Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The fact is the trade volumes between the two territories is favor Tanzania

You import almost 75% from Kenya within the EAC while Kenya imports less than 25% from Tanzania. Umekubali tukona economy kubwa ju Tanzania pekee haitoshi hata 50% of our imports.😂😂😂 Advantage ya kua the 6th biggest economy in Africa, majirani wanafaidika pia.
 
You import almost 75% from Kenya within the EAC while Kenya imports less than 25% from Tanzania. Umekubali tukona economy kubwa ju Tanzania pekee haitoshi hata 50% of our imports.[emoji23][emoji23][emoji23] Advantage ya kua the 6th biggest economy in Africa, majirani wanafaidika pia.
You buy from Tanzania than any other east African country, while we buy less from you, we are the giant in this region, is it clear?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
You import almost 75% from Kenya within the EAC while Kenya imports less than 25% from Tanzania. Umekubali tukona economy kubwa ju Tanzania pekee haitoshi hata 50% of our imports.[emoji23][emoji23][emoji23] Advantage ya kua the 6th biggest economy in Africa, majirani wanafaidika pia.
Kenya imports almost 90% from Tanzania, that's why we are the biggest source of your imports from EAC[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
You import almost 75% from Kenya within the EAC while Kenya imports less than 25% from Tanzania. Umekubali tukona economy kubwa ju Tanzania pekee haitoshi hata 50% of our imports.[emoji23][emoji23][emoji23] Advantage ya kua the 6th biggest economy in Africa, majirani wanafaidika pia.
Mambo mengine yanachekesha sn, hebu tuambie tuna import nn toka kwenu mpk mtuzidi au ndio zile blue band na maziwa tulivyopiga ban [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
City gani dwarf namna hii...hii ni small town tu
but naxvegas is not so dwarf. atleast 5 buildings that are atleast 9storeys and more.. ata kando na hayo.. hebu checki tu jinsi jiji lenyewe ilivyo ratibiwa! a very green and well organised city, well structured, very clean and neat, with very attractive modern buildings. ata utadhani sio EA. tanganyika mzima hakuna jiji kama nakuru. kama iko nna left jf
 
City gani dwarf namna hii...hii ni small town tu
nakuru size yake mwanza aisee..
Screenshot_20220103-042104_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220101-052232_YouTube.jpg
Screenshot_20220101-053820_YouTube.jpg
Screenshot_20220101-053745_YouTube.jpg
 
jesus christ of nasareth, how will i explain this to you. this numbers, were only due to covid19 mayhem.. wait for this year,.. for heaven sake kenya is still a force to reckon with, in the entire eastern and central africa region.. mark my words
Hahahaha, but rain started beating Kenya from 2016 before Covid - 19[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , main factor is Magufuli.
 
Shida yako bwana Walker255 wewe ni mjivuni sana na inaonesha wewe ni arrogant pia una dharau sn, huwezi kuita Watz wote hawana awareness kwamba wewe peke yako ndiyo uko vizuri kiakili, huo ni ujinga na ni utoto, usiwe hivyo na maneno ya kashfa kwa raia wenzako.

Unatakiwa kupevuka kiakili na uwe mvumilivu, unapoelimishwa kama utaona ni kweli basi jitetee pasipo ku generalize cz humu kuna watu wamekuzidi kila kitu lkn wamekaa kimya wanakuangalia unavyowatusi kisa umekosana kauli na mtu mmoja, grow up man(kama wewe ni kidume) ila kama wewe ni binti usiwe kama wale slay queen wanao act maisha.
I always expect such a response from you because you always take things personally. Nimesema asilimia ya kutisha ya watanzania hawana awareness ya mambo ya dunia. Sijasema watanzania wote hawana hiyo awareness. Na ni ukweli kuwa watanzania wengi mambo ya dunia hawayajui. Kawaida ni hadithi za kwenye kahawa na superficial information zinazotolewa na viongozi wa serikali/ dini Ndio mambo wanayofahamu na kuyashikilia. Pia elimu inayotolewa kwenye hii nchi bado ina changamoto nyingi. Mwenzako anafikiri kuwa na maghorofa mengi Ndio umasikini hakuna. Hivi huoni kasoro hapo?

Unaona kuwa mimi ni arrogant? I’m simply stating what I’ve observed. Unavyojibizana na watu humu Kwa kiburi, arrogance yako huwa huioni? I bet Wewe ni mmoja wa hao watanzania wasio na awareness ya mambo ya dunia Ndio Maana post yangu imekugusa.
 
Hawa ndugu zako sijui huwa mnaelewana aje nao hapo Dar. Yani mtu akiona shiny buildings baas....hapo anaona utajiri. Hivi mnafundishwa about human development index? Quality of life? Access to basic and luxury facilities? Yani wait wanaangalia miji kutoka juu wanaona nchi imeendelea. The cities with the highest quality of life in the world ziko Europe. Most of these cities in Europe look old because they've banned construction of tall skyscrapers to maintain their ancient architecture. Naongelea cities kama Vienna, Zurich, Munich, Geneva, Copenhagen n.k ambazo ziko na highest standards of living wakati ukiziangalia kutoka juu zinakaa miji ya miaka ya 1500AD kurudi nyuma yet they have higher quality of lives than shiny modern looking cities such as Shanghai, Shenzen or even Dubai. Ndio maana Walker255 alikuwa anajaribu kuelezea mwengine hapa kwamba hawezi linganisha Mwanza na Mombasa old town akatoboa.

Hapa nakupa picha ya Vienna - utapata mwendazimu anakwambia eti sijui Chengdu ama Suzhou imeendelea kushinda Vienna.

View attachment 2065816

View attachment 2065817

View attachment 2065818
Yes. Indeed hawa watu wanaodhani kuwa maghorofa marefu Ndio inamaanisha kuwa umasikini hakuna wanapaswa kuelimishwa. Na pia watambue kuwa karibu Nchi zote za Far East zina population kubwa sana na rapid urbanization. Hivyo residential buildings nyingi kwenye miji ni maghorofa. Hence, sababu ya aina hiyo ya majengo ipo. European cities, on the other hand, are dotted with centuries old buildings. Na pia hawapendi kujenga maghorofa marefu ili ku-preserve architecture yao ya kale kama ulivyosema. Japokuwa majengo yao ni ya zamani, nchi za Europe zina HDI kubwa. Hivyo correlation wanayojaribu kuisema haina mantiki yoyote.
 
Bado wansoma namba.

Wacha kulala Sana, amka dunia inabadilika kwa Kasi sana, utabaki nyuma
Tanzania can't be compared with Kenya. We are the giant in this region [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I always expect such a response from you because you always take things personally. Nimesema asilimia ya kutisha ya watanzania hawana awareness ya mambo ya dunia. Sijasema watanzania wote hawana hiyo awareness. Na ni ukweli kuwa watanzania wengi mambo ya dunia hawayajui. Kawaida ni hadithi za kwenye kahawa na superficial information zinazotolewa na viongozi wa serikali/ dini Ndio mambo wanayofahamu na kuyashikilia. Pia elimu inayotolewa kwenye hii nchi bado ina changamoto nyingi. Mwenzako anafikiri kuwa na maghorofa mengi Ndio umasikini hakuna. Hivi huoni kasoro hapo?

Unaona kuwa mimi ni arrogant? I’m simply stating what I’ve observed. Unavyojibizana na watu humu Kwa kiburi, arrogance yako huwa huioni? I bet Wewe ni mmoja wa hao watanzania wasio na awareness ya mambo ya dunia Ndio Maana post yangu imekugusa.
Sawa.
 
Yes. Indeed hawa watu wanaodhani kuwa maghorofa marefu Ndio inamaanisha kuwa umasikini hakuna wanapaswa kuelimishwa. Na pia watambue kuwa karibu Nchi zote za Far East zina population kubwa sana na rapid urbanization. Hivyo residential buildings nyingi kwenye miji ni maghorofa. Hence, sababu ya aina hiyo ya majengo ipo. European cities, on the other hand, are dotted with centuries old buildings. Na pia hawapendi kujenga maghorofa marefu ili ku-preserve architecture yao ya kale kama ulivyosema. Japokuwa majengo yao ni ya zamani, nchi za Europe zina HDI kubwa. Hivyo correlation wanayojaribu kuisema haina mantiki yoyote.
Huyo uliyemquote kila siku yuko hapa kushangilia ujenzi wa maghorofa, na idadi kubwa ya Wakenya wa humu wanapenda maghorofa na wana perception hyo kwamba maghorofa ndio maendeleo, ss cjui tunaongelea nn hapa.
 
You import almost 75% from Kenya within the EAC while Kenya imports less than 25% from Tanzania. Umekubali tukona economy kubwa ju Tanzania pekee haitoshi hata 50% of our imports.😂😂😂 Advantage ya kua the 6th biggest economy in Africa, majirani wanafaidika pia.
Means you are the biggest importer in EA while Tanzania is the biggest exporter, the more you import the more you loose employment and income

Tanzania leads the export trade to
DRC
Rwanda
Burundi
Uganda
Kenya

While Kenya leads in importation business only.

Tanzania = superpower of EA
 
Ila we jamaa unachekesha sana hii bado sio msaada, haikusaidii kitu wewe, hii unamaanisha sisi ndio baba wa EA, ona 76% ya bidhaa tunazoingiza kutoka nchi za EA zinatokea Kenya ambapo they costs about $249m, and those 24% ya bidhaa zetu tunatoa kupeleka EA ambapo zinakuja kwenu costs about $230m ..hii inamaanisha sisi ndio tunawazidi nyinyi kwa umiliki wa uchumi hapa EA .. sasa kama asilimia 76% ya bidhaa zenu mnazouza EA ambapo mteja wenu mkubwa ni sisi mnapata $249m 😂😂😂 halaf sisi 24% ya bidhaa tunazoziuzia EA ambapo mteja wetu ni nyinyi KE tunaingiza mpunga wa $230m, akili zako zinakukwambia ni nani ndio EA economic giant .? Aah kumbe nyie tunawazidi mbali kinoma, sasa SGR ikianza kazi tutaanza kuwapa misaada 😂😂😂
Hivi wewe uliwai soma somo la hisabati Shule ya upili? Maanake interpretation yako ni ucheshi tupu.🤣🤣
 
Means you are the biggest importer in EA while Tanzania is the biggest exporter, the more you import the more you loose employment and income

Tanzania leads the export trade to
DRC
Rwanda
Burundi
Uganda
Kenya

While Kenya leads in importation business only.

Tanzania = superpower of EA
Where did you get this information? Kenya exports $1.44 billion to East Africa while Tanzania exports $0.9 billion to East Africa. Sasa Kati us hizo gani kubwa?

Kenya leads both in importation and exportation. Jua babako.
 
Tanzania kuna maeneo mengi yanaitaji miti kwanini mama sa100 asiende na kasi ya magufuli kupanda miti milioni 20 kila mwaka kuanzia 2021 maana ulikuwa ni mkakati wa magufuli kuwa kuanzia 2021 kila mwaka ni kupanda miti mil20 ,sasa wajinga wanadhungumzia miti milioni tatu kukatwa wakati vision ya jpm ilikuwa kupanda miti 20 milioni per yr
Hiiyo miti Magufuli alipanda wapi? Toka lini mfugaji akapanda miti😀😀😀
 
Kwa lugha unayotumia tu ni wazi kuwa Wewe ni shabiki usiye na uelewa wowote kuhusu jambo tunalozungumzia. Maendeleo ya nchi si GDP na si maghorofa. Kuna nchi kama Seychelles ambazo GDP yao ni ndogo ukifanya comparison na nchi kama Tanzania, lakini tazama HDI (Human Development Index) ya watu wa Seychelles na tazama ya Tanzania Ndio utatambua kuwa statement yangu ni thabiti.

Maisha ya wamarekani in general ni bora zaidi ya maisha ya watu wa China. Marekani inanikera kwenye healthcare lakini kwenye mambo mengi tu, ipo mbele ya China. Wewe unaleta video za kuonyesha quality ya stesheni za metro railways sijui, haya Ndio mambo unayodhani yana-constitute maendeleo pekee. I’m pretty sure zipo sehemu China zina hali mbaya pia, lakini kwanini huzionyeshi? Kwasababu your mind is already fixed on whatever you think is right(which is actually wrong).

Nafahamu kuwa kuisifu China ni kama rite of passage Kwa watanzania wengi, especially kwasababu ya historia ya mahusiano ya hizi nchi mbili. Lakini ukweli ni ukweli tu. China bado ina safari ndefu kuimarisha ubora wa maisha ya watu wake. Na ninafurahi kuona maendeleo ya nchi kama China kwasababu ni role model Kwa nchi zinazoendelea. Ila pale ninapoona kasoro, lazima niitaje.

"Kusifia China ni rite of passage kwa Watanzania wengi kwa sababu ya historia ya mahusiano kati ya hizi nchi mbili"

Hapo umenena ukweli mkuu.
 
Back
Top Bottom