NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,013
- 19,189
Yani kuna mambo husemwa humu Hadi nacheka. Watu wanadhani miti milioni 20 ni mchezo mchezo you. Yani Wangari Maathai alipanda miti 51M over a period of 30 years akapewa Nobel Prize akajulikana ulimwengu mzima alafu mtu apande 20 million trees every year for 6 years - hizo ni miti 120M over just 6 years - na tusimskie hata kidogo?🤣🤣🤣Hiiyo miti Magufuli alipanda wapi? Toka lini mfugaji akapanda miti😀😀😀