Sidhani kama watu wanapinga wazazi kurudi shule, nilichoelewa mm wengi wanashauri iwekwe system itakayofavor both sides yaan wazazi na fresh studentsKaka i beg to differ mzee...elimu inasaidia sana kwenye development..unataka tuongeze Poverty rate kisa tu hujawaruhusu kurudi shule.....ninachotaka wawe na special school zao wasiwe mixed na wengne ambao sio wazazi .
Designed by a Kenyan company🤣🤣ultra modern parliament building and biggest parliament in east and central africa
View attachment 2103229
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
At least one of you has a brain. To foreigners who want to see animals it's heaven but to the local burukenges it's a hellhole
Eeeeeee sasa huu ndio mchezo sasaa... tutaelewana tuu neighbour [emoji3][emoji3][emoji846]
Meaning this Parliament building is in Europe?ultra modern parliament building and biggest parliament in east and central africa
View attachment 2103229
na progress ya ile musjid imefika wapi sikuhizi..ultra modern parliament building and biggest parliament in east and central africa
View attachment 2103229
You have been giving overs all along Mombasa has been widening the gap😂😂😂😂😂Eeeeeee sasa huu ndio mchezo sasaa... tutaelewana tuu neighbour [emoji3][emoji3][emoji846]
Huyu mama katoa boko kuliko la haram [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Najua itauma lakini huu ndio ukweli,
Hii treni ni kizamani Sana, hata kama ni MGR, naomba tulinganishe MGR ya Magufuli na huyu mama.
Magufuli
View attachment 2103212
Samia
View attachment 2103213
Tuliwacheka wakenya sasa ni zamu Yao kutucheka. Hata sasa sina Imani na aina za treni SGR kama tulizoambiwa na Magufuli ndo zitakuja. Nilisema tokea Mwanzo,huyu mama sio kabisa,Ila kuna wajinga wengi humu hawanielewi. Time will tell![emoji35]
Nimecheka sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji117][emoji2781][emoji706]Najua itauma lakini huu ndio ukweli,
Hii treni ni kizamani Sana, hata kama ni MGR, naomba tulinganishe MGR ya Magufuli na huyu mama.
Magufuli
View attachment 2103212
Samia
View attachment 2103213
Tuliwacheka wakenya sasa ni zamu Yao kutucheka. Hata sasa sina Imani na aina za treni SGR kama tulizoambiwa na Magufuli ndo zitakuja. Nilisema tokea Mwanzo,huyu mama sio kabisa,Ila kuna wajinga wengi humu hawanielewi. Time will tell![emoji35]
Tazama hii alafu ufute picha yako haraka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukimaliza kulilia expressway tunakuletea hii. Huu mwaka lazima upate ugonjwa wa presha[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2103222
Wewe ondoa ujinga wako bhana.Umekua mtu wa ajabu.Hujui Hilo daraja aliyeleta na kubuniwa wakati wa Rais kikwete,kila kitu kilikua kimekaa sawa March 2015,Nikikumbushe tu utaratibu wa serikali linapotajwa neno "Rais"Hutajwa kiti kitukufu kinachokaliwa na mtu aliyeshika madaraka ya Rais.Kwa uninga wako unadhani dua zako zitaondoa sifa za kiti kitukufu cha Rais.My brother hata ungepopoma usiku kucha haibadilishi kitu heshimu kiti cha Rais Kwanza bila kujali aliyekalia unampenda au laWamepokea maagizo ya kutokutaja jina la Nyerere wala Magufuli ,wasaliti wa hii nchi ni team msoga kwao uzalendo ni maviii
Bomu la Hiroshima [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2103262
Mipango mingi kabla ya Magufuli ilikuwa inaishia kwenye makaratasi tu, na hata pale ilipotimizwa ilikuwa low quality, Kikwete alifaulu sehemu moja tu nayo ni BRT sehemu nyingi alifeli vby au hata alipofaulu ilikuwa ni below average but nampa respect japo alizingua sn na hatoshi kwenye daraja la Nyerere na Magufuli ni dhambi kumuweka hapo hata yeye mwenyewe anajua.Wewe ondoa ujinga wako bhana.Umekua mtu wa ajabu.Hujui Hilo daraja aliyeleta na kubuniwa wakati wa Rais kikwete,kila kitu kilikua kimekaa sawa March 2015,Nikikumbushe tu utaratibu wa serikali linapotajwa neno "Rais"Hutajwa kiti kitukufu kinachokaliwa na mtu aliyeshika madaraka ya Rais.Kwa uninga wako unadhani dua zako zitaondoa sifa za kiti kitukufu cha Rais.My brother hata ungepopoma usiku kucha haibadilishi kitu heshimu kiti cha Rais Kwanza bila kujali aliyekalia unampenda au la
Hii ni own goal wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchana nilikua location napiga vyombo na tayari nilikua High, nilivyoliona nilishtuka sana[emoji1787].
Hayo madude ya juu mm naona kama nimakava au mm sielewi🤔Najua itauma lakini huu ndio ukweli,
Hii treni ni kizamani Sana, hata kama ni MGR, naomba tulinganishe MGR ya Magufuli na huyu mama.
Magufuli
View attachment 2103212
Samia
View attachment 2103213
Tuliwacheka wakenya sasa ni zamu Yao kutucheka. Hata sasa sina Imani na aina za treni SGR kama tulizoambiwa na Magufuli ndo zitakuja. Nilisema tokea Mwanzo,huyu mama sio kabisa,Ila kuna wajinga wengi humu hawanielewi. Time will tell!😡
Tulia wewe sukuma gang tuweke mambo sawa,mlijua kula na kuharibu ila kutengeneza hamjui kitu .NAJUA MZANZIBARI KAKAMILISHA MENGI.
1)Police brutality.
2)Watu kula kwa urefu wa kamba zao.
3)Umeme kukatika hovyoo.
4)Baadhi ya miradi kusimama.
5)Utoaji huduma mashirika ya serikali kuzorota.
6)Wajasiriamali wadogo wadogo kukimbizwa kila siku.
HONGERA YAKE SAMIA SULUHU.
NAJUA MZANZIBARI KAKAMILISHA MENGI.
1)Police brutality.
2)Watu kula kwa urefu wa kamba zao.
3)Umeme kukatika hovyoo.
4)Baadhi ya miradi kusimama.
5)Utoaji huduma mashirika ya serikali kuzorota.
6)Wajasiriamali wadogo wadogo kukimbizwa kila siku.
HONGERA YAKE SAMIA SULUHU.