Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua itauma lakini huu ndio ukweli,
Hii treni ni kizamani Sana, hata kama ni MGR, naomba tulinganishe MGR ya Magufuli na huyu mama.

Magufuli
View attachment 2103212


Samia
View attachment 2103213

Tuliwacheka wakenya sasa ni zamu Yao kutucheka. Hata sasa sina Imani na aina za treni SGR kama tulizoambiwa na Magufuli ndo zitakuja. Nilisema tokea Mwanzo,huyu mama sio kabisa,Ila kuna wajinga wengi humu hawanielewi. Time will tell!😡
Jicheke mwenyewe kwa kumiliki utajiri wa ujinga.Wewe unataka MGR itumie bullet train.Unaposema MGR ya JPM na ya SSH unamaanisha nini.Kipindi cha JPM kilichokuja ni vile vichwa 11 vya train vikaleta mushkeri tukatangaziwa havina mwenyewe mwisho tukaambiwa TRC imevinunua .Tatizo mnalazimisha kila mtu abaki kuimba Jimbo za kipuuuzi.
 
Anytime Expressway is posted ichoboy01 is attacked by Pyrexia of Unkown Origin😂😂

1643657961827.png
 
Po
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchana nilikua location napiga vyombo na tayari nilikua High, nilivyoliona nilishtuka sana[emoji1787].
Pole mkuu yaani stimu zikakata😆😆🤣🤣
 
Kigamboni bridge ilifeli? Tazara flyover ilifeli? Tanzanite bridge imefeli? uongozi ni vision na utekelezaji ni matunda ya vision.Labda hujui Ubinge interchange ni project iliyokamilishwa na Kikwete JPM alitekelezwa Kama ambavyo angekuepo Rais yeyote.Tazam highway Iyovi to Mafinga(Standard Road) ilifeli? Et al
Mipango mingi kabla ya Magufuli ilikuwa inaishia kwenye makaratasi tu, na hata pale ilipotimizwa ilikuwa low quality, Kikwete alifaulu sehemu moja tu nayo ni BRT sehemu nyingi alifeli vby au hata alipofaulu ilikuwa ni below average but nampa respect japo alizingua sn na hatoshi kwenye daraja la Nyerere na Magufuli ni dhambi kumuweka hapo hata yeye mwenyewe anajua.
 
😂😂😂😂😂😂 kweli we hamnazo
Tulia wewe sukuma gang tuweke mambo sawa,mlijua kula na kuharibu ila kutengeneza hamjui kitu .

Shirika lipi la serikali limezorota ilhali Dart tuu hapo tumepata,TRA faida,Watalii wanamiminika,miradi kila Kona pesa ipo ..

Propaganda za kijinga tulishazika Chato


View attachment 2103265

View attachment 2103268

View attachment 2103269

View attachment 2103271

View attachment 2103272

View attachment 2103273

View attachment 2103274

View attachment 2103275

View attachment 2103276

View attachment 2103277

View attachment 2103278
hamnazo.
Kweli we hamnazo😂😂😂😂😂😂😂
Hivi unajua TRC kuna watu wamepunguzwa kazi na wengine kushushwa vyeo na wengine kukatwa marupurupu?
Vipi tanesco unaionaje utendaji wake kazi?
Hv usalama wa raia ukoje siku hz?
Kubishana na ww ni kujipa kazi.
Ndugu sitaku quote tena.
Nimeelewa kwanini Tanzania haifiki mbali.
NA ONA USIVYO NA AIBU MIRADI MINGINE ULOPOST NI MAREHEM AKIWA HAI.
 
Halafu kaka kuna watu hawana akili
Mjambiani in Lwiva voice [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wanasema JPM hakufanya kitu.
Aliyefanya kazi suala la kujengwa SGR ni marehemu,aliyeleta mpango wa mabehewa kujengwa hapa hapa Tz ni marehemu,aliyefufua route ya Tanga,Kilimanjaro,Arusha ya reli ni marehemu,aliyerudisha na kufufua njia ya kupeleka mizigo kwa reli Uganda ni marehemu,aliyeleta mpango wa kuboreshwa MGR ni marehemu.
Miundo mbinu mikubwa km JNHPP marehemu halafu kuna mafala humu ndani wanamfananisha mpika urojo na mwanaumw wa kazi.
 
Back
Top Bottom