Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Songo songo Tz 👇
CkBUuvjXIAA2Olq.jpg
 
Mama Samia ndio Rais wa JMT kwa sasa!!!!Tumuache afanye kazi!!!Tutampima kwa kutekeleza Ilani ya chama chake maana ndio waliyojinadi nayo kama CCM wakati wa kushika hatamu. The Manifesto!!!
 
this screenshot is at the very best angle tht capture almost the entire mwanza cbd👇🏽
Screenshot_20220130-033239_Chrome.jpg


whereas this👇🏽 is kisumu,....
Screenshot_20220124-025504_Chrome.jpg


in terms of cbd size, i swear i haven't seen much difference here, ata kama iko, ni kidogo

to mean that photos can get compressed to give a deceiving impression tht the town/city is smaller than wht it realy is on the ground. i ve been to most towns in kenya but wht i knw is tht kisumu cbd is not tht small as some tanzanians here like Ichoboy claim
 
Kenya is moving forward. There is a certain backward country waiting to import electric vehicles from China instead of utilizing and strengthening their local capabilities.

View attachment 2100165
View attachment 2100167
View attachment 2100169
View attachment 2100170

Mbona haya mabasi yenyewe ya BYD mmeimport kutoka China. Kuna nini chenu hapo zaidi za kuandika hayo maandishi ya Hiyo Start up

BYD is the Chinese company and is the world largest Electric Vehicle Manufacturer. Angalia duniani kote wanaotumia electric Buses nyingi wameuziwa na BYD

IMG_4277.jpg

IMG_4278.jpg



Nyie Bus lenu hili hapa chini na mnatakiwa mfanye mambo kwenye upande wa Design
Hili ndio labda mjipongeze mmefabricate wenyewe.


IMG_4280.jpg
 
I think with this move of hatred against Tz's development you soon will develop ulcers and your jf ID will change to ULCERGAS!

Anataka kusema hayo mabus wametengeneza wenyewe au? Hii ni sawa na zile hela alizodownlod.
Anataka kusema BYD ni yao, Au kuna ki kampuni kinanunua hayo mabus kuyatumia Kenya. Na ana Audacity kukandia nchi nyingine eti import wakati wao nao wanabeba kila kitu China. Backward country inajengewa kila kitu na Nchi nyingine . Kweli ule usemi umetimia. NYANI HAONI KUNDULE.
 
sukari kilo 2200.
Sembe kilo 800 mpk 1000.
Mafuta lita 2500 mpk 3000.
Mchele 1500 mpk 2000 supa.
Aya leta ww bei ya commodities huko.
I decided to google prices of these commodities and started with that of sugar. Then booom! I am met with shock, then decided not to waste my time on the other ones coz chances are, you lied as well. Hii karne ya internet unawezadanganya mtu kweli?

Prices of sugar in your country have shot to Tsh 3,000 so uwongo zako peleka Tandale

Screenshot_20220130-063417~3.png
 
Wewe utakuwa ni mwehu kabisaa, siwezi hata kujisumbua ku list hapa jukwaani na statistics kila siku zinatolewa humu jukwaani..

Tayari keshasaizi mradi mpya wa reli.Unasema miradi imezoroteshwa ipi hiyo?

Nakuuliza swali dogo tuu,mwaka huu kuna mtoto wa maskini hata mmja kashindwa kwenda shule Kisa madarasa hayapo au hakuna dawati?

Kilicho tofauti saizi ni mapambio na propaganda..Mwezi February katikati PM anakuja mkoani kwetu kuzindua barabara mpya za lami tumezijenga mwaka huu kwa pesa za tozo sijui wewe unaongea nini..

Punguza kungalia porno zinapunguza uwezo wako wa ku reason

View attachment 2100265

View attachment 2100266

View attachment 2100268

View attachment 2100269

View attachment 2100270

View attachment 2100271

View attachment 2100272
Ukweli ni kwamba wazanzibari hawajawai kuwa na akili hata siku moja ndiyo maana hakuna mzenji hata mmoja kwenye uongozi amewai kuwa na hotuba za kijasiri na kizalendo zenye logic ambazo zinaweza kutumika redioni hata siku moja ,cheki hata mama sa100 hakuna hotuba hata moja yenye akili ,kama ipo niwekee hapa ,tofauti na Nyerere na Magufuli hotuba zao zinawatisha wahuni wote serikalini na ccm hadi sasa japo wenyewe wamekwisha kufa,
Ndiyo maana wahuni wamezuia hotuba za magufuli maredioni ,wahandishi wa habari wamefumbwa midomo na wamiliki wa vyombo vya habari kwa maagizo kutoka kwa mama samia na muhuni kikweti wakishirikiana na matajiri mafisadi na majangiri ,pamoja na wauza ngada ,kumdhibiti MAGUFULI ALIYE KWISHA KUFA
 
Ukweli ni kwamba wazanzibari hawajawai kuwa na akili hata siku moja ndiyo maana hakuna mzenji hata mmoja kwenye uongozi amewai kuwa na hotuba za kijasiri na kizalendo zenye logic ambazo zinaweza kutumika redioni hata siku moja ,cheki hata mama sa100 hakuna hotuba hata moja yenye akili ,kama ipo niwekee hapa ,tofauti na Nyerere na Magufuli hotuba zao zinawatisha wahuni wote serikalini na ccm hadi sasa japo wenyewe wamekwisha kufa,
Ndiyo maana wahuni wamezuia hotuba za magufuli maredioni ,wahandishi wa habari wamefumbwa midomo na wamiliki wa vyombo vya habari kwa maagizo kutoka kwa mama samia na na muhuni kikweti wakishirikiana na matajiri mafisadi na majangiri ,pamoja na wauza ngada ,kumdhibiti MAGUFULI ALIYE KWISHA KUFA
Akili unazo wewe unaeshinda nyuma ya mikia ya Ng'ombe unavuta harufu tuu 😁😁.

Screenshot_20220129-225521.png


Screenshot_20220129-231048.png


Screenshot_20220129-204007.png


Screenshot_20220129-203802.png


Screenshot_20220128-192712.png


Screenshot_20220128-082942.png


Screenshot_20220128-082747.png


Screenshot_20220127-203515.png
 
Mbona haya mabasi yenyewe ya BYD mmeimport kutoka China. Kuna nini chenu hapo zaidi za kuandika hayo maandishi ya Hiyo Start up

BYD is the Chinese company and is the world largest Electric Vehicle Manufacturer. Angalia duniani kote wanaotumia electric Buses nyingi wameuziwa na BYD

View attachment 2100419
View attachment 2100420


Nyie Bus lenu hili hapa chini na mnatakiwa mfanye mambo kwenye upande wa Design
Hili ndio labda mjipongeze mmefabricate wenyewe.


View attachment 2100424
So kama ni Chinese company hatuwezi assemble? Mbona huwa unareason kama mtoto? We assemble Scania buses and lories yet Scania is a Swedish company. If Tanzania have no capacity to assemble vehicles usitulamu tafadhali.
 
Back
Top Bottom