Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa, hata wafike milioni Moja, bado ongezeko la mishahara Yao haiwezi kutikisa uchumi wa nchi, Kama nilivyosema, uzalishaji wa bidhaa na huduma ndio sababu kubwa wa kupanda au kupungua kwa mfumuko wa Bei.

Tanzania na Uganda tunazalisha chakula zaidi kuliko Kenya na Rwanda, ndio sababu mfumuko wa Bei Kenya na Rwanda ni mkubwa kuliko Uganda na Tanzania
Nakubaliana na ww kwa asilimia 100,alinishangaza jamaa mmoja ambae alisema kuongeza mishahara ni changa la macho kwani vitu vinapanda bei...anasahau vitu haviwezi kuacha kupanda bei kwani wanunuaji sio kundi fulani la watu bali wananchi wote....mishahara lazima ipande kurudisha pesa mtaani...tatizo hapa kuna watu hawataki kutumia akili zao wanapenda kulishwa propaganda na wanaziamini
 
Morocco square .

IMG_3729.jpg
 
It's not right to compare Chicago to Chinese cities in terms of beauty. Chicago is an old city with organic and spontaneous growth while most Chinese cities are less than 50yrs old and the plans are followed to the dot, this makes many Chinese cities to be more beautiful compared to the western cities. It's like comparing New Egyptian Cities to Dar or Nairobi.
 
Wachina waliamua kuendelea kama Nchi, Africa tuliamua kutopiga hatua Hadi kuendelezwa huwa nawashangaa sana Waafrika wanaotaka kujifananisha na Watu Wamagharibi....

Miji yote ya Magharibi tayari ilikuwepo tangu miaka 1800s ila China, Korea, Japan walikuwa ni hermit Kingdoms au kwa maana nyingine walikuwa wako nyuma na hakutaka kuwa kama wageni wa Kimagharibi.

Japan ndio ikawa ya Kwanza katika kipindi kinaitwa Meiji Restoration mwishoni mwa Karne ya 19 na mwanzo mwa Karne ya 20 walitumia muda mfupi sana kupata maendeleo ambayo Ulaya walitumia Karne nyingi.

Wakaja China (Qin Dynasty) Na Joseon (Korea) Hawa wote walisumbuliwa na Japan kidogo ila Baada ya vita ya pili ya Dunia wakaanza kujiamulia Nchi zao zitaendelea....

Just imagine haya mataifa yaliathiriwa sana na vita za ndani na hata Ile ya Dunia lakini leo hii hawapangini Nini cha Kufanya na Watu wa Magharibi na tena wanaheshimiwa sana.

Kuna mtazamo mbaya sana na Taifa la North Korea ni maskini, Umaskini unaosemwa wa North Korea unatokana na Kutopewa fursa sawa ya kushindana na kuishi kama Kila mtu.
North Korea inaweza Kurusha Satellite yake yenyewe iliyotengenezwa na Watu wake wa ndani, ila ukija Afrika hakuna nchi Africa kuanzia Misri Hadi South Africa anayeweza kwa sasa. North Korea inawataalam wa Nuclear ambao wanatengeneza hadi mabomu, ila Africa Nzima hatuna....

Africa lazima tujue Nini tunataka na tunavipataje.
NOTE: Uhuru wa kuwatukana viongozi sio maendeleo
Hii comment ya akili ya juu sana ambayo ccm hawataki kuiona.
 
It's not right to compare Chicago to Chinese cities in terms of beauty. Chicago is an old city with organic and spontaneous growth while most Chinese cities are less than 50yrs old and the plans are followed to the dot, this makes many Chinese cities to be more beautiful compared to the western cities. It's like comparing New Egyptian Cities to Dar or Nairobi.
Hehehehee tangu uingie Jamii Forums leo ndio umeongea point
 
Infrastructures gan unazungumzia?USA kati ya watu 1000 karibu 900 wanamagari yap binafsi unlike china most of them anatumia public transport...unajua kwa barabara pekee USA ina zaid ya 6m km ambazo ziko paved against china yenye 4m km? Usiwe unaongea tu kwa kuangalia picha za downtown Chengdu ukaona umeshamaliza kila kitu
Tupe shule. Maana watu wanamu-underate USA, ndo maana niliuliza Chicago ipi?
 
Mnanifrahisha sana mbona hamuweki video za Chicago nazo mnaogopa nn?
Hawa ndugu zako sijui huwa mnaelewana aje nao hapo Dar. Yani mtu akiona shiny buildings baas....hapo anaona utajiri. Hivi mnafundishwa about human development index? Quality of life? Access to basic and luxury facilities? Yani wait wanaangalia miji kutoka juu wanaona nchi imeendelea. The cities with the highest quality of life in the world ziko Europe. Most of these cities in Europe look old because they've banned construction of tall skyscrapers to maintain their ancient architecture. Naongelea cities kama Vienna, Zurich, Munich, Geneva, Copenhagen n.k ambazo ziko na highest standards of living wakati ukiziangalia kutoka juu zinakaa miji ya miaka ya 1500AD kurudi nyuma yet they have higher quality of lives than shiny modern looking cities such as Shanghai, Shenzen or even Dubai. Ndio maana Walker255 alikuwa anajaribu kuelezea mwengine hapa kwamba hawezi linganisha Mwanza na Mombasa old town akatoboa.

Hapa nakupa picha ya Vienna - utapata mwendazimu anakwambia eti sijui Chengdu ama Suzhou imeendelea kushinda Vienna.

images - 2022-01-02T102741.594.jpeg


images - 2022-01-02T102733.388.jpeg


images - 2022-01-02T102723.555.jpeg
 
Infrastructures gan unazungumzia?USA kati ya watu 1000 karibu 900 wanamagari yap binafsi unlike china most of them anatumia public transport...unajua kwa barabara pekee USA ina zaid ya 6m km ambazo ziko paved against china yenye 4m km? Usiwe unaongea tu kwa kuangalia picha za downtown Chengdu ukaona umeshamaliza kila kitu
Alafu zaidi ya hayo, population ya China ni mara nne ya US. Yani wewe una mali kuliko mandugu wanne combined alafu bado walinganishwe nawe. Watu wengine ni wa kupuuza tu.
 
Back
Top Bottom