Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua itauma lakini huu ndio ukweli,
Hii treni ni kizamani Sana, hata kama ni MGR, naomba tulinganishe MGR ya Magufuli na huyu mama.

Magufuli
View attachment 2103212


Samia
View attachment 2103213

Tuliwacheka wakenya sasa ni zamu Yao kutucheka. Hata sasa sina Imani na aina za treni SGR kama tulizoambiwa na Magufuli ndo zitakuja. Nilisema tokea Mwanzo,huyu mama sio kabisa,Ila kuna wajinga wengi humu hawanielewi. Time will tell!😡
Samia on the wheels
 
Wataalamu wa Tekinolojia ya mawasiliano hilo dude juu ya LC ni la kufanyia nini?

IMG_4318.jpg
 
Mkiaangalia hizo vichwa vya treni kwa pembeni mkono wa kulia halafu mgoogle hayo maneno herufi 3 mtagundua ni za wapi, za nini na zimetoka nchi gani.

Ndo maana sijacoment popote.

Tafiti watu wangu, tafiti.

MFV?
 
Kigamboni bridge ilifeli? Tazara flyover ilifeli? Tanzanite bridge imefeli? uongozi ni vision na utekelezaji ni matunda ya vision.Labda hujui Ubinge interchange ni project iliyokamilishwa na Kikwete JPM alitekelezwa Kama ambavyo angekuepo Rais yeyote.Tazam highway Iyovi to Mafinga(Standard Road) ilifeli? Et al
We kipofu, wacha kujaribubkuongoza wanao ona kaa kwenye line yako
 
Wewe ondoa ujinga wako bhana.Umekua mtu wa ajabu.Hujui Hilo daraja aliyeleta na kubuniwa wakati wa Rais kikwete,kila kitu kilikua kimekaa sawa March 2015,Nikikumbushe tu utaratibu wa serikali linapotajwa neno "Rais"Hutajwa kiti kitukufu kinachokaliwa na mtu aliyeshika madaraka ya Rais.Kwa uninga wako unadhani dua zako zitaondoa sifa za kiti kitukufu cha Rais.My brother hata ungepopoma usiku kucha haibadilishi kitu heshimu kiti cha Rais Kwanza bila kujali aliyekalia unampenda au la
Kikweti ni basha we mzoeee tu .....daraja la kikwete watu wanavuka kwa kulipia pesa na ukienda na kamera kuchukua picha kunauthibiti ili kuficha ufisadi unao fanyika kwenye makusanyo ya pesa
 
Kigamboni bridge ilifeli? Tazara flyover ilifeli? Tanzanite bridge imefeli? uongozi ni vision na utekelezaji ni matunda ya vision.Labda hujui Ubinge interchange ni project iliyokamilishwa na Kikwete JPM alitekelezwa Kama ambavyo angekuepo Rais yeyote.Tazam highway Iyovi to Mafinga(Standard Road) ilifeli? Et al
We mpumbaavu umetoka wapi ,kikwete alifanikiwa kuleta kipindupindu tu na panya road na mateja
 
Wachw kubwata utahira hapa, uchumi gani unao uzungumzia hapa ww kizuu, maisha yamezidi ugumu watu wanalia uko apa kuimba pambio za kipuuzii,wakati unabwatuka u ajua mfumuko wa bei ukoje Tz sahii?wacha ujinga apaa
Unaharisha au unatapika? Wewe Takwimu kama hizi uliwahi kuziona wakati mnaimba pambio za kumsifu dume lenu?
 
Back
Top Bottom