The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Average ya 1.85 b per month,bado ndogo Sana angalau tuwe na 2.2b per monthMilestone bomba kabisa...iyo ni zaidi ya $1b hv inamake sense
Average ya 1.85 b per month,bado ndogo Sana angalau tuwe na 2.2b per monthMilestone bomba kabisa...iyo ni zaidi ya $1b hv inamake sense
Huyo kakariri neno inflation hata haelewi upana wake kwenye uchumi.Hahahaha, japo sina Elimu kubwa kukuzidi lakini sidhani Kama upo sahihi, wafanyakazi serikalini hawazidi laki Moja Tanzania, hata wakiongezewa kila mmoja Tshs 300000 kwa mwezi, hiyo inakua ni 3B kwa mwezi, kweli unataka kusema TSH 3B kwa mwezi ikiingizwa katika mzunguko wa uchumi wa Tanzania kwa mwezi inaweza kutumbisha uchumi wa Tanzania kiasi cha kusababishwa mfumuko wa Bei?,
Kwa siku Moja tu wachimbaji wadogo wadogo hapa Tanzania wanaingiza zaidi ya Tsh20B kila siku na bado hawasababishi mfumuko wa Bei, wewe unazungumzia 3B kwa mwezi.
Sababu kubwa ya mfumuko wa Bei ni upungufu wa bidhaa hasa chakula usioendana na mahitaji ya wananchi, ndio sababu mfumuko wa Bei hupungua kipindi cha mavuno na kupanda kipindi cha kilimo. Jaribu kufuatilia kwa makini mienendo ya mfumuko wa Bei hapa Africa
Okey...itachukua muda kufika apo lakin we've tried thoughAverage ya 1.85 b per month,bado ndogo Sana angalau tuwe na 2.2b per month
On top of that ,Duniani kote vitu vimepanda bei na inflation iko juu sababu kubwa wanasema covid ilisababisha kushuka kwa uzalishaji na Ili disrupt global supply chain.Nakubaliana na ww kwa asilimia 100,alinishangaza jamaa mmoja ambae alisema kuongeza mishahara ni changa la macho kwani vitu vinapanda bei...anasahau vitu haviwezi kuacha kupanda bei kwani wanunuaji sio kundi fulani la watu bali wananchi wote....mishahara lazima ipande kurudisha pesa mtaani...tatizo hapa kuna watu hawataki kutumia akili zao wanapenda kulishwa propaganda na wanaziamini
Tanzania kuna maeneo mengi yanaitaji miti kwanini mama sa100 asiende na kasi ya magufuli kupanda miti milioni 20 kila mwaka kuanzia 2021 maana ulikuwa ni mkakati wa magufuli kuwa kuanzia 2021 kila mwaka ni kupanda miti mil20 ,sasa wajinga wanadhungumzia miti milioni tatu kukatwa wakati vision ya jpm ilikuwa kupanda miti 20 milioni per yrMagogo hayajaanza leo kusafirishwa,wakati mnakata miti mil.3 kule kwenye Bwawa hamkujua mnharibu ikolojia?
Au mlijua mnawakomoa chadema na mabeberu![]()
Results za Kenya zinatoka quaterly and not monthly. Zenye ziko available ni from January to September where September alone KRA collected $1.84B.Kenya mlikusanya pesa ngap dec?
Consult VP na Jafo ndio Kazi yao,mama alishatoa maelekezo,Nchi haiwezi tegemea mtu mmja ndio maana ilikwama.Tanzania kuna maeneo mengi yanaitaji miti kwanini mama sa100 asiende na kasi ya magufuli kupanda miti milioni 20 kila mwaka kuanzia 2021 maana ulikuwa ni mkakati wa magufuli kuwa kuanzia 2021 kila mwaka ni kupanda miti mil20 ,sasa wajinga wanadhungumzia miti milioni tatu kukatwa wakati vision ya jpm ilikuwa kupanda miti 20 milioni per yr
Mimi uniwezi kwenye uchumi asilimia 80 ya mifumuko ya bei africa ni matokeo ya viongozi wahuni isipokuwa 20% tu ndiyo matatizo ya duniaHuyo kakariri neno inflation hata haelewi upana wake kwenye uchumi.
Anakomaa tuu wasiongeze salary sijui uta create vipi consumption demand na liquidity..
Akirejea theory ya poverty circle anaweza elewa kidogo.
Usikute Hawa ndio walikuwa washauri wa uchumi wa Mwendazake..
Kila kitu ni contractionary sijui economy ita expand vipi .
Sasa ulikuwa unalia nini kuhusu kukata miti mil 3 wakati umejua vision ya mama na serikali yake chovu ndiyo inashindwa kufanya mambo mbona wakati wa jpm mawaziri walikuwa wanakimbizana kufanya kazi sasa kwanini wakati wa mama tusiseme maana yeye ndiye mkuu wao akiona awaendani na kasi ni kupiga chini "tumbua"Consult VP na Jafo ndio Kazi yao,mama alishatoa maelekezo,Nchi haiwezi tegemea mtu mmja ndio maana ilikwama.
Unaweza nionuesha hiyo miti mil.20? Juzi nilikuwa mtumba Mji wa serikali kukame hadi unashangaa.
Mkakati ulikuwa unapangwa kuanza 2021 kwa kutumia nguvu kazi mbali mbali wakiwemo wafungwa na kuzalisha miche mashuleni,nagerezani ,kishakutumianguvukazi zote ,sema baada ya kifo cha magu mambo yote yameachwaConsult VP na Jafo ndio Kazi yao,mama alishatoa maelekezo,Nchi haiwezi tegemea mtu mmja ndio maana ilikwama.
Unaweza nionuesha hiyo miti mil.20? Juzi nilikuwa mtumba Mji wa serikali kukame hadi unashangaa.
Ni muhimu pia ukielewa context.
249M - 76.4% of Tanzania's total imports within the EAC is from Kenya.
230M - 28.4% of Kenya's total imports within the EAC is from Tanzania.
GDP ya makaratasi ni noma. 😂😂😂
Tanzania exports to Kenya more than it imports (current data)
Tanzania do more export to SADC than EAC though Tanzania is still the largest exporter of intra regional markets in EA.
China kwa majengo na infrastructure ni balaa,remember hapa in the 90's they were struggling, nimefika mpaka northern china mji wa harbin and i was impressed, lakini majitu ni racist sana.Wanigeria nao wako kila mahali dunianiKwamba kuna balaa zaidi ya hili?
