road na mateja
Watu wapuuzi sana vichwa kwa ajili ya ku-scan rail tayari kelele halafu vipo modern!
![]()
![]()
![]()
Kwa usasa gani apoo , we mzee wacha kutuchonga, bibi kafail....hivyo vichwa viliagizwa chini ya Magufuli msitake kusingizia ati mama! Hivyo sogeza na vile vingine vyote vinatoka Malaysia! Na actually subirini seal itolewe vichwa ni vya kisasa!
Unachoongea ndio upumbavu wenyewe.akina Lwiva ninaowajua Wana akili wewe itakua Lwiva fake.We mpumbaavu umetoka wapi ,kikwete alifanikiwa kuleta kipingupindu tu na panya road na mateja
Vipi kuhusu ufanisi wa mafuta na uwezo wa kubeba mizigo tofauti na tulizo nazo ? Za zamani zilikuwa na 8wezo wa kuvuta mabehewa mangapiKakahilo dude lipo aisee kweli.
Yapo matatu mzee kanambia muda si mrefu maana anafanya kazi huko.
Ni za kubeba mizigo zina uwezo wa kuvuta mabehewa 35 mpk 40 ya mizigo.
unajua kazi ya hivyo vichwa?Kwa usasa gani apoo , we mzee wacha kutuchonga, bibi kafail....
Watu wapuuzi sana vichwa kwa ajili ya ku-scan rail tayari kelele halafu vipo modern!
Brand new Multi Function Vehicle (MFV) for engineering track maintenance and repair. The locomotives are from SMRT Malaysia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
More of MVF from SMRT Malaysia
![]()
CC: Arnold mrass cannambo and komora096
Wewe jamaa ni punguani kabisa huoni unamtukana hadi mamaako mzazi.Aliyekulea ww mshikaji alipata taabu sana inabidi tumtafute tujue shida ilikua kwake au wewe umejifunza tabia za ovyo mwenyewe.Mtu kichwa chako chote kimejaa matusi.Ni shida Sana aiseeKweli nimeamini kuwa mwanamke siyo AKILI Bali ule msemo mwanamke ni CHOO ni kweli kabisakwa sababu wanafikiri kwa kutumia makalio
Kama lina ufanisi mkubwa siyo mbaya maana kitu cha kwanza ni ufanisi ,mfano kama linatumia mafuta vizuri na kubeba mzigo mkubwa ,,,kama ni imara kuliko mengine ,kama bei yake ni zuri kuliko mengine .......kama litakuwa na sifa bora basi tunalipokea kwa mikono miwiliNi ya metre gauge bro siyo sgr.
Na inasemekana hiyo kulingana na uwezo wake wa kuvuta mabehewa mengi ya mizigo ndio itatumika kusafirishia Uganda.
True kama performance na efficiency hipo juu basi tumepokea huo mzigo kwa mikono miwili maana tutakuwa tumeipiga sgr ya kenya kwa mgr yetuSawa ka mkubwa ngoja tuweke imani yetu kwny performance na efficiency!!!.Pia imani kwa tuliowapa dhamana!!!
Kawaida yakeNgoja Geza Ulole aje,utamsikia anavyomtetea huyu mama,dah,huku ndo Kula Kwa urefu wa kamba aliosema
Leo mnajitia waungwana, mbona SGR dume letu linabeba double stack na bado mnaliponda..au vile leo yamewafika nyinyiKama lina ufanisi mkubwa siyo mbaya maana kitu cha kwanza ni ufanisi ,mfano kama linatumia mafuta vizuri na kubeba mzigo mkubwa ,,,kama ni imara kuliko mengine ,kama bei yake ni zuri kuliko mengine .......kama litakuwa na sifa bora basi tunalipokea kwa mikono miwili
Ngoja Geza Ulole aje,utamsikia anavyomtetea huyu mama,dah,huku ndo Kula Kwa urefu wa kamba aliosema
Watu wapuuzi sana vichwa kwa ajili ya ku-scan railtrack tayari kelele halafu vipo modern!
Brand new Multi Function Vehicle (MFV) for engineering track maintenance and repair. The locomotives are from SMRT Malaysia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
More of MVF from SMRT Malaysia
![]()
CC: Arnold mrass cannambo and komora096
Ila nasikia za chini chini 2025 atampa kijiti MwiguluIngekua angalau
Tanzania tupo nao bega kwa bega, LegacyMmh Uganda wamekula shavu