Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Kama ukweli kwako ni chuki[emoji117][emoji706]Na wewe Baki na chuki zako
Kama ukweli kwako ni chuki[emoji117][emoji706]Na wewe Baki na chuki zako
Kaka unabishana na huyo jamaa!?Kama ukweli kwako ni chuki[emoji117][emoji706]
Namchora tu, anaonekana hata hamu hana, unajua jamaa anajitesa bure kujifanya kumkubali rais wa sasa kisa tu ana chuki na mtangulizi wake, anajipa tabu bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vingekuwa vizur sifa angepewa mama, kwa kuwa vinaonekana vibaya lawama zote kwa marehemu [emoji23][emoji23][emoji23]
hiv vya SGR sifa atapewa nani? bila shaka itakuwa ni “mama anaupiga mwingi”
kuna jamaa opportunity cost hajatoa maelezo yoyote kuhusu hivyo vichwa.. kanywea balaa .. [emoji23][emoji23]
Hahaha!!kwhyo unaleta bei ya sukari za kupimiana mitaani sio[emoji1787][emoji1787]We mkenya ni fala wa kupindukia.
DAILY NANUNUA SUKARI ROBO 650 NUSU 1300 KILO 2600.
UKIISHI MAENEO KARIBIA NAI VIWANDA VYA SUKARI KILO MPK 1800 YA SUKARI MATHALAN KILOMBERO.
Duuuhhhh, ona bichwa la hiyo treni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili safi sanaaaLoading...
Tanzanite.Tupoo. Hivii. What is the exactly name of that bridge
Job done...
Naona kazi ya mama...[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂 Markings is a no issue for nowHizi picha zimepigwa katika angle moja lkn moja road markings zinaonekana nyingine kama kawaida yake, Kenya is the father of unmarked roads in the World [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2102832View attachment 2102833
Vitu vizur haviji kwa haraka....hapa ndipo naposema asante kwa intrace aliyo ifanya JPM mpka tukampora mkunya huu mradiDah. Yani hii ishu ya haya mafuta ni miaka 20 sasa. Tangu nipo shule Uganda. Safari imekuwa ndefu kweli kweli.
Wanaangalia quality ya structure na wanabaki Wanafikiria lini watakuwa na super bridge kama hii!Tanzanite bridge View attachment 2103924View attachment 2103925View attachment 2103926View attachment 2103927kenyans wapo kimya kimya kama hawaoni vile 😂😂😂..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaka unabishana na huyo jamaa!?
Kheri ukaangalie cartoon ya boss baby ama hotel Transylvania.
Kama ukweli kwako ni chuki![]()
![]()