Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,088
- 35,310
Mama samia na museven walishtukia mchezo,lengo la ruto na dangote ilikua kuingia kwa mgongo wa nyuma kwenye mradi wa EACOP
Awe mzungu,awe mhindi but tanga refinery itajengwa,halafu kizuri zaidi tanga tayari crude oil ipo tayari so wala atutoumiza kichwa pakupata oil 😃😃😁 wanangoja kujengewa refinery na wazungu.
Dangote just made building of another refinery in EA less viable, just by its capacity.
projects zingine ni theory kwa sasa, Lamu refinery is the only one under construction.
Hakuna refinery inajengwa Tanga.Awe mzungu,awe mhindi but tanga refinery itajengwa,halafu kizuri zaidi tanga tayari crude oil ipo tayari so wala atutoumiza kichwa pakupata oil 😃😃