Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee unaleta mbamba kibao, huyo mwamba sio mmarekani wala sio mchina, na ameishi kote US&China na hapo amefanya comparison kati ya one among poorest provinces of China vs YC, yeye amefanya upande wake kukuonyesha tu wewe halaf upime mwenyewe, je ni kweli west wapo vizur kuliko china.? Na wala hajasema chochote kutoa conclusion, ..

Unapiga kelele eti umeishi west na China 😂😂😂 while hujui chochote, unazungumzia sijui kwenye majiji ndio pako vizur maeneo mengine pako hovyo alafu unasahau kwamba China iko na majiji 100 vs 10 cities of US 😂😂😂, sasa nani atakua vizur zaidi ya mwengine hata kwa maeneo ya mjini tu.? Watu dizaini yako tunaita mbumbumbu .. mzee US is nothing compared to China, lakini WB wanatuambia US wako vizur.. NB: wachana na western propaganda mzee
Kwa lugha unayotumia tu ni wazi kuwa Wewe ni shabiki usiye na uelewa wowote kuhusu jambo tunalozungumzia. Maendeleo ya nchi si GDP na si maghorofa. Kuna nchi kama Seychelles ambazo GDP yao ni ndogo ukifanya comparison na nchi kama Tanzania, lakini tazama HDI (Human Development Index) ya watu wa Seychelles na tazama ya Tanzania Ndio utatambua kuwa statement yangu ni thabiti.

Maisha ya wamarekani in general ni bora zaidi ya maisha ya watu wa China. Marekani inanikera kwenye healthcare lakini kwenye mambo mengi tu, ipo mbele ya China. Wewe unaleta video za kuonyesha quality ya stesheni za metro railways sijui, haya Ndio mambo unayodhani yana-constitute maendeleo pekee. I’m pretty sure zipo sehemu China zina hali mbaya pia, lakini kwanini huzionyeshi? Kwasababu your mind is already fixed on whatever you think is right(which is actually wrong).

Nafahamu kuwa kuisifu China ni kama rite of passage Kwa watanzania wengi, especially kwasababu ya historia ya mahusiano ya hizi nchi mbili. Lakini ukweli ni ukweli tu. China bado ina safari ndefu kuimarisha ubora wa maisha ya watu wake. Na ninafurahi kuona maendeleo ya nchi kama China kwasababu ni role model Kwa nchi zinazoendelea. Ila pale ninapoona kasoro, lazima niitaje.
 
the apple doesn't fall far from the tree View attachment 2063789
Hakuna jina lingine naloweza kukuita zaidi ya mjinga, unatakiwa ukubali kwamba kwenye SGR tupo mbele yenu na inapaswa mjifunze kutoka kwetu na co kujiliwaza ukidhani utapoza machungu kumbe ndiyo unaongeza frustration zisizo na msingi wowote.

Lakini pia kukubali na kusifia kitu inasaidia hata viongozi wenu kuona kwamba walikosea hivyo kuona jinsi gani wananchi msivyokubaliana nao katika mambo flani flani cz hizi ni platforms na kinachoongelewa humu kinaenda viral.

Usiwe mjinga moja kwa moja ukiona jambo limekuzidi kimo achana nalo kama huwezi kupongeza na kukubali ukweli.
 
ngoja 2022.. tu na venye curfew hakuna tena walai.... mtajua sisi ni nani.! kenya ni ile ile. itabidi mme tii. usione simba kanyeshewa ukadhani paka, ndegere hii
C huwa mnasema uchumi wenu uli grow kwa 5% japo kulikuwa na covid, imekuwaje tena nisubiri 2022?
 
aibu nimeona mim dah hadi huruma.. eti anaorodhesha bypass.. bypass si equivalent to bridges.. tukiamua kuorodhesha bridges zinajengwa Tanzania si mtakimbia.. kuna wami bridge, kibiti bridge, sibiti bridge.. yan kuna bridges kibao zinajengwa afu hata haturingi nazo.. kwenye barabara ndo msiseme

-kwenye port expansion, ports zetu zote ziko under construction, kuna mtwara port, Dar port, Tanga port, kalema port, hapo bado sijaorodhesha meli tunazojenga..
-kwenye housings projects, kuna nyumba nyingi sana zinajengwa Dodoma na sehem nyingine kama picha za humu zinavyojieleza
Hi I unajua maana ya bypass ama unaongea tu ndio uonekane upo?
 
Tanzania has trade surplus of $1.09b with SADC
Also, a trade surplus of $484.5M with EAC in 2020

na hapo mtu anashangaa Tanzania kuwa na na millionaires wengi kuliko Kenya

Na tukiwaambia sisi ndio Baba yenu hamsikii.
 
Kwa lugha unayotumia tu ni wazi kuwa Wewe ni shabiki usiye na uelewa wowote kuhusu jambo tunalozungumzia. Maendeleo ya nchi si GDP na si maghorofa. Kuna nchi kama Seychelles ambazo GDP yao ni ndogo ukifanya comparison na nchi kama Tanzania, lakini tazama HDI (Human Development Index) ya watu wa Seychelles na tazama ya Tanzania Ndio utatambua kuwa statement yangu ni thabiti.

Maisha ya wamarekani in general ni bora zaidi ya maisha ya watu wa China. Marekani inanikera kwenye healthcare lakini kwenye mambo mengi tu, ipo mbele ya China. Wewe unaleta video za kuonyesha quality ya stesheni za metro railways sijui, haya Ndio mambo unayodhani yana-constitute maendeleo pekee. I’m pretty sure zipo sehemu China zina hali mbaya pia, lakini kwanini huzionyeshi? Kwasababu your mind is already fixed on whatever you think is right(which is actually wrong).

Nafahamu kuwa kuisifu China ni kama rite of passage Kwa watanzania wengi, especially kwasababu ya historia ya mahusiano ya hizi nchi mbili. Lakini ukweli ni ukweli tu. China bado ina safari ndefu kuimarisha ubora wa maisha ya watu wake. Na ninafurahi kuona maendeleo ya nchi kama China kwasababu ni role model Kwa nchi zinazoendelea. Ila pale ninapoona kasoro, lazima niitaje.
🚮 Kuna kuongea na kujamba, hapa umejamba
 
kwani tanganyika mna nini cha ajabu kenya hatuna.?!. aah?. nyinyi ndio mnaunda muundo msingi sahizi, tangia juzi kwa enzi ya magafuli.
sisi tulikwisha yaunda mingi kati ya hizo miradi kitambo. wewe ndegere nini..
Wewe huwa sina shida nawe, mda mwingi huwa unautumia kwenye chang'aa so huwa sipati tabu na wewe mr dyfre
 
#Nairobi expressway
#Waiyaki highway
#Western bypass
#Eastern bypass
#Mombasa port expansion
#Eldoret Juba highway
#Dongo kundu phs 2(includes 2 bridges,600m and 1.4 km)
#Mombasa mariakani highway(includes 3level interchange and 450m bridge)
#Eldoret bypass
#BRT phse one (Thika road)
#Affordable housing project

PROJECTS TO COMMENCE YEAR 2022
#Isiolo mandera highway,700km
#Nairobi-Nakuru-mau sammit expressway,,200+km
#BRT Phse two and three
#Mombasa gate bridge
where is BRT show us 🤣🤣🤣🤣 au ndio ile mulipaka rangi thika??? na kile kituo kimoja hakina kichwa wala mguu ndio munaita BRT

where is 3level in mombasa au ndio ule ushuzi kama wa pangani ndio munaita three level😂😂😂😂

where is dongo kundu 1.4km bridge tuoneshe tucheke plz 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa lugha unayotumia tu ni wazi kuwa Wewe ni shabiki usiye na uelewa wowote kuhusu jambo tunalozungumzia. Maendeleo ya nchi si GDP na si maghorofa. Kuna nchi kama Seychelles ambazo GDP yao ni ndogo ukifanya comparison na nchi kama Tanzania, lakini tazama HDI (Human Development Index) ya watu wa Seychelles na tazama ya Tanzania Ndio utatambua kuwa statement yangu ni thabiti.

Maisha ya wamarekani in general ni bora zaidi ya maisha ya watu wa China. Marekani inanikera kwenye healthcare lakini kwenye mambo mengi tu, ipo mbele ya China. Wewe unaleta video za kuonyesha quality ya stesheni za metro railways sijui, haya Ndio mambo unayodhani yana-constitute maendeleo pekee. I’m pretty sure zipo sehemu China zina hali mbaya pia, lakini kwanini huzionyeshi? Kwasababu your mind is already fixed on whatever you think is right(which is actually wrong).

Nafahamu kuwa kuisifu China ni kama rite of passage Kwa watanzania wengi, especially kwasababu ya historia ya mahusiano ya hizi nchi mbili. Lakini ukweli ni ukweli tu. China bado ina safari ndefu kuimarisha ubora wa maisha ya watu wake. Na ninafurahi kuona maendeleo ya nchi kama China kwasababu ni role model Kwa nchi zinazoendelea. Ila pale ninapoona kasoro, lazima niitaje.
Dah we jamaa unahitaji kujifunza vitu vizuri zaidi, hususani kuhusu china. tunapozungumzia maendeleo ni eneo pana kama ulivyotanabaisha awali kwenye post yako ya kwanza, lakini kwa China kila kitu wapo mbele ya US hata kwenye masuala ya poverty eradication, watu wao wanapata kila kitu vizur kulinganisha na America, videos kibao zimewekwa na researchers tofauti tofauti duniani kuhusu China zikiangazia maendeleo ya watu pamoja na tekinolojia, unavyosema maendeleo sio magorofa unanishangaza sana, magorofa ni majengo kwaajili ya makazi ya watu na biashara, je makazi mazuri ya watu na majengo mazuri ya biashara sio indicator of development.? Quality services kwenye masuala ya usafiri na usafirishaji sio indicator of development.? Hiv unajua hata roads markings ni indicator of development.? Ukisema watu wa US wako ni bora zaidi ya uchina kwa wewe unamaanisha nini ? Ilihali vitu kwa ground vinaonekana vipo hovyo.? Au ubora wa maisha kwako wewe ni nini.? Ni ukweli bayana kabisa huduma zote za kijamii, tekinolojia, miundombinu, n.k China iko mbele kulinganisha na dunia nzima..
 
Learn to read between the lines, nioneshe mahali Magu alikataa kwamba covid haikuwahi kuwepo Tz, mpk mwanaye wa kumzaa kawahi kupata corona na alisema public.

Japo ni kweli kuna muda covid ilitokomea kabisa hapa Tz na hata vyombo vikubwa kabisa vya habari viliripoti hilo na wewe ni shahidi, hata sasa tunavyoongea covid co tishio tena hapa Tz, kilichobaki ni siasa tu.

Kuhusu Rais Samia kutofautiana kimtazamo na Magu hiyo ni kawaida cz yeye ni binadamu hawezi kulingana kila kitu na mtangulizi wake but hiyo haiondoi ukweli kwamba wote wanatekeleza ilani ile ile ya mwaka 2015-2020 unless uniletee uthibitisho kwamba ilani imebadilika.
Anakuletea propaganda za western media & blogs badala alete video's clips za JPM.
 
Dah we jamaa unahitaji kujifunza vitu vizuri zaidi, hususani kuhusu china. tunapozungumzia maendeleo ni eneo pana kama ulivyotanabaisha awali kwenye post yako ya kwanza, lakini kwa China kila kitu wapo mbele ya US hata kwenye masuala ya poverty eradication, watu wao wanapata kila kitu vizur kulinganisha na America, videos kibao zimewekwa na researchers tofauti tofauti duniani kuhusu China zikiangazia maendeleo ya watu pamoja na tekinolojia, unavyosema maendeleo sio magorofa unanishangaza sana, magorofa ni majengo kwaajili ya makazi ya watu na biashara, je makazi mazuri ya watu na majengo mazuri ya biashara sio indicator of development.? Quality services kwenye masuala ya usafiri na usafirishaji sio indicator of development.? Hiv unajua hata roads markings ni indicator of development.? Ukisema watu wa US wako ni bora zaidi ya uchina kwa wewe unamaanisha nini ? Ilihali vitu kwa ground vinaonekana vipo hovyo.? Au ubora wa maisha kwako wewe ni nini.? Ni ukweli bayana kabisa huduma zote za kijamii, tekinolojia, miundombinu, n.k China iko mbele kulinganisha na dunia nzima..
na labda hana habari kama china imeshampiku america kwenye mambo mengi tu🤣🤣🤣🤣

na labda hana habari kama china imeshampiku america kwenye utajiri🤣🤣🤣🤣

Huyo jamaa ni mtanzania mwenzetu lakini ajabu hatumii akili yeye anaenda na propaganda tu ndio njia aliyochagua 😂😂😂
 
Uwezo wenu wa akili ni mdogo sana kiasi kwamba umeshindwa kujua kwamba aliyesema Dar-Moro ni 550km ni mkunya mwenzio na akasema hiyo 550km inajengwa kwa only $1.46bn na akaweka mpk link uchwara.

Kuhusu Tz kujenga 500km za SGR umeongopa, bali ukweli ni kwamba tunajenga SGR yenye urefu wa zaidi ya 1500km ambayo upon completion itakuwa the longest SGR in Africa. Nafikiri umeridhika na majibu na umeelewa.
Yaani wanajikaanga wenyewe kwa mafuta yao!
 
Back
Top Bottom