Leta bei ya unga na mahitaji mengine.Hahaha!!kwhyo unaleta bei ya sukari za kupimiana mitaani sio[emoji1787][emoji1787]
Hata hyo bei uliyoitaja bado iko juu kw kenya mzee
Acha kuwa too defensive
Leta bei ya unga na mahitaji mengine.Hahaha!!kwhyo unaleta bei ya sukari za kupimiana mitaani sio[emoji1787][emoji1787]
Hata hyo bei uliyoitaja bado iko juu kw kenya mzee
Tanzania Hoye
We mzee acha utani huku unapost FID ya crude oil, unajifanya hujui kazi ya nani ...alafu unatafuta kumponda JPM [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]au umelipwa nini?
infant markings ni Rangi tu!. i can go to road works hardware and purchase it very cheaply. kwa mfano; ukijenga nyumba, its the foundation, walling, roofing, plastering, finishings, plumbing, electrical.. tht matter most!.😂😂 Markings is a no issue for now
wewe mbwa mimi si size yako!We mzee acha utani huku unapost FID ya crude oil, unajifanya hujui kazi ya nani ...alafu unatafuta kumponda JPM [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]au umelipwa nini?
Aliye cheki hivyo vichwa ni vyanini siyo geza ni babayao255 mimi nilitaka kucheki ila sikuona no zake kumbe zipo pembeni ,ila nilivuta pumzi alipo sema vime agizwa kipindi cha jpm nikajua ni vitu safiGeza kasema[emoji1787][emoji1787]
Geza Ulole hawa jamaa huaga wanakuchukia lkn bado wanatembelea nyota yako..
Hata km lkn, ndio lifanane na bomu la heroshima[emoji1787][emoji1787]
Wameumbuka baada ya kusema vya marehemu kisha vikagundulika ni vichwa vya ufundi sasa wanatamani wangesema ni kazi ya mama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata daraja la tanzanite limejaa picha za kikwete na samia na team msogavingekuwa vizur sifa angepewa mama, kwa kuwa vinaonekana vibaya lawama zote kwa marehemu [emoji23][emoji23][emoji23]
hiv vya SGR sifa atapewa nani? bila shaka itakuwa ni “mama anaupiga mwingi”
kuna jamaa opportunity cost hajatoa maelezo yoyote kuhusu hivyo vichwa.. kanywea balaa .. [emoji23][emoji23]
kumenogaleo nimepitapita huku kucheck hii barabara ilivyo, sikuwah kupita huku.. kupo vizur
View attachment 2103910
View attachment 2103911
View attachment 2103912
View attachment 2103913
View attachment 2103914
View attachment 2103915
View attachment 2103916
View attachment 2103919
BRT phase 2 ilitakiwa kuwa tayari mwaka jana hakuna kiongozi anaye sukuma huu mradi ,sasa hivi huu mwaka tulitakiwa tuwe tuna anza phase 3 na 4 kwampigo ,wakenya watafungua brt yao sisi bado tunatafuta uchifu mafii
Siyo mbaya ila bei tuliyo uziwa ni sh ngapi maana kuna upigaji kwenye manunuzi sanaMh hii speed yake haizidi 40km/hr.
Na mabehewa yanavyoongezeka pia kasi inaopungua.
Ila ni multipurpose hii train.
Haitumii mafuta mengi pia unaweza ukai connect ikawa electrified.
Inatumika ht ktk ukaguzi wa reli tofauti na kuvuta mabehewa ya mizigo pia ht abiria inafaa kusafirishia.
Za zamani zilikua zinavuta mabehewa mpaka 25.
Ila zilikua zna mwendo wa mpk 75 to 80km/hr.
Ila nasikia za chini chini 2025 atampa kijiti Mwigulu
Wanajisumbua na upumbavu wao damu ya magufuli inawaita ndiyo maana daraja la tanzanite wamejaza picha za kikwete na samia kila kona na mwinyi ,hayo yote ni kutapatapa kwa damu waliyo mwaga dhidi ya maslai ya taifaHatakama Utamchikia Magu vipi
Yule hana Wakulinganishwa nae mpaka sasa Atazushiwa Mabaya yakila Aina
ila watanzania wana Akili
WACHA KUTUONYESHA CBD.....WEE TUKIKUONYESHA ZA KWETU NAIROBI UTATOROKEA WAPI? TUONYESHE MITAANI....
Magufuli angetufanya tununue baiskeli walai ,maana barabara zikiwa hivyo hamu ya kutalii na baiskeli inakujaleo nimepitapita huku kucheck hii barabara ilivyo, sikuwah kupita huku.. kupo vizur
View attachment 2103910
View attachment 2103911
View attachment 2103912
View attachment 2103913
View attachment 2103914
View attachment 2103915
View attachment 2103916
View attachment 2103919
Maslumist macho kodoooo[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Tony254 komora096 MK254View attachment 2103923
Modern bridge across RuiRuaka River in nairobi Kunya[emoji3166]