Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ulituongopea sana mzee, US ako na 4.3m+ roads km while China iko na 4.9m+ roads km .. tukija kwenye high speed railways China ako na 139,000 km 2019 report says while US has 0 km .. alafu mimi sioni sababu ya kutaja taifa zima mana US itaishia kupata aibu tu .. tuzungumzie hii miji miwili tu kwenye eneo lolote we unahisi Chicago anaizidi Chengdu nitakuletea majibu tofauti.. nilijaribu kuifuatilia hii miji kwa undani kidogo na ndio maana sikuchagua kulinganisha Chicago na top five cities of China, nikaona angalau nikiishindanisha na Chengdu, italeta maana kidogo
We jamaa story story tu hupendi facts
 
Nilichogundua katika interactions zangu na watanzania wengi ni kuwa asilimia ya kutisha ya watanzania wako misinformed Na pia hawana awareness ya kutosha ya mambo mengi ya dunia na ulimwengu Kwa ujumla.

It’s not my fault that you won’t accept the truth. Hivyo nitukane uwezavyo, lakini ukweli umeshaujua.
Huu ni ukweli wanashindia majungu,umbea,kubishana mipira ,kupigiana miti na udaku..

Imagine hadi spika wa Bunge anahoji matumizi ya mapato ambayo Bunge lake lilishiriki kupitisha.
 
A certain country is still growing at a rate of 4% and they are dreaming to surpass Kenya economically.

Kwahyo iyo 9.9% ni ya quarter 1 sio average ya mwaka mzima sasa nn kinakupa homa?
 
2022 hii wakuu. Kuna vitu inabidi tukubali tupambane kuvibadili. GDP ya Kenya iko juu kuliko yetu, tupambane tuwashinde kukataa haibadilishi kitu.
Njia rahisi ni kumuunga mkono SSH kwenye kukuza uchumi kwa njia ya kutafuta investors kokote.

Pili swala la kulipa Kodi likaziwe maana watu wengi hawalipi Kodi na udhibiti wa mapato usimamiwe vizuri maana pesa ya covid imeleta matokea mazuri kwa nini isiwe kweli pesa zote tunazopata? Tunatakiwa tukimbie kwa Kasi sana kwenye kuwekeza kwenye miundombinu hasa barabara,mikoa mingi tena potential bado kufunguka .

Mwisho tutunze Amani na kuchapa kazi
 
Tatizo la uchumi wa Kenya hauna "strong roots", nikuulize swali dogo tu, tangu tulipowapita katika "tourism revenue" mlishawahi hata kutukaribia tena?.

David Ndii huwa ninamkubali Sana, Kamwe Kenya haiwezi shindana na Tanzania kwa sababu uchumi wa Kenya umejengwa juu ya "very weak foundation".

Mzee Jommo Kenyatta alikumbatia ubepari bila kujua kwamba nchi haina rasilimali za kutosha, kuacha kila mtu ajinyakulie Mali kulingana na nguvu zake wakati hakuna rasilimali za kuwatosheleza watu wote ni Kitendo cha kipuuzi na ubinafsi wa hali ya juu sana(man eat man), Kenya kamwe haiwezi kuwa na uchumi endelevu Wala utulivu wa kisiasa na kijamii.
Kuwa serious Mzee, uchumi wa Kenya uko diversified Sana , uchumi wa hivi inakuaje hauna strong root?
 
Hapo hakuna kitu bora asinge ongeza mishahara ila mfumuko wa bei ungebaki kama kipindi cha jpm maana kwa mfumuko wa bei ulivyo inatakiwa mishahara ipandishwe kwa asilimia 40 je kwa akili ya kawaida ya uchumi wa serikali ya sa100 wanao uwezo wa kuongeza mishahara kwa hiyo percent?
Inflation is global issue sio issue ya domestic policies.

Pia kwa sasa kuna tatizo la ukame bei za vyakula ziko juu na zitapanda.zaidi ,hili nalo sio swala la serikali..

Salary zitapanda na ajira mpya kama kawaida but huwezi ongeza kwa margin unayosema unless ufanye kwa wale wanaopata minimum wage..Uturuki wamefanya hivyo salary imeongezwa kwa 50% but kwa wanaopata kima cha chini Ili kukabiliana na mfumuko wa bei.

Tunasubiria mwezi wa 4 bajeti zikianza tutajua muelekeo wa sera za fedha na watakavhokabiliana ila kwenye mpango wa bajeti waliosema mwezi wa 9 wataongeza salary na ajira mpya.
 
Tatizo watz wengi walio ajiliwa serikalini hawana akili ya kiuchumi ndiyo maana wanadhani kuongeza mishahara ni akili ,ukweli ni tofauti kabisa jpm alikuwa vizuri kwenye uchumi kwa kuzuia mfumuko wa bei badara ya kuongeza mishahara,
Kuhusu mama kuongeza mishahara kwa asilimia 15 ni ndoto, kama ataongeza mishahara basi ni chini ya asilimia 4 tena hiyo hela atategemea mikopo kuongeza
Umewahi kuona wapi ukaongeza salary kwa kutegemea Mikopo? Alikwambia nani kwamba kila mfumuko wa bei ni tatizo ni nani?

Any inflation below 10% haijawahi kuwa na shida kwenye Uchumi hasa developing nations ambako tunasema resources are iddle not fully employed and in facts inachochea na kukuza Uchumi.

Pesa zitatoka hapa 👇

IMG-20220101-WA0020.jpg
 
Inflation is global issue sio issue ya domestic policies.

Pia kwa sasa kuna tatizo la ukame bei za vyakula ziko juu na zitapanda.zaidi ,hili nalo sio swala la serikali..

Salary zitapanda na ajira mpya kama kawaida but huwezi ongeza kwa margin unayosema unless ufanye kwa wale wanaopata minimum wage..Uturuki wamefanya hivyo salary imeongezwa kwa 50% but kwa wanaopata kima cha chini Ili kukabiliana na mfumuko wa bei.

Tunasubiria mwezi wa 4 bajeti zikianza tutajua muelekeo wa sera za fedha na watakavhokabiliana ila kwenye mpango wa bajeti waliosema mwezi wa 9 wataongeza salary na ajira mpya.
WAHUNI MMEANZA KUSAFIRISHA MAGOGO KWANINI UKAME USIZIDI majuzi nilishuhudia yule panchori kakhn anakata miti kama elfu 90
 
Hiyo ni mazuzu wafanyakazi wa serikali awajui kuwa mfumuko wa bei ndiyo kitu muhimu kukidhibiti kuliko kuongeza mishahara ,magu alifanya elimu bure maana yake nikama kupandisha mishahara kwa watz wote mil60
Wewe na ndugu yako Mwendazake ni ma layman wa uchumi ndio maana muliharibu Nchi hadi leo hii tunahangaika kwenye growth rate ya 4-5% from 7.2%.
 
WAHUNI MMEANZA KUSAFIRISHA MAGOGO KWANINI UKAME USIZIDI majuzi nilishuhudia yule panchori kakhn anakata miti kama elfu 90
Magogo hayajaanza leo kusafirishwa,wakati mnakata miti mil.3 kule kwenye Bwawa hamkujua mnharibu ikolojia?

Au mlijua mnawakomoa chadema na mabeberu 😂😂
 
Back
Top Bottom