Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe nilikua nakujibu , ujenzi wa Mji wa serikali ulizinduliwa na Magu na tuliambiwa kutapamdwa miti ya matunda lakini hadi tunazika na ujenzi wa barabara uko 80% hakuna hata mti mmja unless ni sehemu ya mkataba wa mkandarasi.
Kwani magufuli katumikia uraisi kwa miaka yote 10 we akiliyako vipi au akili yako imetaga yai
 
Kuwa serious Mzee, uchumi wa Kenya uko diversified Sana , uchumi wa hivi inakuaje hauna strong root?
Mkuu wacha kusikiliza maneno ya wakenya, uchumi wa Kenya unategemea
1)Kilimo
2) Manufacturing (ambayo inakufa kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu)
3)Ujenzi(Construction industry)
4)Utalii
5)Diaspora remittances

Ukiacha hizo nilizotaja, sectors zingine zote mchango wake ni mdogo mdogo sana, hiyo diversification ni ipi?, Ukiangalia kwa undani uchumi wa Tanzania ni more diversified kuliko Kenya, kwasababu huku Kuna, mining, gas, fishing and livestock, ambazo Kenya hawana, ndio sababu Tanzania is the biggest Exporter kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kenya wanapenda Sana kutumia "terms" kubwa kubwa lakini hawana kitu cha maana, kumbuka walipojengewa SGR mbovu kwa Bei ya juu na Mchina, ili kujiliwaza na kutetea uzembe wao wakasema ni "Chinese first class"
 
Does that change the fact that 74 % of your imports within the EAC is from Kenya while Kenya only imports a paltry 24% from Tanzania yet the amount is almost the same. Au unajifanya hizo hesabu za pesa huoni.
I hope you will never talk your shit again, you can't compete with giant Tanzania
 
I hope you will never talk your shit again, you can't compete with giant Tanzania
Hizo raw materials zikuje kwa wingi tuzifanyie value addition tusambaze EAC now that DRC is joining. 👏

IMG_20220102_181929.jpg
 
Hizo raw materials mnakula au mnazipa value addition then muuze EA? 😂😂😂.. wacha tuendelee kuwakamata
Hatukuli raw materials kama nyinyi walaji wa mihogo mbichi. Tumetambua soft life we prefer zikiwa crisps. 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom