Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good evening.

Hizi taarifa za mwaka juzi pia hazikupi nafuu mana tz inaonaka ku export zaidi in the region kuliko inavyo import, the report is clearly showing that Tz is EA's economic giant.. ni report ya mwaka 2019 lakini bado tunawalaza chali sisi ndio tumelishika soko la EA lote, au uko na pingamizi ulete report zenu kwa EA nzima.?
 
So unapingana na BOT?
 
Tanzania exports to Kenya more than it imports (current data)

Tanzania do more export to SADC than EAC though Tanzania is still the largest exporter of intra regional markets in EA.
Does that change the fact that 74 % of your imports within the EAC is from Kenya while Kenya only imports a paltry 24% from Tanzania yet the amount is almost the same. Au unajifanya hizo hesabu za pesa huoni.
 
Chicago is the 8th most powerful and influential city in the world even ahead of shanghai....
chengdu iko wapi watanganyika wehu View attachment 2066143
Hizi report za karatasi zisikutie kichaa kwa China wenyewe, neither Hongkong nor Beijing is ahead of Shanghai, na wala hazipo top three, dunia inaamua kuandika itakavyo ila China inaendelea na haihangaiki na yanayosemwa na dunia
 
Mkakati ulikuwa unapangwa kuanza 2021 kwa kutumia nguvu kazi mbali mbali wakiwemo wafungwa na kuzalisha miche mashuleni,nagerezani ,kishakutumianguvukazi zote ,sema baada ya kifo cha magu mambo yote yameachwa
Acha kuleta vidababu vya kutunga,uache hiyo project Ili iwaje wakati saizi na uwezeshaji wa kimataifa umekuwa mkubwa..

Hujafiatilia mkutano wa mazingira Scotland?
 
Sasa ulikuwa unalia nini kuhusu kukata miti mil 3 wakati umejua vision ya mama na serikali yake chovu ndiyo inashindwa kufanya mambo mbona wakati wa jpm mawaziri walikuwa wanakimbizana kufanya kazi sasa kwanini wakati wa mama tusiseme maana yeye ndiye mkuu wao akiona awaendani na kasi ni kupiga chini "tumbua"
Kama raisi umetoa maelekezo na uliowapa awafanyi kazi what next???? Tumbua tu hivyo ndivyo jpm alivyo fanikiwa kufanya kazi nyingi kwa pamoja ,lakini mama yenu ana baki kudemka tu eti naye analialia kuwa watu awafanyi kazi atakavyo pumbaaaafuu puss wa hedi
Wewe nilikua nakujibu , ujenzi wa Mji wa serikali ulizinduliwa na Magu na tuliambiwa kutapamdwa miti ya matunda lakini hadi tunazika na ujenzi wa barabara uko 80% hakuna hata mti mmja unless ni sehemu ya mkataba wa mkandarasi.
 
Does that change the fact that 74 % of your imports within the EAC is from Kenya while Kenya only imports a paltry 24% from Tanzania yet the amount is almost the same. Au unajifanya hizo hesabu za pesa huoni.
Ila we jamaa unachekesha sana hii bado sio msaada, haikusaidii kitu wewe, hii unamaanisha sisi ndio baba wa EA, ona 76% ya bidhaa tunazoingiza kutoka nchi za EA zinatokea Kenya ambapo they costs about $249m, and those 24% ya bidhaa zetu tunatoa kupeleka EA ambapo zinakuja kwenu costs about $230m ..hii inamaanisha sisi ndio tunawazidi nyinyi kwa umiliki wa uchumi hapa EA .. sasa kama asilimia 76% ya bidhaa zenu mnazouza EA ambapo mteja wenu mkubwa ni sisi mnapata $249m 😂😂😂 halaf sisi 24% ya bidhaa tunazoziuzia EA ambapo mteja wetu ni nyinyi KE tunaingiza mpunga wa $230m, akili zako zinakukwambia ni nani ndio EA economic giant .? Aah kumbe nyie tunawazidi mbali kinoma, sasa SGR ikianza kazi tutaanza kuwapa misaada 😂😂😂
 
Wewe nilikua nakujibu , ujenzi wa Mji wa serikali ulizinduliwa na Magu na tuliambiwa kutapamdwa miti ya matunda lakini hadi tunazika na ujenzi wa barabara uko 80% hakuna hata mti mmja unless ni sehemu ya mkataba wa mkandarasi.
Upandaji wa miti haikua sehemu ya mkataba, fuatilia hivyo vitu usiwe unaropoka tu
 
Matunda ya Samia 👇

Screenshot_20220101-101635.png

Screenshot_20220101-141842.png

Screenshot_20211230-201154.png

Screenshot_20211230-201049.png

Screenshot_20211228-190818.png

Screenshot_20211221-062207.png

Screenshot_20211228-125424.png

Screenshot_20211228-125617.png
 
Ila we jamaa unachekesha sana hii bado sio msaada, haikusaidii kitu wewe, hii unamaanisha sisi ndio baba wa EA, ona 76% ya bidhaa tunazoingiza kutoka nchi za EA zinatokea Kenya ambapo they costs about $249m, and those 24% ya bidhaa zetu tunatoa kupeleka EA ambapo zinakuja kwenu costs about $230m ..hii inamaanisha sisi ndio tunawazidi nyinyi kwa umiliki wa uchumi hapa EA .. sasa kama asilimia 76% ya bidhaa zenu mnazouza EA ambapo mteja wenu mkubwa ni sisi mnapata $249m 😂😂😂 halaf sisi 24% ya bidhaa tunazoziuzia EA ambapo mteja wetu ni nyinyi KE tunaingiza mpunga wa $230m, akili zako zinakukwambia ni nani ndio EA economic giant .? Aah kumbe nyie tunawazidi mbali kinoma, sasa SGR ikianza kazi tutaanza kuwapa misaada 😂😂😂
Ebu soma tena kitu umeandika kwa maakini. 😂😂😂
Let's do some basic maths. Assuming all factors are constant.
If 24% = 230 M
What about 100%?
24x=230000
23000/24
X = 100% = 958M

If 74% = 249M
What about 100%
74x=24900
24900/74
X=100%=336M

Sasa jiulize ni gani mingi at 100%?
 
Back
Top Bottom