Hawa ndugu zako sijui huwa mnaelewana aje nao hapo Dar. Yani mtu akiona shiny buildings baas....hapo anaona utajiri. Hivi mnafundishwa about human development index? Quality of life? Access to basic and luxury facilities? Yani wait wanaangalia miji kutoka juu wanaona nchi imeendelea. The cities with the highest quality of life in the world ziko Europe. Most of these cities in Europe look old because they've banned construction of tall skyscrapers to maintain their ancient architecture. Naongelea cities kama Vienna, Zurich, Munich, Geneva, Copenhagen n.k ambazo ziko na highest standards of living wakati ukiziangalia kutoka juu zinakaa miji ya miaka ya 1500AD kurudi nyuma yet they have higher quality of lives than shiny modern looking cities such as Shanghai, Shenzen or even Dubai. Ndio maana
Walker255 alikuwa anajaribu kuelezea mwengine hapa kwamba hawezi linganisha Mwanza na Mombasa old town akatoboa.
Hapa nakupa picha ya Vienna - utapata mwendazimu anakwambia eti sijui Chengdu ama Suzhou imeendelea kushinda Vienna.
View attachment 2065816
View attachment 2065817
View attachment 2065818