Shida yako bwana Walker255 wewe ni mjivuni sana na inaonesha wewe ni arrogant pia una dharau sn, huwezi kuita Watz wote hawana awareness kwamba wewe peke yako ndiyo uko vizuri kiakili, huo ni ujinga na ni utoto, usiwe hivyo na maneno ya kashfa kwa raia wenzako.Nilichogundua katika interactions zangu na watanzania wengi ni kuwa asilimia ya kutisha ya watanzania wako misinformed Na pia hawana awareness ya kutosha ya mambo mengi ya dunia na ulimwengu Kwa ujumla.
It’s not my fault that you won’t accept the truth. Hivyo nitukane uwezavyo, lakini ukweli umeshaujua.
Lione hili linafkiI have realized that most of these people don't even know the meaning of the word GDP itself. Kazi ni kuongea tu pasi na uelewa. They are ignorant about parameters used in calculating GDP. Wao wakishaona majengo marefu baas! Ignorance is such a bad thing!

, leo linaona Walker yuko sahihi 








Picha uliyoweka ni njia ya dharura baada ya kukatika kwa daraja, linalounganisha barabara ya morogoro-Dodoma .. and this is after it's rehabilitation 👇.
Huyo jamaa hata hiyo awareness yenyewe anayozungumzia hana 😂😂😂, ni lijinga sana jitu Zima hovyo iloShida yako bwana Walker255 wewe ni mjivuni sana na inaonesha wewe ni arrogant pia una dharau sn, huwezi kuita Watz wote hawana awareness kwamba wewe peke yako ndiyo uko vizuri kiakili, huo ni ujinga na ni utoto, usiwe hivyo na maneno ya kashfa kwa raia wenzako.
Unatakiwa kupevuka kiakili na uwe mvumilivu, unapoelimishwa kama utaona ni kweli basi jitetee pasipo ku generalize cz humu kuna watu wamekuzidi kila kitu lkn wamekaa kimya wanakuangalia unavyowatusi kisa umekosana kauli na mtu mmoja, grow up man(kama wewe ni kidume) ila kama wewe ni binti usiwe kama wale slay queen wanao act maisha.
Wapumbavu hao, wameshikwa na jazba mpk wana haribu meaning of GDP.Goods and services produced : Cement, Construction materials, Labor iliyotumika wakati wa ujenzi majengo na infrastructure zote hizo, Hazina impact kwenye GDP? Kuna Nchi GDP yao inabebwa na ujenzi , leo hii mnachukulia ujenzi poaMbona mnachagua vinavyowafaa
![]()
Wapi hii mkuu kama inafanana na JNIA.
kuna kipindi alijifanya anaijua mwanza kuliko mm wakat mm ndiko nimezaliwa na nimekulia nikamuumbua hakurudi tena 🤣🤣Huyo jamaa hata hiyo awareness yenyewe anayozungumzia hana 😂😂😂, ni lijinga sana jitu Zima hovyo ilo
Uwe unawekea link na picha, Wakenya wengi hawana uwezo wa kufungua instagramPicha uliyoweka ni njia ya dharura baada ya kukatika kwa daraja, linalounganisha barabara ya morogoro-Dodoma .. and this is after it's rehabilitation.


Amekuwa mpumbavu sana, ckutegemea mtu niliyemkubali kumbe ni zuzu na boga namna hii.Huyo jamaa hata hiyo awareness yenyewe anayozungumzia hana, ni lijinga sana jitu Zima hovyo ilo
Picha uliyoweka ni njia ya dharura baada ya kukatika kwa daraja, linalounganisha barabara ya morogoro-Dodoma .. and this is after it's rehabilitation 👇.
Wapi hii mkuu kama inafanana na JNIA.




Sisi sio wajinga kwamba tutajisifu eti our each and every single road is tarmac road, lahasha .. kwasababu hata uko kwenu hizi 👇ni vitu mumezoeaI thought mlisema ni daraja za Kenya the zinazoporomoka.🤣🤣🤣
Pia hii ni njia ya dharura?🤣🤣🤣
View attachment 2064415
Chicago huijui nadhanMzee wewe ndio upo misinformed, huna research za kutosha kutetea jambo unaling'ang'azia .. for example this is chengduView attachment 2064241View attachment 2064242View attachment 2064243View attachment 2064244View attachment 2064245View attachment 2064246View attachment 2064250View attachment 2064251View attachment 2064252View attachment 2064253View attachment 2064254View attachment 2064255View attachment 2064257View attachment 2064258View attachment 2064259View attachment 2064261View attachment 2064262hii CHENGDU sio hata miongoni mwa majiji tajiri ya China, it has population of of 10m+ pp, kwa US labda uiweke Chicago mji wa pili kwa kuwa na high rises nyingi the city of 2.7m pp, lakini pia Chicago haiwez toboa kwa CHENGDU. US is no where close to China bro tukizungumza maendeleo .. fatilia mambo bro Ooh, dunia inakuacha lala tu hapo ukiendelea kuwaza eti marekani wapo vizur kuliko China
.. NB: achana na western propaganda mzee